Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Kanisa Katoliki mko wapi kulinda amani ya nchi?

Makanisa wao hayawahusu zao sadaka, yangekuwa na sauti yangewatenga au kuwafukuza waumini wao bila kujali nyadhifa zao ktk jamii Wale wote wavunjifu wa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwandishi upeo wako una walakini.Kanisa hili limepoteza hadhi yake ya kulinda amani baada ya baadhi ya maaskofu wake kuchotewa fedha na Rugemalila Huwezi kusimamia amani wakati huohuo unapokea rushwa.
 
Brother sawa bado lipo ila limepungua ile nguvu ya ushawishi after fall of the Roman empire to new independent States hawa jamaa walikua wanafanya uvamizi katika mataifa mbali mbali wakasahau kulinda empire yao

Kustuka ikawa imeanguka hivyo wakaamua kuyaacha mataifa waliyovamia kwenda kulinda milki yao Ila wakawa wamechelewa ndipo ikaanguka moja kwa moja walikua worldwide

Hii ni kwa ufupi tu ila kuna mengi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna hoja kabisa Siku zote ukristo unaongezeka na wa si kupungua , angalia syria ,Libya , Yemen , nchi za kiarabu na Iraq na kwingineko ndo utajua fanya vitu kwa reference.Lakini Taasisi zote zinatakiwa kuhubiri Amani ni wachache Tanzania wanaohusudu udini.
 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie

MTU pekee mwenye nguvu ya kutoa udhalimu, uonevu, uvunjaji wa haki ni Mimi na wewe. Sisi wananchi ndio tuna power tukitaka nchi yetu iwe hivi na uwe hivyo. Kama tunanyamaza tu nasubiri tutetewe INA maana tumeridhika na hali zetu. Unakumbuka maandamano ya wanafunzi wa Indonesia? Mpk walimtoa viongozi?
 
Huwa linasubiri rais akiwa muislamu ndipo linaanza kumsakama,angalia mwinyi NA kikwete walivyosumbuliwa NA kanisa hili,

Ni kama idara ndogo ya ccm hili kanisa,hata lenyewe lina historia chafu ya mauaji huko ulaya dhidi ya watu waliolikataa,

Kwa ujumla kanisa katoliki limeua sana binadamu NA limeenezwa kwa mkono wa damu,ni kanisa lisilotaka mabadiliko

Dunia ilianza kupata maendeleo ya kifikra,kisayansi,kisiasa NA kiuchumi baada ya kulivunja vunja kanisa katoliki NA kuzaliwa KKKT,wasabato,Anglican, na mengine

Hili kanisa lina historia chafu sana NA mpaka leo mapadri wana kesi za kubaka NA kushawishi NA kudhalilisha WATOTO kingono
Wewe? Huogopi wakubwa!!!
 
Hilo kanisa nenda hapo kwa Kagame ndo utajua lilichochea mauaji ya Kimbari kwa ukubwa kiasi gani.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Unaandika huku unajazba...

Kanisa Katoliki halijawahi kuvunjwa vunjwa wala haitokaa itokee...

Yalivunjika ni hayo ukiyoyataja ..maana walikuwa KKKT na Mwanzilishi wao...ila nini kilitokea baada ya hapo...leo tuna makanisa zaidi ya laki moja..

Ila Moja Takatifu Katoliki lipo tangu Yesu alipolianzisha mwenyewe
Kanisa katoliki halikuanzishwa na Yesu, soma vizuri historia ya kanisa lenu. Kama huijui uliza, humu kuna watu wabobezi wa historia watakujuza.
 
Kama vijana ndio mnatafakari hivi sijui ni nini hatima ya maisha yenu hapo baadae. Kuna jambo nimejifunza......

Mtu yeyote huwa anakuwa kulingana na kile anachokiwaza,kusoma,kutazama na kufuatilia......

Sasa kama wewe unandoto za kuja kuwa na maisha mazuri na kipato kizuri na kuishi maisha ya kisasa yasiyokuwa na changamoto ya kukosa milo zaidi ya mitatu kwa siku, watoto watakaopata mahitaji yao yote ya msingi, na wewe ukawa na nguvu na uhuru wa kiuchumi sidhani kama utafanikiwa kufika hizo level kama huu ndio ukoko uliokuganda kichwani. Watanzania wengi mnahali mbaya kiuchumi kwasababu mnaamini kuwa ccm ndio imeshika hatima ya maisha yenu ila ukweli ni kuwa ccm wanapata nguvu ya kuwacontrol akili maana mnao muda wa kufuatilia upuuzi wao wa kwenye media baada ya kufanya mambo ya msingi kiuchumi........

sasa wewe utatumia miaka hii kumi kulalamika upumbavu kama huo na mwengineo ukifuatilia kwa makini matukio ya kubishana wanasiasa ukiamini ndio wanafanya maamuzi ya mwisho kuhusu maisha yako kumbe ni ujinga wa kujitakia.......

kuna vijana wenzako kama sisi ambao 90% ya fikra zinazozunguka vichwani mwetu ni business, new business ideas, how to change and improve life, namna za kuongeza kipato, kwenye social media kama Instagram tunafollow influential individuals kama akina mohamed enterprise, akina jeff bezos, akina billgates sio hawa akina mange kimambi sijui udaku nini sijui.......

na tunaona mabadiliko kila siku.... Kwa taarifa yako tu miezi michache kutoka sasa nitaagiza gari yangu, na ninataka kuanza ujenzi. Sasa wewe kaa unajadili sijui raisi sijui chadema sijui kanisa katoliki sijui bakwata......umri unaenda......

