Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

Naulizia kama nitapata kamusi ya TUKI ikiwa katika mfumo wa android?
 
Naomba tafsiri ya hili jina la mti Kwa Kiswahili “Hagenia abyssinica”
 
Sorry, nimejaribu kuingia kwenye hiyo link inasoma error. Naomba msaada wowote niweze kuipata hiyo kamusi ya tuki ndugu yangu.
 
Asalam alykum wana jamvi mwenye kamusi kiswahili kwa kiswahili
Na kingereza kwa kingereza Naomba msaada nimejaribu kupakua nimeshindwa
Natumia IPhone 8+ nyingi kwenye App Store ni hela
Samahani kwa nilomkwaza
Shukran
 
Wana jamvi kuna mdada kanitokea Tweet DM nakuniomba nimfate kwenye Email yake.

Baada kumpa salami tuu kaniletea ujumbe huu, japo English nayo ndio imenipiga chenga.

Naombeni japo kunitoa tongotongo...
 
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.

Unaweza kupakua Kamusi English to Swahili na hata Swahili to English kwenye tovuti yangu kwa link ifuatayo:


David Stamen www.somabiblia.com
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…