Kanigeuka kisa kapata kazi

Kanigeuka kisa kapata kazi

Huyu njaa ilimsukuma kujifanya kakupenda ila haikuwa hivyo chifu alipenda noti zako tu
Sasa huko alipoenda yawezekana kakutana na jamaa mwingine ambaye kiuchumi yupo juu yako labda pengine anakata zaidi yako maana yeye unakuta hana malengo uliyokuwa nayo wewe
Demu kwa sababu ya amaa kaanza kukusahau mi naona huyo chifu hakufai kama kumega jimegee tu ila ndoa kaa nayo mbali mkuu

sawa chifu nimekupata
 
sasa mkuu tabia zake zikomeshwe vp ili zisijirudie?

Kujirudia kwa tabia zake hyo wala wewe haitakiwa kukuhusu, kwani sio kazi yako kumbadilisha, kwani umekuwa mzazi wake? au kaka yake? acha dunia imfundishe, wewe angalia kile kinachokuhusu ambacho ni kumsahau na kuendelea na maisha yako
 
Habari zenu wana jf,

Najuta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali.

Wana jf naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika mahusiano ni binti ambaye tulifahamiana nae siku moja alipokuja na mama yake mdogo ofisini kwangu kupata huduma,

huyu mama yake mdogo ni mtu ninaefahamiana nae hivyo basi akaona haina budi kunitambulisha kwa mwanae nami nikaona ni vizuri kuanzia hapo binti yule alianza kunizoea na kuonesha dalili zote za kunitaka hata baadhi ya siku hufunga safari na kuja kunisalimia.

nami sikua na hiyana huwa sipendi kumkwaza mtu nikawa nampa ushirikiano tu mzur.

kutokana na ubize wa kazi yangu muda wa story huwa sina nikamwambia kama hutojali uwe unakuja saa 12jioni muda ambao nipo off ila sijui kama mama yako mdogo atakubali akasema hilo halina shida nikimwambia nakuja kwako hawezi kunikatalia kiukweli hilo jibu lake lilinipa ulakini!!

Basi jioni tukawa tunaenda sehemu ya utulivu tunapiga story sana tunapata chakula then tunaondoka tuliendelea hivyo kwa muda mrefu huwa anakuwa kama na kitu cha kutaka kuniambia lakini anashindwa kila usiku lazima anipigie simu na asubuhi lazima aniulize umeamkaje.

kutokana na tabia zake nzuri alizozionesha kwangu nikaona pengine Mungu ndo kanionesha mke mwema nikamtongoza japo sikutumia nguvu hata kidogo alitabasam na kufurahi nakumbuka alinikumbatia na kunipiga busu hadi nilihisi kuwewesuka kwa joto lake.

Nikawa namhudumia kila alichokitaka nilimpatia na alinipenda na kuniheshimu kama mume wake.

Nakumbuka aligombana na mama yake mdogo akawa kahamia kwa dada yake ni mbali kidogo huko nadhani maisha yalikuwa ya shida,alikuwa akinipigia simu "leo baby sijala"nikawa namsaidia akiugua namtumia pesa za matibabu,

SASA basi miezi miwili imepita kapata kazi basi ni dharau mwanzo mwisho simu hapigi,text hanitumii hata nikimtext baada ya masaa mawili ndo anareply tena shortly wiki tatu zimepita kanipigia simu anaumwa bila hiyana nikaenda kumuona na nilimpa kila kitu anachohitaji mgonjwa sikutaka maongezi nikaondoka zangu hadi leo sijawasiliana nae sababu ninahasira nae sana na ninataka nimfanyie kitu ambacho hatakisahau ili iwe fundisho au nyie wanajamvi mnanishauri nini?

sasa umfanyie kitu ambacho hata kisahau ili iweje? huyo binti wala hana shida, kwa sasa anaweza kumudu vimatumizi ambavyo ulikuwa unamuhudumia wewe cha kufanya ongeza huduma kama hautopata simu mara kumi kumi, mnunulie gari.
 
