Kanigeuka kisa kapata kazi

Kanigeuka kisa kapata kazi

bila hiyana nikaenda kumuona na nilimpa kila kitu anachohitaji mgonjwa sikutaka maongezi nikaondoka zangu hadi leo sijawasiliana nae coz ninahasira nae sana na ninataka nimfanyie kitu ambacho hatakisahau ili iwe fundisho au nyie wanajamvi mnanishauri nini?

hapo kwenye red ndio tatizo...hujaongea nae kupata conclusion ya maana...hata kama viashiria vipo...huwezi jua...pengine kasikia taarifa fulani juu yako..ww umeassume sababu ya kupata kazi na yeye analake moyoni..kaeni mjadili upate uchaguzi sahihi...
 
wacha nikupe siri.. huyo kampata mtu aliye mtamani halaf dem anachanganya na mapenzi akijipa moyo anapendwa... dont worry atachezewa atabwagwa atarudi kwako kwa magoti, then hapo utajua cha kufanya... adhabu ya kumpa wewe kaa kimyaaaaa! itamuumiza kisaikolojia :der:mda c mrefu then atashindwa himili huko alikotamaniwa.
dada angu kiukweli nilimpenda lakini simpendi tena,kinachoniumiza ni dharau zake unajua dada angu heri mtu akupige hata akikutusi si mbaya lakini dharau zinauma kuliko na uwezo wa kumuaribia ninao yaani sijali lolote litalotokea
 
njoo nikupunguze machungu..kwanini upate shida wakati tetere tumejaa
 
hapo kwenye red ndio tatizo...hujaongea nae kupata conclusion ya maana...hata kama viashiria vipo...huwezi jua...pengine kasikia taarifa fulani juu yako..ww umeassume sababu ya kupata kazi na yeye analake moyoni..kaeni mjadili upate uchaguzi sahihi...

mkuu Tyta nilivyoenda nilienda kishari baada ya kumkuta yupo katika hali mbaya huruma ikanijia nikamhelp kama mgonjwa japo nilikuwa na hasira nae na wazo langu la kulipa kisasi halitaki kuondoka kichwani mwangu ni kwakuwa sijaorodhesa mabaya aliyonifanyia nadhani ningeorodhesha hata wewe ungetamani urevenge
 
Last edited by a moderator:

ulishakaa nae ukamuuliza kwanini anafanya hayo na nini hatma ya mahusiano yenu...???alikujibu nini...unajua ni ngumu kusupport maamuzi yako kwa wachangiaji makini ukichukulia wewe ni upande mmoja wa story...pengine naye akija na yake anaweza kuwa na hoja...simtetei...cha msingi chukua hatua stahiki baada ya kujiridhisha pasi na shaka...
 
Muombe mungu tu yatakwisha na huwa jaribu kuwa busy usiwe unafikiria kuusu uyo demu najua unaumia but usije lipiza kisasi coz atakuona mjinga piga moyo konde songa mbele tafuta pesa mapenzi yapo na yatakuwepo sikuzote kwani yalikuwepo hata kabla hatujazaliwa mpaka sasa yapo.Hope we are together you wont do anything bad to her!!
 
nimekusoma mkuu
 
sasa ndugu yangu umekuja kuomba ushauri au kutupa taarifa kwamba unataka kulipa kisasi? maana naona watu kadri wanakushauri na asilimia kubwa wamekuelewesha vzr tu uachane na habari za kisasi lakini umeng'ang'ana tuuuu kwamba ni lazma ulipe kisasi, alafu unaonekana ni mtu wa hasira sana unapokosewa hiyo inaweza kukuletea shida jaribu kujitambua na kujua jinsi ya kuji control, dunia hii ndugu yangu utalipa visasi kwa wangapi? isitoshe mapenzi ndivyo yalivyo kila mtu ana lake hapa tukianza kuelezana tuliyopitia unaweza usione lako kama ni tatizo tena. Ila tu kwa maelezo yako huyo binti wala hakukupenda tena ni wale wasichana ambao hutumia mapenzi kama ajira ya kutatua matatizo yao ya kimaisha, tena ni wale mapepe wanajuo kula na vipofu mpaka pale shida zao zinapomalizika ndo utawajua wakoje. Sasa kazi kashaipata hana tena shida na wewe anatafuta type yake kwa raha zake. Do the same, Move on
 
Mr mgeni samahani nakupa maneno haya japo yapo kwa lugha ya meli.
Learning when to let go and when to move on is the hardest things we will have to learn, sad thing is, we all have to learn it sometime.
 
Huyu njaa ilimsukuma kujifanya kakupenda ila haikuwa hivyo chifu alipenda noti zako tu
Sasa huko alipoenda yawezekana kakutana na jamaa mwingine ambaye kiuchumi yupo juu yako labda pengine anakata zaidi yako maana yeye unakuta hana malengo uliyokuwa nayo wewe
Demu kwa sababu ya tamaa kaanza kukusahau mi naona huyo chifu hakufai kama kumega jimegee tu ila ndoa kaa nayo mbali mkuu
 
sasa ndugu yangu umekuja kuomba ushauri au kutupa taarifa kwamba unataka kulipa kisasi? maana naona watu kadri wanakushauri na asilimia kubwa wamekuelewesha vzr tu uachane na habari za kisasi lakini umeng'ang'ana tuuuu kwamba ni lazma ulipe kisasi, alafu unaonekana ni mtu wa hasira sana unapokosewa hiyo inaweza kukuletea shida jaribu kujitambua na kujua jinsi ya kuji control, dunia hii ndugu yangu utalipa visasi kwa wangapi? isitoshe mapenzi ndivyo yalivyo kila mtu ana lake hapa tukianza kuelezana tuliyopitia unaweza usione lako kama ni tatizo tena. Ila tu kwa maelezo yako huyo binti wala hakukupenda tena ni wale wasichana ambao hutumia mapenzi kama ajira ya kutatua matatizo yao ya kimaisha, tena ni wale mapepe wanajuo kula na vipofu mpaka pale shida zao zinapomalizika ndo utawajua wakoje. Sasa kazi kashaipata hana tena shida na wewe anatafuta type yake kwa raha zake. Do the same, Move on

sasa mkuu tabia zake zikomeshwe vp ili zisijirudie?
 
Back
Top Bottom