Laiser James
Member
- Dec 5, 2013
- 77
- 8
Lugola anasema kweli. Sema tu huwa anashinikizwa na kundi lake la Team Lowasa kuongea kwa jazbaUlikuwa wapi mhe waziri mkuu? Utaponea wapi Kagasheki? Ulisema umenyang'anywa majukumu..we ni waziri wa namna gani..? Utaponea wapi? Utaponea wapi waziri wa mambo ya ndani! I like this guy
Nani sasa anamtisha? Si Pinda mwenyewe aliwapa ruhusa wabunge kumwajibisha kama wanaona hawajibiki?
Lugola anasema kweli. Sema tu huwa anashinikizwa na kundi lake la Team Lowasa kuongea kwa jazba. Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa
.
Nani sasa anamtisha? Si Pinda mwenyewe aliwapa ruhusa wabunge kumwajibisha kama wanaona hawajibiki?
Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa
Lugola anasema kweli. Sema tu huwa anashinikizwa na kundi lake la Team Lowasa kuongea kwa jazba
kwa hiyo munamtoa zitto kwa mkopo? ni wazo zuri pia.
Lugola kaona hamna anaemuongelea,anaamua kuanza kujipigia debe mwenyewe.
Mwambieni uwaziri haupati ng'oo.
Leo hii wewe unasema jambo leo ni la propaganda...???Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa
GENERAL | ||
Salutation | Honourable | Member picture |
First Name: | Alphaxard | |
Middle Name: | Kangi Ndege | |
Last Name: | Lugola |
EDUCATION | ||||
School Name/Location | Course/Degree/Award | Start Date | End Date | Level |
University of Dar Es Salaam | Masters | 1996 | 1997 | MASTERS DEGREE |
University of Dar Es Salaam | B.Com | 1988 | 1992 | GRADUATE |
University of Leicester, UK | - | 2008 | 2010 | CERTIFICATE |
Tanzania Police Academy | Certificate | 1993 | 1994 | CERTIFICATE |
Tanzania Police Academy | Certificate | 1999 | 1999 | CERTIFICATE |
East African School of Aviation , Nairobi | Certificate | 2002 | 2002 | CERTIFICATE |
International Civil Aviation Organisation, Nairobi | Certificate | 2002 | 2002 | CERTIFICATE |
Songera Boys' Secondary School | A-Level Education | 1985 | 1987 | HIGH SCHOOL |
Sengerema Secondary School | O-Level Education | 1981 | 1984 | SECONDARY |
Nyamitwebili Primary School | Primary Education | 1974 | 1977 | PRIMARY |
Mugeta Primary School | Primary Education | 1978 | 1978 | PRIMARY |
Kafunjo Primary School | Primary Education | 1979 | 1980 | PRIMARY |
EMPLOYMENT HISTORY | |||
Company Name | Position | From | To |
The Parliament of Tanzania | Member - Mwibara Constituency | 2010 | 2015 |
East African Community | Chief Security Officer | 2002 | 2010 |
Tanzania Airports Authority | Head of Security Section (Airports) | 2001 | 2002 |
Tanzania Police Force | Head of Police Post (Grade A) | 1999 | 2000 |
Tanzania Police Force | Investigation Officer | 1998 | 1999 |
Tanzania Police Force | Inspector | 1993 | 1998 |
Lugola kaona hamna anaemuongelea,anaamua kuanza kujipigia debe mwenyewe.
Mwambieni uwaziri haupati ng'oo.