'KANGA MOKO' yatikisa BUNGENI!

'KANGA MOKO' yatikisa BUNGENI!

niambieni wanafanya wapi show zao.? ili nihakikishe kama kweli wanavunja maadili. Ili nilinganishe na kauli za Lusinde,Ndugai na Werema.

Muulize Nyani Ngabu atakuelekeza mahali ambapo hizi show huwa zinafanyika.
 
Last edited by a moderator:
halafu hawa wabunge ndio waendaji wakubwa kwenye hizi shughuli kwanai hatukutanagi nao huko? tena wengine unafikiri ni wazee lakn ukweli ni kwamba na uzee wao ndo wanawapenda na hata majumba wamewajengea basi tu ningekuwa nshapata viroba vyangu nngewataja wa3 kwa majina yao kamamfano kisha mtu ujiulize na umri huo huko alifwata nn

Mhmmmm!!! gfsonwin. Embu nipe majina ya hao waheshimiwa nikapate kuwasuta huko bungeni.
 
Last edited by a moderator:
mzima nipo! kuna limtu limeniboa, limbeyaaaaaaaaa! natamani kulitupia mabwepande, au kulipeleka nungwi liliwe na papa! mschewwwwww! mambo yako lakini?

Vipi tena cacico...nani huyo amkuboa tumchape?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe wewe ni mmoja wapo kati ya hao wanenguaji eee? Nimeshakufahamu.

Nashangaa hawa wavimba matumbo kule Bungeni wanataka tuache kunengua wakati nyie wapenzi wa burudani hamjatosheka.
Hapa hatoki mtu.

Kanga Moko,
Laki si pesa Milioni gwara.
 
Nashangaa hawa wavimba matumbo kule Bungeni wanataka tuache kunengua wakati nyie wapenzi wa burudani hamjatosheka.
Hapa hatoki mtu.

Kanga Moko,
Laki si pesa.

Milioni chenji labda itasaidia.
 
Taratibu mkuu...utapigwa na wananchi wenye hasira kali humu...ohooo!!! shauri yako.

Hasira za kuambiwa ukweli au? Kwa hilo tu mbona sina hofu nalo maana nami mkono unatembea kinoma na uzuri mtu akinianza huwa sina msamaha naye, nabamiza tu. Nilipokuwa mtoto nilikuwa napiga hata wanawake kwa ujinga wangu ila baada ya kukua nikaachana na huo ujinga, sasa nabamiza mijibaba tu hata iliyonizidi umri sina huruma nao.
 
Ha ha ha haaaa!!! Mkuu, wewe ni nouma.
 
makubwa jamani mana mi ndio naona leo asante sana mkuu Young_Master kwa kuweka hii video......ila wanacheza balaah! kweli wako kikazi zaidi
 
Back
Top Bottom