Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
:eek2: Laa illaha illalah! :faint2:haya hiyo hapo video. hayo ndio mambo ya kanga moko ambay serikali inataka kuyapiga marufuku
[video=youtube_share;WY7NqyYiKZk]http://youtu.be/WY7NqyYiKZk[/video]
:eek2: Laa illaha illalah! :faint2:haya hiyo hapo video. hayo ndio mambo ya kanga moko ambay serikali inataka kuyapiga marufuku
[video=youtube_share;WY7NqyYiKZk]http://youtu.be/WY7NqyYiKZk[/video]
duh sitaki kuamini hiyo ndo kanga moko?..........haya hiyo hapo video. hayo ndio mambo ya kanga moko ambay serikali inataka kuyapiga marufuku
[video=youtube_share;WY7NqyYiKZk]http://youtu.be/WY7NqyYiKZk[/video]
Kila mtu na starehe zake.. Watuachie starehe zetu!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
gfsonwin ni kweli hawa watu naona hawana maana kabisa ...watu walishachoka na maisha ndo maana wameamua kujilipuaLakini jamani hivi hii kanga moko moko mambo ndembe ndembe laki si pesa million chenji unawakosesha wabunge amani???? kwanini wasikoseshwe amani ya hela ya NSSF wanayoikopa kwetu kiulazima? kwanini wasikoseshwe amani na mazingira mabaya watu tunayofanyia kazi?
hivi hii wizara ina mambo mangapi ya kudiscuss? hebu angalia mavipindi yaliyopo kwenye tv na redio yanayopata coverage kubwa may be tz yote yanaachwa tena yasiyokuwa na maadili istoshe gesti za uchochoroni ndo usiseme huku uswazi halafu wanaongelea haya yanayoonekana hapa dar tu tena kwa watu wachache sana ambao hawazidi hata 100 kwa mara moja?
gfsonwin ni kweli hawa watu naona hawana maana kabisa ...watu walishachoka na maisha ndo maana wameamua kujilipua
gfsonwin acha tu lakini sasa wamewasha moto sijui watazima vip..yaani huyu mkwelea kwelea anakosa dira sasa ..mamii FirstLady ajira zenyewe ziko wapi? tuliahidiwa ajira milion moja watu wameona changa la macho tu, wakaenda kwenye mikopo wakapewa hela kuanza mama ntilie kesho yake askari wa jiji wanapita na kuwabomolea mtaji bado anadaiwa na aliyemkopesha na bado maisha yanamsubiri hivi kwanini asijilipue kama anakwenda kufanya onyesho anapata laki yake? lazima hata kama ni mimi naenda manake napata hela ya rejesho na maisha ya nyumbani yanasonga mbele jamani wawape ajira mbadala uone kama watakwenda kuonyesha haya. ebu waache upuuzi wao wao hizo 10 mil hakuna hata mmoja amewah kusema jamani hawa wanajidhalilisha so nawapeni hzi kama mtaji mrudi makafanye biashara muache kazi hii. yaani nawachukia wabunge kuliko adui yangu duh!
mamii FirstLady ajira zenyewe ziko wapi? tuliahidiwa ajira milion moja watu wameona changa la macho tu, wakaenda kwenye mikopo wakapewa hela kuanza mama ntilie kesho yake askari wa jiji wanapita na kuwabomolea mtaji bado anadaiwa na aliyemkopesha na bado maisha yanamsubiri hivi kwanini asijilipue kama anakwenda kufanya onyesho anapata laki yake? lazima hata kama ni mimi naenda manake napata hela ya rejesho na maisha ya nyumbani yanasonga mbele jamani wawape ajira mbadala uone kama watakwenda kuonyesha haya. ebu waache upuuzi wao wao hizo 10 mil hakuna hata mmoja amewah kusema jamani hawa wanajidhalilisha so nawapeni hzi kama mtaji mrudi makafanye biashara muache kazi hii. yaani nawachukia wabunge kuliko adui yangu duh!
gfsonwin acha tu lakini sasa wamewasha moto sijui watazima vip..yaani huyu mkwelea kwelea anakosa dira sasa ..
Kila unaloongea ni ukweli, yale ni mapanya yanajifanya kubwabwaja na hata visu kushikiana, yakiingia ghalani yanakula yakikonyezana
Tafuta lile shairi la Mwanakijiji ujionee upanya wao zaidi
Lakini jamani hivi hii kanga moko moko mambo ndembe ndembe laki si pesa million chenji unawakosesha wabunge amani???? kwanini wasikoseshwe amani ya hela ya NSSF wanayoikopa kwetu kiulazima? kwanini wasikoseshwe amani na mazingira mabaya watu tunayofanyia kazi?
hivi hii wizara ina mambo mangapi ya kudiscuss? hebu angalia mavipindi yaliyopo kwenye tv na redio yanayopata coverage kubwa may be tz yote yanaachwa tena yasiyokuwa na maadili istoshe gesti za uchochoroni ndo usiseme huku uswazi halafu wanaongelea haya yanayoonekana hapa dar tu tena kwa watu wachache sana ambao hawazidi hata 100 kwa mara moja?