Wewe kote mfupi au... muonyeshe urefu wako uliojariwa kama na huko basi tafuta mfupi mwenzioHabari za majukumu wanajukwaa..!
Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3
Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!
Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.
Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!
Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,
Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!
Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Haaaaaaaaaaaaahaaaaaaa hii comment yko hii ila mbona mi mfupi na cna hela naenda nao sawa tu? Heshma yng kubwa sana kwa hawa viumbe nimesugua sana mtaani baada ya kutoka chuo saa hz ndio nna kaajira ka kwanza so huwezi sema wananikubali kisa pesa mi siamini hz mambo zenu kuna sehem tu mnajikoroga wafupi wenzangu tatzo co kimo jmn laiti ungeona mashine nnazosukuma mm ungeshangaa!Hamna huku wanapakimbiaga.,, Nina hatari ya kuuwa mtu huko... sio tatizo kabsa
Haaaaaaaaahaaaaaaaa rubii jinga sana ww!Ndio maana mfupi
Wew usimalize bandle zako KWA kumjadili huyo mwanamke.wengi hutaka wanaume wa kupiga nao picha sio ya KUISHI nao. WEW tulia maisha hayana ubishoo yakimpiga atakuja na miguu yake ingawa alikataa kwa kichwa chake.Habari za majukumu wanajukwaa..!
Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3
Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!
Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.
Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!
Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,
Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!
Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Hakika umenena Mkuu.,, Chukua balimi ntalipia., Hii ndo comment ya kwanza yeynye akili wanaume wengine wote wamenisaliti na kuwatetea wakike,...!!
Habari za majukumu wanajukwaa..!
Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3
Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!
Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.
Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!
Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,
Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!
Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Umemzidi wapi? Wakat yeye kakuzidi ww una fut 5 na 11cm ambazo ni sawa na 161cm Wakat yeye ana 163cm.Nimekuzidi kidogo mwenzako ft5n cm 11 lakini sina tatizo hilo pole sana mfupi mwenzangu
Skujua kama ishu ya ufupi ni sensitive kiasi hiki....,, Wanawake mna mambo ya ajabu kweli yan..., Ila huko kote ni kujikosha tu kuna wengine mnaolewa na watu wafupi hadi tunawahurumia afu mshkaji mnamshadadia hapa..,,!!!
Oya jiamini na wew boya , mwanaume wew acha kuji inferiorize..!!! Wanawake hawa mbwembwe tu wanaolewa hadi na Mbilikimo kabsa....!!
Kwa mifano hiyo hapo nagundua sababu sio ufupi, sababu ni PesaBoss ufupi si sababu, hiyo inatumika kama kiini macho tu.
Angalia Dr. Regnald Mengi na Jacqueline Mengi. Yani Dr ni kaandunje vby.
Angalia Kevin Hart na Enikko Parrish. Angalia Chrissy Teijen na John Legend.
Angalia Helen Lasichanh na Pharrel
Waone Erica Menna na Bow wow.
Boss tafuta pesa uwe nazo za kumpa na kumpa tena.
Hahahaha...! Kistu*pole kwa steles tunazokupa kistuli. ni changamoto za hapa na pale
Kwa kauli hizo.za dharau atafute pesa kwa.ajili.tu ya maisha yake na wala si kingine...a good woman with moral values wilo come his way wala asiwe na haraka. Lakini eti unamtafutia mtu pesa anayekudharau ...zikiisha je? Utaambiwa kwaheri nakuacha umefilisika naenda kwa mwengine mwenye hela.Boss ufupi si sababu, hiyo inatumika kama kiini macho tu.