Kanigeuka kisa kapata kazi

Kanigeuka kisa kapata kazi

hapana mkuu nimemfanyia mambo mengi sana nikipiga hesabu harakaharaka yaani ni pesa ya kununua kiwanja kabisa sidhani kama moyo wangu utaridhika nikimuacha hivihivi

Huo ni mshahara wa kufanya uzinzi kabla ya ndoa. Inakubidi umsamee ili unapotubu dhambi zako Mungu akusamehe na umuombe akupatie ambaye atakuwa mke mwema.
 
Huwa wanasema awali ni awali tu. Wewe usifanye kitu chochote tena usimwonyeshe kuwa unahasria nae wekaa kimya sometime mjulie hali kama binadamu mwenzio na sio kama mpenzi ipo siku atakuja kukupigia magoti na kukuomba msamaha na hapo ndipo atakuwa kashachelewa. na ndio maana kuna msemo wasema pata pesa tujue tabia yako so ukimjua mtu jina huwezi muuliza waitwa nani!!
ni kweli ila..mmm napata kigugumizi kwa kweli
 
wazo lako ni zuri mkuu ila naimani ungekuwa wewe kwa hili usingetaka ushauri ungetake action mojakwamoja kwa sababu inauma asikuambie mtu

Najua mkuu.hawa madada ndo walivyo kaka.cha msingi kusahau mkuu.mm nilishawahi kumfumania temu wang wa niko naye 4 yrs .then akanikana kuwa anijui mbele ya bwana wake.tena mara tatu.nikawa mpole naw nikasahau maisha yanasonga mkuu
 
hapana mkuu nimemfanyia mambo mengi sana nikipiga hesabu harakaharaka yaani ni pesa ya kununua kiwanja kabisa sidhani kama moyo wangu utaridhika nikimuacha hivihivi

Chukua hili kama funzo Mkuu. Mimi nimeshasema na ndo utaratibu sihongi sana kipindi cha uchumba kuna binti aliniomba TV baada ya kuona nimenunua kubwa na ya kisasa zaidi ati oh!. Napata shida nyumbani kaka zangu wanaangalia mieleka mie napenda tamthilia baby nipe basi hii TV nikaweke chumbani. Nikakataa kata kata Leo hii siko naye kahamia mkoa mwingine wengine wanakula vitu huko. Huwa naiangalia TV hii namkumbuka sasa inanifaa sana kwani naitumia kwenye biashara yangu kuniliwaza shwarii chukua tu kama somo bro.
 
tatizo dharau zimepitiliza nikimuacha hivihivi ataniona mi zuzu

adhabu itakayo mfaa ni wewe kutafuta hela na maendeleo mazuri na wewe kutokujali itamuumiza mpaka kufa kwake...... yani kitendo cha wewe kutomfuatilia ooh kwa nini ameniacha kitamnyima raha sana
 
Mr mgeni

Warumi 12 :19 Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
 
kwa alichonitenda inaniuma sana kusahau inahitaji msaada wa ziada na lengo langu nikukomesha dharau zake nina kila sababu ya kufanya hivyo

^^
Mr Mgeni utalipiza kisasi ndiyo, Utamkomesha sawa, Lakini unafikiri mapenzi yataisha uongo? Yataisha usaliti? Haya mambo yalikuwepo tangu adam na hawa, na yataendelea kuwepo!
Jipe muda, Tulia, Usipomfanya chochote utakuwa umempa adhabu kubwa ambayo ipo siku atakuja analia
^^
 
Pole sana!yaani mabinti wa dizaini hiyo ndo hao wanasababisha wote tuonekane tuko hivyo.
 
We ni bweg.e, unataka kumlipizia kisasi kwa lipi? Kwa sababu hakupigii simu au kwa sababu ulitumia resource zako nyingi? Hebu jiulize maswali haya then ukishajibu nitakupa ushauri wangu ::: Najua wewe ulimpenda, je una uhakika yeye alikupenda? Hudhali kama wewe ndo unajishtukia na kufanya hali izidi kuwa mbaya zaidi?

Kama mzigo umekuzidi, kaa pembeni mapema kabla mambo hayajaharibika zaidi ... MUNGU atakupa wakufanana nawe .....😕
 
ni kweli nitakua ----- kama nikimuacha hivihivi
 
Mkuu kumbuka usemi wa wahenga "Akufanyiae ubaya mlipe wema" Kama unahisi kweli kuna jeuri imejengeka kwa sababu ya kazi...subiri siku ambayo mko katika hali ya kawaida au kama amesha poa....Tafuta maua mazuri..vaa nguo nzuri..na umpelekee maua na umwambie "haya ni maua ya kuagana" ukimaanisha mwsiho wa uhusiano wenu...kuanzia hapo wewe ndo unatakiwa uwe ghali mkuu...dada zetu hawa ni viumbe visivyo na shukurani...mara nyingi havijui umuhimu wa kitu mpaka kiwatoke....kuendelea kumpigia magoti ndo kuzidi kumpandisha kichwa...akitumia txt mwambie unajisikia furaha na raha kuishi maisha ya peke yako....ila usiwe mkali wakati unamfanyia iyo physiological torturer...
 
kiukweli mkuu moyo wangu unasimanzi sana siyo kwa sababu eti nampenda hapana sio suala la kupenda mi roho inaniuma kwa dharau anazonionesha sijawai kudharauliwa na mwanamke hata siku moja nataka nimuharibie ili ajifunze
 
wacha nikupe siri.. huyo kampata mtu aliye mtamani halaf dem anachanganya na mapenzi akijipa moyo anapendwa... dont worry atachezewa atabwagwa atarudi kwako kwa magoti, then hapo utajua cha kufanya... adhabu ya kumpa wewe kaa kimyaaaaa! itamuumiza kisaikolojia :der:mda c mrefu then atashindwa himili huko alikotamaniwa.
 
Back
Top Bottom