Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
sijawahi kuiona ila kuna rafiki yangu hajawai miss kanga moko lazima aende kila wiki kumbe ndo hiyo.
aisee haya ahsante kwa kunijuza.Ndio hiyo bibie...!!!
NSSF wachukue, na kanga moko wachukue???
niambieni wanafanya wapi show zao.? ili nihakikishe kama kweli wanavunja maadili. Ili nilinganishe na kauli za Lusinde,Ndugai na Werema.
halafu hawa wabunge ndio waendaji wakubwa kwenye hizi shughuli kwanai hatukutanagi nao huko? tena wengine unafikiri ni wazee lakn ukweli ni kwamba na uzee wao ndo wanawapenda na hata majumba wamewajengea basi tu ningekuwa nshapata viroba vyangu nngewataja wa3 kwa majina yao kamamfano kisha mtu ujiulize na umri huo huko alifwata nn
NSSF wachukue, na kanga moko wachukue???
Hatuachi kunengua ng'oo,tukale wapi?
Kuna mwanaume rijali asiyependa khanga moko ndembendembe?
Kumbe wewe ni mmoja wapo kati ya hao wanenguaji eee? Nimeshakufahamu.
kwa hiyo kama hupendi inamaana wewe sio rijali?
Nashangaa hawa wavimba matumbo kule Bungeni wanataka tuache kunengua wakati nyie wapenzi wa burudani hamjatosheka.
Hapa hatoki mtu.
Kanga Moko,
Laki si pesa.
Taratibu mkuu...utapigwa na wananchi wenye hasira kali humu...ohooo!!! shauri yako.
Hasira za kuambiwa ukweli au? Kwa hilo tu mbona sina hofu nalo maana nami mkono unatembea kinoma na uzuri mtu akinianza huwa sina msamaha naye, nabamiza tu. Nilipokuwa mtoto nilikuwa napiga hata wanawake kwa ujinga wangu ila baada ya kukua nikaachana na huo ujinga, sasa nabamiza mijibaba tu hata iliyonizidi umri sina huruma nao.