Kanigeuka kisa kapata kazi

Kanigeuka kisa kapata kazi

Inasaidia,white girls are open minded km anakupenda anakwambia n u cn see it km hakupendi anakwambia pia rather than cheating...ila bongo its not working that way.
ulishawai kutoka na mzungu mkuu?
 
Mr. Mgeni angalia ushauri uliopewa na wengi ni kuwa msamehe na endelea na maisha yako, hata mimi nakushauri hivyo hivyo mkuu, achana na biashara za visasi! Hazina tija hizo! So mkuu chukua ushauri wa wengi, mwache na maisha yake, endelea na maisha yako mkuu.
 
kumwekea dhamana mwanamke ni sawa na kumwekea dhamana mmasai
 
Mkuu mi nilisha apa kwa miungu yotesitomsomesha wala kumtafutia kazi demu tuu sijui girlfriend,,nitafanya hivyo kwa Mke wangu tena ambaye amesharudisha faida(mtoto), hapo nahisi sitoumia kabisaa!!
 
achana nae kaa tulia tafuta mwingine haraka wa kukupa ubize ili umsahau yule mshenzi mimi huwa nawatia black list napia nafuta namba zao na sitembelei sehemu alipo huwa inanisaidia ku recover lakini kisasi sio huleta madhara mengine makubwa zaidi
 
zamani hayo yalinikuta mimi tena baada ya kukosa kazi nikawa mpole akajirudisha nikaona kumkomesha ni kumpiga mimba alafu nimteme nilee tu mtoto tuone ataolewa nanani sasa nina kazi yangu yeye kaisha chuja anapata tu waonjaji si waowaji
 
kapata aliyekuzidi kete huko ofisini sa we unajilazimishia ya nini... wanawake wengi mwache aendeleee... wewe si wa type yake shida ndo zilimfanya akupende.......ndioyo ile shukrani ya punda ni mateke.... ki digital umeshapikwa kisendal ... endelea na maisha yako kijana ....
Yaani wewe bana..hilo jina chagga ni lako kweli..?
 
simlili niwe nae kimapenzi tatizo kwanini ananiletea dharau?hata kama aliyenae anamili magorofa kumi mi hayanihusu dharau zake ndizo hunipa hasira

mtoto acha kupiga mayowe... acha watu watu waone wenyewe
 
zamani hayo yalinikuta mimi tena baada ya kukosa kazi nikawa mpole akajirudisha nikaona kumkomesha ni kumpiga mimba alafu nimteme nilee tu mtoto tuone ataolewa nanani sasa nina kazi yangu yeye kaisha chuja anapata tu waonjaji si waowaji

Umemtesa mwanao kwa kutompa mapenzi ya baba.... ndo maana nikishaachana na kidume hata uje na nini labda unipe hati za asset kama mbili kwa jina langu ndo.nikurudie hivi hivi siwez .... huwa natupa jongololo na mti wake aiii.... umemkomoa kwel ila umemtesa mtoto....
 
Mkuu mi nilisha apa kwa miungu yotesitomsomesha wala kumtafutia kazi demu tuu sijui girlfriend,,nitafanya hivyo kwa Mke wangu tena ambaye amesharudisha faida(mtoto), hapo nahisi sitoumia kabisaa!!

Maumivu yapo pale pale mkuuu
 
zamani hayo yalinikuta mimi tena baada ya kukosa kazi nikawa mpole akajirudisha nikaona kumkomesha ni kumpiga mimba alafu nimteme nilee tu mtoto tuone ataolewa nanani sasa nina kazi yangu yeye kaisha chuja anapata tu waonjaji si waowaji

kumbe tupo wengi mkuu
 
mimi kwa umri niliyoishi duniani nimegunduwa wanaume malaghai na matapeli ndio huwa wanawezana vizuri na wanawake, sijawahi kulisikia tapeli lolote likilia kutendwa na mwanamke, nadhani hawa watu wana vipaji vya kipekee kabisa.
 
Habari zenu wana jf,

Najuta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali.

Wana jf naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika mahusiano ni binti ambaye tulifahamiana nae siku moja alipokuja na mama yake mdogo ofisini kwangu kupata huduma,

huyu mama yake mdogo ni mtu ninaefahamiana nae hivyo basi akaona haina budi kunitambulisha kwa mwanae nami nikaona ni vizuri kuanzia hapo binti yule alianza kunizoea na kuonesha dalili zote za kunitaka hata baadhi ya siku hufunga safari na kuja kunisalimia.

nami sikua na hiyana huwa sipendi kumkwaza mtu nikawa nampa ushirikiano tu mzur.

kutokana na ubize wa kazi yangu muda wa story huwa sina nikamwambia kama hutojali uwe unakuja saa 12jioni muda ambao nipo off ila sijui kama mama yako mdogo atakubali akasema hilo halina shida nikimwambia nakuja kwako hawezi kunikatalia kiukweli hilo jibu lake lilinipa ulakini!!

Basi jioni tukawa tunaenda sehemu ya utulivu tunapiga story sana tunapata chakula then tunaondoka tuliendelea hivyo kwa muda mrefu huwa anakuwa kama na kitu cha kutaka kuniambia lakini anashindwa kila usiku lazima anipigie simu na asubuhi lazima aniulize umeamkaje.

kutokana na tabia zake nzuri alizozionesha kwangu nikaona pengine Mungu ndo kanionesha mke mwema nikamtongoza japo sikutumia nguvu hata kidogo alitabasam na kufurahi nakumbuka alinikumbatia na kunipiga busu hadi nilihisi kuwewesuka kwa joto lake.

Nikawa namhudumia kila alichokitaka nilimpatia na alinipenda na kuniheshimu kama mume wake.

Nakumbuka aligombana na mama yake mdogo akawa kahamia kwa dada yake ni mbali kidogo huko nadhani maisha yalikuwa ya shida,alikuwa akinipigia simu "leo baby sijala"nikawa namsaidia akiugua namtumia pesa za matibabu,

SASA basi miezi miwili imepita kapata kazi basi ni dharau mwanzo mwisho simu hapigi,text hanitumii hata nikimtext baada ya masaa mawili ndo anareply tena shortly wiki tatu zimepita kanipigia simu anaumwa bila hiyana nikaenda kumuona na nilimpa kila kitu anachohitaji mgonjwa sikutaka maongezi nikaondoka zangu hadi leo sijawasiliana nae sababu ninahasira nae sana na ninataka nimfanyie kitu ambacho hatakisahau ili iwe fundisho au nyie wanajamvi mnanishauri nini?

mkuu huna haja ya ya kumfanyia kitu mbaya....infact kama ukiweza....the principal is kula mzigo...baada ya hapo achana nae......i guareentee you...what goes around comes around...
 
Back
Top Bottom