'KANGA MOKO' yatikisa BUNGENI!

'KANGA MOKO' yatikisa BUNGENI!

duh hata Rwakatare na yeye anaangalia Kanga Moko? Halafu hawa wabunge huko mjengoni huwa wanakosa cha kuongea? Mpaka wanasema kanga Moko inaenda kinyume na maadili hivi hawajui mambo yanayoenda kinyume na maadili? Natamani niwachukue hao wabunge niwaeleweshe na kuwaonyesha vitu vinavyoenda kinyume na maadili kuliko wao wanavyo jiropokea
 
wameanza kucheza na kanga kavu!! utamu ukawakolea wmeloesha muda c mref watazisalua!! watu wazamani walikuwa wapole,waungwana na wastaarabu sana ila now adays watu wanajfanya wamechangamka na wanaichangamsha dunia!!

Teh teh teh!!! princess enny bwana.
 
Last edited by a moderator:
kwanza kabisa wawapige marufuku wale mabinti wanaojazana dodoma kipindi cha bunge wakishaweza ndio tutajau kuwa wapo serious
 
hahahahahaha kwahiyo hawa wanaokataa humu si wanaume rijali sio
duuuu naanza tizi za kunengua atii

Njoo nikupe tizi la kunengua...mimi ni mwalimu mzuri wa dancing...nakufundisha kwa practical na sio theory
 
mweeee hizi inabidi baba naniliu ndo anifunze hivi zile kanga zinakuwa na kitu ndani or kitu inakuwa kavu?
hebu vuta hisia kitu kavu af kanga yenyewe ya kichina tena imeloweshwa du
siku moja nilikuwa pale barakuda na baba nanihii af heineken walikuwa wana promotion wakawa wana mambo ya hivyo
mara muzee akakata mawasiliano na mie akawa anashangilia hao wanaonengua,,,,,palichimbika kwakweli


Njoo nikupe tizi la kunengua...mimi ni mwalimu mzuri wa dancing...nakufundisha kwa practical na sio theory
 
haya hiyo hapo video. hayo ndio mambo ya kanga moko ambay serikali inataka kuyapiga marufuku

[video=youtube_share;WY7NqyYiKZk]http://youtu.be/WY7NqyYiKZk[/video]

khah! Naujanja wangu wote sijui hii kitu kama ipo, mie najua bongo fleva ndio waharibifu, aisehhhhhhh!!!!
 
Ndio maana rate ya ugumba tanzania inapanda kila kukicha hvi kuna mwanaume mwenye akili timamu anaangalia hii kitu,cku nikimkuta baba watoto wangu hata kwa bahati mbaya namuacha sitaki upumbavu mimi,
 
khah! Naujanja wangu wote sijui hii kitu kama ipo, mie najua bongo fleva ndio waharibifu, aisehhhhhhh!!!!

Acha masihara...usiseme kwa nguvu watakucheka watu. Hii kitu ndio inaitwa kanga moja ndebe ndebe laki si pesa milioni chenji labda itasaidia.
 
Mkuu, hii maneno haiwezi tukaiita ujasiri-wa-mali ? Kuifuta hiyo si watahitaji ajira mbadala ?
 
Mkuu kanga moko wanaonewa bure maana ni kati ya ajira alizoahidi mkulu
 
Back
Top Bottom