Kanigeuka kisa kapata kazi

Kanigeuka kisa kapata kazi

hapana mkuu nimemfanyia mambo mengi sana nikipiga hesabu harakaharaka yaani ni pesa ya kununua kiwanja kabisa sidhani kama moyo wangu utaridhika nikimuacha hivihivi

kwani mkuu we hauna dini? Imeandikwa wapi kulipizana kisasi? Mwachie mungu atakulipa tuu chonde chonde!! Ila kaa ukijua kidumu alichopata atamwacha na atarudi tena kwako. Sasa jiandae kabsaaa mkuu afu utaniambia
 
Usijali dada zetu wana akili...ila ni wachache wenye kuona mbele na mbali...mara nyingi si watu wanaokubali ukweli juu ya mafanikio yao kua yanatokana na Juhudi na sacrifices ambazo watu wamefanya kwa ajili yao..pia husikia sifa na kuona raha kuwadharau watu walio wasaidia wao hutafsiri kuwa ni aina ya uzembe ambao sisi tunaufanya kwa ajili yao....ila kua jasiri...wanawake ni Bidhaa iliojaa sokoni...tuliza kichwa na songa mbele
 
we nimwanaume inauma sana ila trust me we muache bila ugonvi kwanza hakua mkeo Mungu atakupa wako najua kapendamtu ofcn nikawaida sana cku iz ila akichokwa utamuona trust me

sawa mkuu tajitaidi kusahau japo ngumu
 
Usijali dada zetu wana akili...ila ni wachache wenye kuona mbele na mbali...mara nyingi si watu wanaokubali ukweli juu ya mafanikio yao kua yanatokana na Juhudi na sacrifices ambazo watu wamefanya kwa ajili yao..pia husikia sifa na kuona raha kuwadharau watu walio wasaidia wao hutafsiri kuwa ni aina ya uzembe ambao sisi tunaufanya kwa ajili yao....ila kua jasiri...wanawake ni Bidhaa iliojaa sokoni...tuliza kichwa na songa mbele
poa ndugu nimekuelewa ila rohoni naumia sana
 
Usitumie misaada uliyokuwa unatoa kama fimbo, wewe ulimsaidia shida zake na yeye akakupa mzigo. Now shida zake anaweza kutatua kwa nini akupe mzigo? Je kama ulikuwa HAUMFIKISHI aendelee kukung'ang'ania wakati kuna vijana wengine wachapakazi wanajua kutoa nini mdada anataka? Lazima vijana mjue kuwa wasichana hawataki fedha na hiyo misaada Tu, wanataka na raha kitandani, mwanaume presentable akitoka naye anajihisi yuko protected nk. Tafuta mwingine wa type yako, usimfanye bidada kuwa mtumwa wakati kwa sasa hana shida.
 
kwani mkuu we hauna dini? Imeandikwa wapi kulipizana kisasi? Mwachie mungu atakulipa tuu chonde chonde!! Ila kaa ukijua kidumu alichopata atamwacha na atarudi tena kwako. Sasa jiandae kabsaaa mkuu afu utaniambia

mkuu mi dini ninayo tena muislam safi,swali!mtu akikosea mkuu si anahitaji kuregebishwa?kama jibu ni ndio mi nilipenda nimregebishe
 
Mkuu mimi ninayo naazimisha, ila uwe mwangalifu usiende kumaliza ukoo mzima, uwe person specific
 
Usitumie misaada uliyokuwa unatoa kama fimbo, wewe ulimsaidia shida zake na yeye akakupa mzigo. Now shida zake anaweza kutatua kwa nini akupe mzigo? Je kama ulikuwa HAUMFIKISHI aendelee kukung'ang'ania wakati kuna vijana wengine wachapakazi wanajua kutoa nini mdada anataka? Lazima vijana mjue kuwa wasichana hawataki fedha na hiyo misaada Tu, wanataka na raha kitandani, mwanaume presentable akitoka naye anajihisi yuko protected nk. Tafuta mwingine wa type yako, usimfanye bidada kuwa mtumwa wakati kwa sasa hana shida.
yaani ndugu kwenye suala la 6x6 hapa ndo mahala pake natamani hata nikuoneshe makovu mgongoni na sehem za mbavu alivyonifanya anapokaribia kufika kileleni kuhusu hilo usilizungumzie namkuna ile kisawasawa hadi kufikia akinikuta na mwanamke offisi anatamani kuzichapa ni mengi sana mkuu we acha tu
 
