Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Wataanzaje kumgeuka muumin wao sasa , haya makanisani yamejaa sana unafiki ( nimesema makanisa hasa jumuiya zao na viongoz wao) na hata bakwata naona nao wapo kimya tu

Unafiki ni sumu mbaya kuliko hata uchawi
 
Sijaona mahali pameandikwa Roman Catholic.Mwamba ngozi huvutia kwake.

Swali: "Kanisa ni nini?"

Jibu: Watu wengi siku hizi wanaelewa kanisa kumaanisha jengo. Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lili lo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.” Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.
Man... Embu rudi shule
 
Semeni usiku mtalala tu
kanisa lilishasemwa sana
mara limeleta chadema ili liitawale tanzania
ninachojua nini kanisa linafanya mambo yake na halitaingilia siasa.

Kipindi cha rasimu ya katiba chadema walifurahia umaarufu kwa sababu kanisa lilisapoti katiba ya warioba

chadema walijidanganya wenyewe kuwa kanisa wanalitumia kisiasa.
Leo limemuunga mkono rais maneno yamekuwa mengi.

Halo

kanisa litaendelea kuelekeza kuonya na kukemea kila matukio yanayoendelea katika jamii kwa muongozo wake na sio kwa kufuata upepo wa chadema.

Sasa hivi linaunga mkono kupinga ndoa za utotoni na halitarudi nyuma kwa maneno ya chadema.

Jaribuni kwa waislamu labda watakubali kutumika kisiasa
 
Chadema endeleeni kutumia dini kuhalarisha uropokaji wenu.
Leo mnajifanya wasemaji wa waislamu kwamba wanateswa na kanisa

sawa

mnachotafuta hakiwezekani kwa nchi ya tanzania
 
Hivi makao makuu ya Kanisa la Yesu alilokusudia yangekuwa Roma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali: "Kanisa ni nini?"

Jibu: Watu wengi siku hizi wanaelewa kanisa kumaanisha jengo. Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lili lo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.” Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.
 
Chadema endeleeni kutumia dini kuhalarisha uropokaji wenu.
Leo mnajifanya wasemaji wa waislamu kwamba wanateswa na kanisa

sawa

mnachotafuta hakiwezekani kwa nchi ya tanzania
Haya ni mawazo huru CHADEMA inaingiaje hapa ficha upumbavu wako.
 
Unaandika huku unajazba...Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...

Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..
Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Kujiridhisha kwamba Yesu hakulianzisha Takatifu Katoliki angalia na sikiliza kwa makini kinachosemwa ndani ya hii video. Unaweza kujifunza kitu muhimu sana.

 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
...
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
Kanisa Katoliki walisaidia sana kulinda amani ya nchi ya Rwanda. Waulizeni wananchi wa Rwanda.

Amani ya nchi hii inalindwa na upoyoyo wa wadanganyika. Tuendelee kuomba wadanganyika waendelee na upoyoyo, vyenginevyo amani unayoizungumzia itapata misukosuko ya makanikia.
 
Mtume Petro wanadai ndio papa wa kwanza.
Ni waongo,upapa uliibuka nyakati za Mfalme Constantine,miaka ya 400AD.Kabla ya hapo maaskofu wote wa diosis tano walikuwa sawa.Constantnopole,Athens,Roma,Alexandria na Jerusalem.Yule wa Roma baada ya kupata sapoti ya Watawala wa kirumi akaanza kujiita papa yaan baba,wakampinga wale wengne ndo upatanisho wa Nikea(Niece) baadaye aliposisitiza ukuu wake kanisa likameguka mara mbili ndo ,Ikazaliwa Roman Catholic hii na Eastern Othordox.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jukwaa la Siasa.
Udini unakuja vipi humu?
 
Mleta hoja una mantiki,ila najiuliza hapa kanisa katoliki linahusikaje?
Kwanini usingesema "Viongozi wa dini mko wapi?"
Hii isije kuwa mbinu ya kutafuta kiki ya ugomvi
na kanisa katoliki kama sehemu ya kulipa
kisasi kwa kuwa rais ni muumini wa katoliki.
 
Hata Tanzania kanisa hili lilimbana nyerere asiruhusu dini za walokole,na mashirika ya kidini zaidi ya BAKWATA,hata shida za wazanzibari nyingi chanzo ni hawa,wanahofia eti Zanzibar itaongeza nguvu ya kusambaa kwa uislamu tanzania bara
Mleta mada umemuelewa?
 
Utawaona wakipiga kelele akitawala Muislam. Huyu wa sasa ni mwenzao hata avurunde vipi hawatamkosoa. Wanafiki sana hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom