KANGI LUGOLA kutolewa kafara!

Traditionally JIMBO la MWIBARA huwa ni la upinzani tangu 1995. Kagi Lugola wana-Mwibara walimptaia UBUNGE kwasababu matendo yake yanafanana fanana na WAPINZANI. Kutenda na Kusema ukweli bila kuogopa.

Kama CCM watafanya makosa ya kumtoa kafara Kagi Lugola believe me jimbo la Mwibara watakuwa wamerudisha UPINZANI.

Katika CCM wote mimi naona Kagi Lugola anaweza kuwa jibu la WAZIRI WA MAMBO YA NDANI.

Lakini CCM huwa wana vingezo vyao visivyofahamika vya kuwapata mawaziri wake. Hivyo sitoshangaa kama Kagi Lugola hatakuwemo kwenye baraza jipya la mawaziri.

Ila tunaomba Mhe. Rais aturudishie Mtanganyika mwenzetu kwenye wizara yetu ya Afya na ustawi wa Jamii. Kama anampenda sana huyo Mzanzibari Dr. Hussein Mwinyi basi ampeleke Mambo ya Ndani au Ulinzi, amabazo ni wizara za muungano.
 
Huyu siyo msema kweli ni mbwekaji tu, kama ni msema kweli mbona mpaka leo hajataja orodha ya vigogo wa madawa ya kulevya aliyosema anayo? Kama mwanaume kweli awataje.
kwani ni mwanaume uwongo hata akiwataja hawafanywi kitu ya nini kuwataja sasa tuliona kwa Zungu hakuna kilichofanyika.
 
habari yako nzuri lakini nasikitika kwamba SIJAWAHI KUAMINI GAZETI LA 'WAPIGAJI' JAMBO LEO , kwahiyo naishia hapa .
 
Huyu siyo msema kweli ni mbwekaji tu, kama ni msema kweli mbona mpaka leo hajataja orodha ya vigogo wa madawa ya kulevya aliyosema anayo? Kama mwanaume kweli awataje.
LUGOLA,KANGI,Kama anauchungu kweli,mbona mpaka sasa hajasaini fomu ya Dogo MACHALI,Moses.Nayeye alisema kama Mhe.WaPIGWE tu hatajihuzulu yeye atakuwa Mbunge wa kwanza kuleta hoja binafsi,ili awashawishi MaCcm wenzie wamfukuze mzee wa Ving'ola.LUGOLA sa
na debe tupu niwakuogopwa kama UKOMA.
 
Huyu jamaa namkubali sana.Kwanza anaongea kwa msisitizo na sauti yenye mamlaka sio kama wengine kama wamekula urojo vile.
 
Lugola anasema kweli. Sema tu huwa anashinikizwa na kundi lake la Team Lowasa kuongea kwa jazba


Ha ha ha ha, hata kama MP wamempa magari,ndege.helkopta na magari ya vingora walifikri atakataza wale jamaa wasiendeshe kipigo? Mbona amri ya WAPIGWE TU aliitoa mwenyewe? sasa atawakatazaje wakati wanatekeleza amri yake?
 
Wee Mtu, hii CV ya huyu jamaa ni ya kweli au imebumbwa tu? Kama ni ya kweli, basi mimi ndo najua leo kuwa hili jamaa kumbe ni li-polisi!!.......Ni li-polisi halafu limekwenda shule,lina shule nzuri!!

Prediction yangu ni kuwa anaweza kufanya kazi serikalini kumbe,NAPENDEKEZA HUYU AVAE BUTI ZA NCHIMBI......WAZIRI WA MAMBO YA NDANI,atapiga tu kazi katikati ya mizigo mingine japo na yeye si ajabu akawa mzigo tu badae....kwa sababu mfumo wa uendeshaji nchi yetu ni mzigo na "Mkulu-JK" naye ni li-mzigo zito la misumari!!!

Kitaturu Hiyo CV ya Kangi Lugola ni ya Kweli. Namkumbuka alitugomesha UDSM miaka ile ya mzee Rukhsa Ally Hassan Mwinyi, kwa kile kilichoitwa Matusi ya nguoni mwaka 1989.
 
Hiyo ndio demokrasia,haimaanishi ukiwa mbunge wa ccm usiikosoe serikali yako kama unaona inakwenda ndivyo sivyo.
 
Mh. Mtukufu Rais;
Haya jembe hilooo. Uling'oa Nchimbi weka hilo. Liwamalize hao wang'oa tembo zako meno.
 
:bange:
Mh Mbunge Kangi Lugola,ambae amekuwa mwiba mkali kwa Mawaziri huenda akatolewa kafara baada ya kutumiwa massege za kutishiwa kuuawa huku yeye akisema kuwa hataenda kutoa ripoti Polisi.
Hii ni baada ya mh Kangi Lugola kuwa miongoni mwa Wabunge waliotamka wazi bila kificho ndani ya Bunge kuwa mh Waziri Mkuu ni mzigo na anaetakiwa kujiuzulu.

Wiki mbili zilizopita wakati Wabunge wakijadili ripoti ya tume ya bunge iliyowasilishwa na mwenyekiti wake Mh James Lembeli, mh Kangi Lugola alimshambulia Waziri mkuu akimtuhumu kuwa Wamempa,Ndege,Helkopita na Magari ya :A S 114:Vingora lakini wakati Watanzania wanauawa yeye alikua amejikalia tu Ofisini. "ulikuwa wapi Mh Waziri mkuu" tumekupa magari na vingora,tumekupa Ndege,tumekupa na hata Helkopta?

Kwa habari zaidi soma gazeti la Jambo leo!
 
"kama mh.rais wetu anaitakia mema nchi hii,amfukuze kazi waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa TZ," Tumekua na waziri mkuu ambae ni mzigo,hawajibiki." by Kangi Lugola,bungeni last week.
 
Kitaturu Hiyo CV ya Kangi Lugola ni ya Kweli. Namkumbuka alitugomesha UDSM miaka ile ya mzee Rukhsa Ally Hassan Mwinyi, kwa kile kilichoitwa Matusi ya nguoni mwaka 1989.

Jamaa Ni jembe balaa,kama Matiku Matale vile
 
jembe lugola karibu chadema ,magamba wamchukue zitto wao.

Angekuwa chadema akasema uozo wa chama chake angeitwa msaliti, mhaini, mamluki na mengine kibao kwa sbb cdm huruhusiwi kukosoa. Safi CCM kwa kuweka demokrasia ili watu wakosoe utendaji wa chama chenu
 
Back
Top Bottom