Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

Naulizia kama nitapata kamusi ya TUKI ikiwa katika mfumo wa android?
 
Naomba tafsiri ya hili jina la mti Kwa Kiswahili “Hagenia abyssinica”
 
.

WanaJF!

Habarini wote!

Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili.

Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu.



Link yenyewe ni hii hapa (download):


http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip




N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie.

Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!.

All the best!

.
Sorry, nimejaribu kuingia kwenye hiyo link inasoma error. Naomba msaada wowote niweze kuipata hiyo kamusi ya tuki ndugu yangu.
 
Asalam alykum wana jamvi mwenye kamusi kiswahili kwa kiswahili
Na kingereza kwa kingereza Naomba msaada nimejaribu kupakua nimeshindwa
Natumia IPhone 8+ nyingi kwenye App Store ni hela
Samahani kwa nilomkwaza
Shukran
 
Wana jamvi kuna mdada kanitokea Tweet DM nakuniomba nimfate kwenye Email yake.

Baada kumpa salami tuu kaniletea ujumbe huu, japo English nayo ndio imenipiga chenga.

Naombeni japo kunitoa tongotongo...
Screenshot_2019-11-10-21-10-35.jpeg
 
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati ya vitu viliyoishia.

Unaweza kupakua Kamusi English to Swahili na hata Swahili to English kwenye tovuti yangu kwa link ifuatayo:


David Stamen www.somabiblia.com
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom