gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,714
halafu hawa wabunge ndio waendaji wakubwa kwenye hizi shughuli kwanai hatukutanagi nao huko? tena wengine unafikiri ni wazee lakn ukweli ni kwamba na uzee wao ndo wanawapenda na hata majumba wamewajengea basi tu ningekuwa nshapata viroba vyangu nngewataja wa3 kwa majina yao kamamfano kisha mtu ujiulize na umri huo huko alifwata nnunajua wabunge wetu unafiki ni part ya maisha yao, wakati wao wenyewe ndio wateja