mkuu mi dini ninayo tena muislam safi,swali!mtu akikosea mkuu si anahitaji kuregebishwa?kama jibu ni ndio mi nilipenda nimregebishe

kajiripue make wafuasi wa mtume hamukawii kujitoa mhanga
 
Mkuu mimi ninayo naazimisha, ila uwe mwangalifu usiende kumaliza ukoo mzima, uwe person specific

mimi sitaki kumpoteza duniani wala kumfoo saro mi nataka nimrudishe kwenye msoto ili ajifunze na awe anaheshim watu
 
yaani ndugu kwenye suala la 6x6 hapa ndo mahala pake natamani hata nikuoneshe makovu mgongoni na sehem za mbavu alivyonifanya anapokaribia kufika kileleni kuhusu hilo usilizungumzie namkuna ile kisawasawa hadi kufikia akinikuta na mwanamke offisi anatamani kuzichapa ni mengi sana mkuu we acha tu

Basi fanya utafiti ujue sababu ya kukuletea pozi wakati mkwanja alipata na kitandani alikolezwa. Lazima atakuwa kiruka njia ila kila alichofanya kiko ndani ya Uhuru alionao kuchagua mpenz amtakaye na wewe hakikisha kisasi chako hauvunji sheria yoyote. Just move on
 
mkuu mi dini ninayo tena muislam safi,swali!mtu akikosea mkuu si anahitaji kuregebishwa?kama jibu ni ndio mi nilipenda nimregebishe

mkuu kuna tofauti kati ya kurekebishwa na kulipiza kisasi. Ila fanya namna roho yako inapenda, najua ukipewa ushauri unaufanyia kazi, katika coments za watu mi sijaona aliyesema lipiza kisasi, sasa kama hutofanyia ushauri uliyopewa humu mmu hamna haja ya kuomba ushauri.
 
hapana mkuu nimemfanyia mambo mengi sana nikipiga hesabu harakaharaka yaani ni pesa ya kununua kiwanja kabisa sidhani kama moyo wangu utaridhika nikimuacha hivihivi

Sasa mkuu ukimfanyia hela ya Kiwanja itarudi? We kausha chukulia kama hizo fedha na huduma ulipoteza.....na wewe utakuja kupata aliyelishwa kisha na wewe unachota. Lakini nauliza!!!! Mzigo ulikula au ndo chanzo cha hasira kuwa kubwa? Hukukamua hata kidogo??!!!
 
mkuu mzigo nimekula sana,tatizo mkuu dharau zake ndizo hunipa wazo nami nimkomeshe
 
mkuu najiuliza maswali mengi sana na majibu sipati ndipo hasira zinaponipanda zaidi na ili moyo wangu uridhike nami nimtende kama alivyonitenda.

Hilo ni kosa mkuu,jifunze kusamehe na kuachilia kisha nyamanza kimya na usonge mbele,hata -------- akinyamanza huonekana mwenye hekima.
 
Eti uwa wanasema, pata pesa tukujue tabia yako....
She was using you and nothing else...
 
wazo lako ni zuri mkuu ila naimani ungekuwa wewe kwa hili usingetaka ushauri ungetake action mojakwamoja kwa sababu inauma asikuambie mtu

unataka kumuonyesha amekuweza??? ukilianzisha2 basi anajua imekuuma ...tena saanaaa so we jikaze kiume mkuu jaribu kumsahau kwa kuwa tayari unakazi inayo kufanya uwe busy endelea kuwa busy sana tena ukizingatia na kombe la Dunia ndo hilo kesho tu liaanza so una BRAZUKA shangwe kila siku uko tyt hadi unaona masaa 24 hayatoshi....( nb: chagua team nzuri za kushabikia kama GERMAN,NETHERLAND OR BRASIL.)
 
Back
Top Bottom