makubwa, kuachwa kunauma jamani, mi nilidaiwa hadi nguo za ndani kisa alinunua yeye, nikasema put them in tshs nikupe, khaa nikupe nguo zangu kisa tumeachana never, later akaomba msamaha na kunitakia kila la heri , naamini hasira zikishuka hutadai chochote coz hakuna kitakacholingana na penzi lako
 
Kujirudia kwa tabia zake hyo wala wewe haitakiwa kukuhusu, kwani sio kazi yako kumbadilisha, kwani umekuwa mzazi wake? au kaka yake? acha dunia imfundishe, wewe angalia kile kinachokuhusu ambacho ni kumsahau na kuendelea na maisha yako
poa ndugu nimekuelewa
 
makubwa, kuachwa kunauma jamani, mi nilidaiwa hadi nguo za ndani kisa alinunua yeye, nikasema put them in tshs nikupe, khaa nikupe nguo zangu kisa tumeachana never, later akaomba msamaha na kunitakia kila la heri , naamini hasira zikishuka hutadai chochote coz hakuna kitakacholingana na penzi lako
mimi mbona sijamdai chochote ananikosesha raha kwa kitu kimoja tu
 
mapenzi kweli yanaumiza...wanasema masikini hana uchaguzi, mwache aende!!
 
Just walk away and let it go, ipo cku atakutafuta mwenyewe, Wema hauozi
 
usifanye chochote,wewe mute kama sio kupiga silence,yeye mwenyewe ataumia na guilt conscious hilo moja la pili,kwa asilimia kubwa ya vijana sasa ivi longolongo nyingi,usianze uhusiano na mtu na ku conclude kuwa huyu ndie wife wangu,unaji commit 100%,kuweni tu wapenzi na swala la mke lije kama matokeo baada ya taarifa ya habari.
 
Hatujaisha kaka! Wanawake tupo kila sampul cha kufanya futa kumb kumb zake kichwani kwako achana na malipizi hayana tija.. si kila uhusiano unaopitia lazima ufikie mpaka ndoa...zingine zinakuja tu kukupa changamotoo!! Kisasi si juu yetu...
 
asante kwa ushauri
 
usifanye chochote,wewe mute kama sio kupiga silence,yeye mwenyewe ataumia na guilt conscious hilo moja la pili,kwa asilimia kubwa ya vijana sasa ivi longolongo nyingi,usianze uhusiano na mtu na ku conclude kuwa huyu ndie wife wangu,unaji commit 100%,kuweni tu wapenzi na swala la mke lije kama matokeo baada ya taarifa ya habari.

asante ndugu
 
  • Thanks
Reactions: lin
mkuu najiuliza maswali mengi sana na majibu sipati ndipo hasira zinaponipanda zaidi na ili moyo wangu uridhike nami nimtende kama alivyonitenda.
kuna vitu ulilua unamfanyia sasa ni wakati wake kukurudushia... Mara nyingi sisi wanaume tunadharau wanPia ujue manamke anaheshimu mtu kutokana na kiwango cha ifluence au pesa alichonacho
Achia ngazi
 
Uliwahi kula mzigo ? Km ushakula huna cha kusikitikia
 
Uliwahi kula mzigo ? Km ushakula huna cha kusikitikia
mzigo nimemega sana problem dharau ndo sipendi hata kama kampata aliyenizidi kipato asinidharau afanye yake wala sintamhusudu
 
kuna vitu ulilua unamfanyia sasa ni wakati wake kukurudushia... Mara nyingi sisi wanaume tunadharau wanPia ujue manamke anaheshimu mtu kutokana na kiwango cha ifluence au pesa alichonacho
Achia ngazi
simlili niwe nae kimapenzi tatizo kwanini ananiletea dharau?hata kama aliyenae anamili magorofa kumi mi hayanihusu dharau zake ndizo hunipa hasira
 
we nimwanaume inauma sana ila trust me we muache bila ugonvi kwanza hakua mkeo Mungu atakupa wako najua kapendamtu ofcn nikawaida sana cku iz ila akichokwa utamuona trust me
 
Back
Top Bottom