Huo upumbavu unaojaza kwenye kichwa chako hautakuja kukupa kiinua mgongo uzeeeni......na nyie ndio watu mnaozaa watoto wengi ili muwageuze kiinua mgongo uzeeni maana hamna akili ya kujitafutia maisha........na mpo wengi sana kwenye population ya tanzania.........kwakifupi.....umri wako wa sasa ongezea miaka kumi.......

Magufuli atamaliza wewe uko vile vile hauna mbele wala nyuma.......kalaga baho

SONY Xperia Z5 Premium
Kumbe ndo anaagiza gari yako ya kwanza?Pole sana kuna watu humu jf walianza kumiliki gari mwaka 1996 na wengine nyuma ya mwaka huo,nyumba ndo hata hawakumbuki walijenga lini sababu ni miaka mingi imepita.

Wewe kumfollow Dewji usidhani vile viujumbe vyake twitter/instagram vina msaada wowote kwako,mwenzako alipewa mtaji Tsh.bilioni 1 mwaka1999 na dingi ake Mzee Gulam sijui wewe atakushauri nini huyo.PAMBANA NA HALI YAKO.

Tombatomba idevice Model TH 45
 
Uovu unatakiwa upingwe na yeyote yule, taasisi ya kidini, kijamii, na hata watu binafsi.
Watu waovu wapo kwenye siasa, dini na pia raia wa kawaida, hivyo kunawezekana kabisa ukawepo ushirika wao katika jamii kutimiza malengo yao dhidi ya uma.
Siyo lazima kutegemea taasisi moja kama kanisa kukemea maovu katika nchi.
Mkuu,moja ya mambo ambayo watu wengi hawafahamu ni haya ya haja ya kupinga uovu kwa kila mtu,bila ya kujali imani,rangi,taaaisi au kabila pamoja na hili la kuwa uovu upo kila mahali,regardless ya dini,kabila,rangi,au itikadi ya kisiasa. Na kwa sisi tuliofanya kwenye taasisi hizi kubwa za kiimani ( Kikristo kwa mimi binafsi), tunajua jinsi uovu ulivyo chanda na pete humo. Kutegemea hawa watu kukemea uovu ni sawa na kusubiria MV Maendeleo ukiwa Ukonga - Airport. Na hao jamaa kinachowasumbua zaidi ni "wakwetu",no matter what is done is right or wrong.

Sent from my Kremlin using JamiiForum mobile app
 
watakemea siku rais akiwa si wa kutoka upande wao...wanafiki tu hawa
Sasa usishangae kanisa katoliki kua nyuma ya kampaini "baki Jpm" ili madhehebu na dini zingine zisipate raisi miaka ya karibuni mpaka wakamilishe agenda zao za siri. nimanafiki sanaa (hypocritis of highest degree)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie

mdomo ni meno babu, si mapengo ati!

lols....
 
Kweli hizi sekondari za kata na walimu wa voda fasta ni janga la Taifa! Mtu wala hujui "Roman Empire" ni kitu gani halafu unakuwa na ujasiri wa kujimwaga JF eti na wewe ni GT!!! Haya ni majanga!!!
Give the right story maneno mengi ya nini! !!!!!!!!!! jifunze "constructive critisism"
Katoliki wako kimya kwasababu benki yao imetumika kutakatisha pesa haramu za ESCROW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa katoliki halikuanzishwa na Yesu,
Unadhani nilichoandika nimebahatisha...??
soma vizuri historia ya kanisa lenu.
Unadhani sijasoma..? Au historia unayoijua wewe inasemaje...??
Kama huijui uliza
Aliyekuambia sijui ni nani...?Nimuulize nani..?? Wewe..??

, humu kuna watu wabobezi wa historia watakujuza.
Nilitee hao wabobezi hapa niwaone...Au ndio wewe..???

Maneno ya Yesu kwa Baba Mtakatifu wa Kwanza
"Wewe ndiwe Petro, na Juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu wala milango ya kuzimu haitalishinda"

Nipo
 
Ikiwa suala la amani ni moja ya majukumu yenu kuhakikisha amani inakuwepo katika nchi lakini kwa kipindi kirefu sasa tunaona kama viashiria vingi vya uvunjifu wa amani vipo tena vingi sana na vinaonekana waziwazi.

Wasiwasi wangu ni kwamba huenda kuna jambo halipo sawa, hivi kule ambapo Amani ilitoweka ilikua ni tukio la ghafla au ilikuwa ni mwendelezo wa kutojari concern za watu? hivi mnavyofanya ndivyo matatizo yaliyoleteleza machafuko duniani yalivyo anza.

Mnapo ona chombo Kama bunge kinatumika kupora HAKI za wananchi kwa Spika kutumia nafsi yake atakavyo na wala si sheria inavyoelekeza hili sio jambo dogo nduguzanguni.

Unapoona Taasissi kama tume YA uchaguzi inatoa majina kinyume na sheria inavoelekeza ujue kwamba utawala wa sheria ndo unaondoka hivo. Ukiondoka utawala wa sheria haitabaki vaccum kuna jambo litakuja kujaza uwazi huo.

Nimalizie kwa kuasa kwamba kwa kua mlikaa kimya wakati wa viashiria kamwe msijejitokeza wakati wa kusaka ushuruhishi pindi mambo yakishafika huko maana mtaonekana wazi kwamba nyie ni wanafiki.

Mwenye masikio na asikie
Sasa Kanisa liingilie vipi maamuzi ya chama cha siasa? Chadema hamna akili nyie
 
Hili kanisa linamwamini sana Ngosha na sijui kwanini
 
Back
Top Bottom