Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.
Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.
Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.
Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.
Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.
Mwenye masikio na asikie
Nawaomba watanzania tuongeze ufahamu hasa kwa kupenda kujisomea.
Ukisema Kanisa Katoliki kwa kweli is an ambiguous term. Nahisi pengine unamaanisha Kanisa Katoliki la Tanzania!!!! Ukisema Kanisa Katoliki is an ambiguous terminology. Kanisa Katoliki ni la Roma, hawa unawaona wala sio wamiliki wake wala sio wasemaji wake.
Kanisa Katoliki hujivunia sana utajiri wa elimu waliojikusanyia watendaji wake. Kwa wenyewe ukisema kanisa unamaanisha Mashemasi, Mapadre na Maaskofu wengine wote waliobaki ni walei, maana nyingine wanyamugi. Kumbe itumike akili kubwa ya utambuzi wa mambo unapoongelea hawa jamaa.
Kanisa Katoliki ni serikali, haiyumkiniki serikali moja kuingilia serikali nyingine. Kanisa Katoliki hutaliona pale tu maslahi yake yanapokuwa hatarini. Isitoshe Marais Wakatoliki huwa juu ya Maaskofu wa nchi zao, Sheria ya Kanisa hilo Rais Mkatoliki anakuwa summoned na pope peke yake.
Jiulize Kanisa Katoliki lilikuwa wapi wakati wa utawala wa Ubaguzi wa Rangi Afrika ya Kusini, Vita ya kimbari Rwanda, wakati wa mauaji ya wayahudi ya Hitler etc