Plot4Sale Plot for Sale at Kigamboni - Tundwi Songani

talk2me

Member
Joined
Jan 22, 2010
Posts
12
Reaction score
12
Habari wanajukwaa. Nina kiwanja cha kwangu mwenyewe (kina hati tayari). Kiwanja kipo Tundwi Songani mbele ya Mwasonga mbele kidogo ya chuo cha kilimo cha Wajapani. Kiwanja kina ukubwa wa square meters 1,076. Bei ni 25Mil. Kwa maulizo na mawasiliano piga 0715251100.
 
Tulivu na potea kote unapita?
 
Habari wanajukwaa. Nina kiwanja cha kwangu mwenyewe (kina hati tayari). Kiwanja kipo Tundwi Songani mbele ya Mwasonga mbele kidogo ya chuo cha kilimo cha Wajapani. Kiwanja kina ukubwa wa square meters 1,076. Bei ni 25Mil. Kwa maulizo na mawasiliano piga 0715251100.
Weka details zote na picha
 
Kila la kheri mkuu
 
Mkuu tundwi barabara ya lami imefika?
Miji ya sasa hivi hasa dar usihangaike na barabara ya lami mkuu. Wewe angalia barabara zipo za kufika mpaka kwako. Je kiwanja chako hakipitiwi na changamoto za miundombinu kama barabara basi.

Barabara za lami na umeme vitawafuata tu huko. Wewe kama una hela kwa dar. (Japo sio dar tu,siku hizi mpaka mawilayani huko) nunua sana maeneo,angalia tu barabara zinapita kwako.

Ninachotaka kukuambia watu wanaongezeka kwa kasi mno. Hayo maeneo yanaonekana ni mbali au polini kwa sasa. Ipe miaka kuanzia miaka mitano tu.

Mfano kuna mtu kazaliwa Gongo la mboto huko au Mbagala,chanika ,miaka 16 iliyopita hajawahi fika kariakoo. Unajua kwa nini? Ksbb Mbagala ya sasa ni town inayojitosheleza. Kuna kila kitu hadi maduka ya jumla. Wakati kitambo kidogo tu nyuma miaka 10 nyuma ungekukataa. Hata kigamboni tu huko kuna watu mpaka leo wanakukataa. Hawajatembea kuiona inavyokimbia
 
Ushauri mzuri mkuu. Nataka ninunue kwa ajili ya kuuza baadae sio kujenga makazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom