Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Du labda uandike maneno yanayokushinda nikusaidie
Hagenia abyssinica
Pamoja
Sorry, nimejaribu kuingia kwenye hiyo link inasoma error. Naomba msaada wowote niweze kuipata hiyo kamusi ya tuki ndugu yangu..
WanaJF!
Habarini wote!
Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili.
Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu.
Link yenyewe ni hii hapa (download):
http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie.
Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!.
All the best!
.
Hata mm nimeshindwaSorry, nimejaribu kuingia kwenye hiyo link inasoma error. Naomba msaada wowote niweze kuipata hiyo kamusi ya tuki ndugu yangu.
Sorry, nimejaribu kuingia kwenye hiyo link inasoma error. Naomba msaada wowote niweze kuipata hiyo kamusi ya tuki ndugu yangu.
Mkuu!
Vipi ulifanikiwa kupata ile Kamusi ya Kiswahili / kingereza?
Kama bado hujapata -nimekutumia link kwenye PM soft copy idownload!
All the best!
Hii link mbona inaonesha kuwa it cannot be opened?Wapendwa wanatovuti:
Mimi pia nitapenda kuwa nalo hilo kamusi...KLF inaonekana umefanya kazi kubwa. Kiungo kifuatacho huenda kikasaidia pia ni kazi iliyofanywa na wataalam wa UDSM (Institute of Computer Science na Institute of Kiswahili Research) na BAKITA...
http://www.it46.se/docs/development/sw_TZ_glossary_klnX_1.pdf
Wanaijeria hawa wanataka kukutapeli, hakuna mdada hapo. Watu wengi ikiwemo mimi tushapokea hizi messageWana jamvi kuna mdada kanitokea Tweet DM nakuniomba nimfate kwenye Email yake.
Baada kumpa salami tuu kaniletea ujumbe huu, japo English nayo ndio imenipiga chenga.
Naombeni japo kunitoa tongotongo...View attachment 1259892
Wanaijeria hawa wanataka kukutapeli, hakuna mdada hapo. Watu wengi ikiwemo mimi tushapokea hizi message
Unaweza kupakua Kamusi English to Swahili na hata Swahili to English kwenye tovuti yangu kwa link ifuatayo:Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.