christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,466
Binafsi nimeshatubu .,namuomba msamaha JK ...nilikutenda isivostahil sababu ya nyaraka feki za katoliki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamegeuka jwtz tenaIkiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Sina muda wa kumpigia mbuzi gitaa.Nakupa mtihani wa Geography unajibu Biology
Kanisa katoliki litasema nini wakati Kilaini amelinajisi kwa kujiunga na mtandao wa wezi na majambazi, hii ni cult sasa inabidi aitumikie, eti kapeleka hela kwa wahitaji, na mpaka leo kanisa halijamtimulia mbali, hii dhambi inatofauti gani na ya uzinzi? amezidi against mustakabali wa wananchi wa Tanzania na kuliponza kanisa kwa kumuaibisha kristo.Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Na wakati huohuo prezdaa anaepingana na rushwa yupo kila j2 kubusu Pete zao na kuwapigia magoti wamwombee na kumbariki. AmazingMwandishi upeo wako una walakini.Kanisa hili limepoteza hadhi yake ya kulinda amani baada ya baadhi ya maaskofu wake kuchotewa fedha na Rugemalila Huwezi kusimamia amani wakati huohuo unapokea rushwa.
BAKWATA si dhehebu la dini, na wala si balaza linaloundwa na waislam hiyo ni obvious haihitaji cheti cha chekechea kujua hiyo kitu. Pili BAKWATA si watoa matamko atawale mkristo au muislam wale ilimradi wanaisifu ccm na wanashiriki hafla mbalimbali basi imetosha. Turudi kwenye mada why these so called R. Catholic church wanabweka sana akikaa muumini was dini ya mwenyezi Mungu.?????
Na akija mlokole au mkkktHuyu wa sasa ni mkatoliki mwenzetu hatuwezi kumsema wala kutoa matamko. Tunasubiri aje wa imani ile ingine
Naye tutamsema maana siyo mkatoliki mwenzetu. Au hujaelewa maana ya imani ingine?
Hivi makao makuu ya Kanisa la Yesu alilokusudia yangekuwa Roma?Petro aliyesulubiwa miguu juu kichwa chini Na warom
Huwa linasubiri rais akiwa muislamu ndipo linaanza kumsakama,angalia mwinyi NA kikwete walivyosumbuliwa NA kanisa hili,
Ni kama idara ndogo ya ccm hili kanisa,hata lenyewe lina historia chafu ya mauaji huko ulaya dhidi ya watu waliolikataa,
Kwa ujumla kanisa katoliki limeua sana binadamu NA limeenezwa kwa mkono wa damu,ni kanisa lisilotaka mabadiliko
Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine
Hili kanisa lina historia chafu sana NA mpaka leo mapadri wana kesi za kubaka NA kushawishi NA kudhalilisha WATOTO kingono
Alichokisema ni sahihi kabisa,ukijua kazi halisi ya Jesuit hutapingana naye.Meli zilizobeba watumwa zilikuwa na baraka za papa na zikibeba msalaba kama utambulisho.Hakika wewe sio mtu mzuri kabisa, unaandika hisia zako zilizojaa chuki, dhuluma na unafiki. Watu kama wewe ni virus kwa jamii yoyote. Unawezaje kutuhumu watu namna hiyo? Tena kwa sababu ya shida zako bila chembe ya ushahidi? Ni lini na wapi kanisa hili liliwahi kufanya unayosema? Una ushahidi gani juu ya maneno yako? Kweli nchi hii ina safari ndefu sana, ndo maana nchi za wenzetu wanaowaza kuzalisha na kufanya maendeleo huenda kwao kizazi cha namna cha watu wenye vinyongo kama hiki hawapo
Tafiti hupingwa kwa Tafiti .Hakika wewe sio mtu mzuri kabisa, unaandika hisia zako zilizojaa chuki, dhuluma na unafiki. Watu kama wewe ni virus kwa jamii yoyote. Unawezaje kutuhumu watu namna hiyo? Tena kwa sababu ya shida zako bila chembe ya ushahidi? Ni lini na wapi kanisa hili liliwahi kufanya unayosema? Una ushahidi gani juu ya maneno yako? Kweli nchi hii ina safari ndefu sana, ndo maana nchi za wenzetu wanaowaza kuzalisha na kufanya maendeleo huenda kwao kizazi cha namna cha watu wenye vinyongo kama hiki hawapo
Huu ujumbe sijui kama njia iliyoenda ni sahihi,Kanisa na kulinda amani wapi na wapi? huko wajibu wao wanautimiza vizuri tu,wewe kama huridhiki iambie dola ambaye ina mkuu wake. Usitake kulisingizia kanisa ama msikiti.Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.