Kama vijana ndio mnatafakari hivi sijui ni nini hatima ya maisha yenu hapo baadae. Kuna jambo nimejifunza......mtu yeyote huwa anakuwa kulingana na kile anachokiwaza,kusoma,kutazama na kufuatilia......sasa kama wewe unandoto za kuja kuwa na maisha mazuri na kipato kizuri na kuishi maisha ya kisasa yasiyokuwa na changamoto ya kukosa milo zaidi ya mitatu kwa siku, watoto watakaopata mahitaji yao yote ya msingi, na wewe ukawa na nguvu na uhuru wa kiuchumi sidhani kama utafanikiwa kufika hizo level kama huu ndio ukoko uliokuganda kichwani. Watanzania wengi mnahali mbaya kiuchumi kwasababu mnaamini kuwa ccm ndio imeshika hatima ya maisha yenu ila ukweli ni kuwa ccm wanapata nguvu ya kuwacontrol akili maana mnao muda wa kufuatilia upuuzi wao wa kwenye media baada ya kufanya mambo ya msingi kiuchumi........sasa wewe utatumia miaka hii kumi kulalamika upumbavu kama huo na mwengineo ukifuatilia kwa makini matukio ya kubishana wanasiasa ukiamini ndio wanafanya maamuzi ya mwisho kuhusu maisha yako kumbe ni ujinga wa kujitakia.......kuna vijana wenzako kama sisi ambao 90% ya fikra zinazozunguka vichwani mwetu ni business, new business ideas, how to change and improve life, namna za kuongeza kipato, kwenye social media kama Instagram tunafollow influential individuals kama akina mohamed enterprise, akina jeff bezos, akina billgates sio hawa akina mange kimambi sijui udaku nini sijui.......na tunaona mabadiliko kila siku.... Kwa taarifa yako tu miezi michache kutoka sasa nitaagiza gari yangu, na ninataka kuanza ujenzi. Sasa wewe kaa unajadili sijui raisi sijui chadema sijui kanisa katoliki sijui bakwata......umri unaenda......huo upumbavu unaojaza kwenye kichwa chako hautakuja kukupa kiinua mgongo uzeeeni......na nyie ndio watu mnaozaa watoto wengi ili muwageuze kiinua mgongo uzeeni maana hamna akili ya kujitafutia maisha........na mpo wengi sana kwenye population ya tanzania.........kwakifupi.....umri wako wa sasa ongezea miaka kumi.......magufuri atamaliza wewe uko vile vile hauna mbele wala nyuma.......kalaga baho
SONY Xperia Z5 Premium