Kanigeuka kisa kapata kazi

Kanigeuka kisa kapata kazi

hapana mkuu nimemfanyia mambo mengi sana nikipiga hesabu harakaharaka yaani ni pesa ya kununua kiwanja kabisa sidhani kama moyo wangu utaridhika nikimuacha hivihivi

Sasa wakati unampa yeye viwanja hukuviona?
Hebu muache bint wa watu aendelee na maisha yake,yaani kujifanya tupa tupa ndio umnyime amani bint wa watu? Pengine si kazi tu,una yako yalomkera huyasemi!!
 
mimi kwa umri niliyoishi duniani nimegunduwa wanaume malaghai na matapeli ndio huwa wanawezana vizuri na wanawake, sijawahi kulisikia tapeli lolote likilia kutendwa na mwanamke, nadhani hawa watu wana vipaji vya kipekee kabisa.

Mkuu hapo umesomeka, matapeli wanaelewa sheria za mchezo
 
Haya mambo yapo ndugu yangu. Puuzia anza upya na Mungu atakupa aliye wako. Mapenzi hayalazimishwi.
 
Brother! i wanna tell you something that "to4get the rong is the best revenge" (kusahau maudhi ndo njia nzuri ya kulipiza kisasi) nakuomba uachane nae jaribu kuwa busy ufanye yako.Najua huko aliko lazma nafsi itamsuta atakavyo ona ukokimya,lakni ukianza kila wakatikumfatilia ataona bado unashida nae.Naomb nkuulize kwani uliwahi kumnunulia kiwanja? maana nimesoma kama umeandika au?
 
hapana mkuu,,nimemnunulia vitu vingi sana vya thamani
 
hapana mkuu nimemfanyia mambo mengi sana nikipiga hesabu harakaharaka yaani ni pesa ya kununua kiwanja kabisa sidhani kama moyo wangu utaridhika nikimuacha hivihivi

yani hakuna adhabu mbaya kwa mtazamo wangu kama kumwacha mtu bila kumfanya lolote......
 
Kama ulikuwa unamuomba hela lazima akugeuke nahisi ulikuwa unamtegemea mwanaume huwa haachwi anaacha.
 
Kama ulikuwa unamuomba hela lazima akugeuke nahisi ulikuwa unamtegemea mwanaume huwa haachwi anaacha.
sijawai omba mwanamke pesa hata siku moja na wala haitakaa itokee
 
Back
Top Bottom