KANGI LUGOLA kutolewa kafara!

Dah, Kunahawa Watu Wawili Nchimbi Na Pinda. Hawa Jamaa Ukiwaboa Sidhani Kama Utapona. Kama Huyu Mwingine Sijui Alimpeleka Wapi Mtoto Wa Marechela Na Yule Binti Amina Chifupa!

Funguka zaidi mkuu umetuacha nyuma, funguka tuende pamoja, mtoto yupi wa malecela, na Amina chifupa huyuhuyu aliyekufa kwa igonjwa? Funguka mkuu ukweli na uwazi ndo sera za jf.
 
Siasa ukiwa mkweli unakuwa tatizo,Lugola angekuwa CDM angeitwa Msaliti,ukweli unaponza wengi mfano Zito anachukiwa kwa ukweli wake
 
Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa

Lugola ni mbunge wa CCM anae timiza wajibu wake kama mbunge.Ila amesahau kuwa huwezi ukatimiza wajibu wako ipasavyo ukiwa ndani ya chama cha mizigo vinginevyo ajiandae kung'olewa kucha,kutobolewa macho na kumwagiwa tindikali kutoka kwa magaidi wa chama cha mizigo.
 
Hawa ndiyo wachache ambao wangechomoka CCM huenda wangebadili mwelekeo wa nchi hii katika mazuri
 
Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa

Kifo cha nyani miti yote uteleza.

Cc: ZeMarcopolo Auntie Ritz na misukule yote ya buku 7.
 
Last edited by a moderator:
Mh Mbunge Kangi Lugola,ambae amekuwa mwiba mkali kwa Mawaziri huenda akatolewa kafara baada ya kutumiwa massege za kutishiwa kuuawa huku yeye akisema kuwa hataenda kutoa ripoti Polisi.
Hii ni baada ya mh Kangi Lugola kuwa miongoni mwa Wabunge waliotamka wazi bila kificho ndani ya Bunge kuwa mh Waziri Mkuu ni mzigo na anaetakiwa kujiuzulu.

Wiki mbili zilizopita wakati Wabunge wakijadili ripoti ya tume ya bunge iliyowasilishwa na mwenyekiti wake Mh James Lembeli, mh Kangi Lugola alimshambulia Waziri mkuu akimtuhumu kuwa Wamempa,Ndege,Helkopita na Magari ya Vingora lakini wakati Watanzania wanauawa yeye alikua amejikalia tu Ofisini. "ulikuwa wapi Mh Waziri mkuu" tumekupa magari na vingora,tumekupa Ndege,tumekupa na hata Helkopta?

Kwa habari zaidi soma gazeti la Jambo leo!

hivi huyu si yule wa nyoka ya shaba?
 
watu wa namna hii watakuja kuonekana mashujaa tutakapopata serikali makini
 
Deo Filikunjombe
Luhaga Mpina
Kangi Lugola

Yani Hawa ndio wanaoikomboa Ccm bungeni! Wengine mizigo tu!
 
Namkubali sana huyo mzee,vile ndo mbunge anatakiwa awe.....yupo pale kwa ajili ya wananchi.
 
Kangi Lugola ni Mwana CCM ambaye anatimiza vema wajibu wake wa kuisimamia serikali iwajibike kwa wananchi. Hongera sana Lugola. Hizi propaganda za Jambo Leo zisikukatishe tamaa

Angetamka hivyo mbunge wa CHADEMA tungesikia maneno yenu machafu na hilo gazeti ni lenu leo mnalikana.
 
MSHINO Wee Mtu, hii CV ya huyu jamaa ni ya kweli au imebumbwa tu? Kama ni ya kweli, basi mimi ndo najua leo kuwa hili jamaa kumbe ni li-polisi!!.......Ni li-polisi halafu limekwenda shule,lina shule nzuri!!

Prediction yangu ni kuwa anaweza kufanya kazi serikalini kumbe,NAPENDEKEZA HUYU AVAE BUTI ZA NCHIMBI......WAZIRI WA MAMBO YA NDANI,atapiga tu kazi katikati ya mizigo mingine japo na yeye si ajabu akawa mzigo tu badae....kwa sababu mfumo wa uendeshaji nchi yetu ni mzigo na "Mkulu-JK" naye ni li-mzigo zito la misumari!!!

Last edited by a moderator:
Afanye kazi yake kwa haki. Haki ndio itakayomponya mbele ya safari.Longo longo zina mwisho wake.
 
Back
Top Bottom