Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

kila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa bureau of engraving and printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya marekani kuna viwanda viwili ndani ya marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake

bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine

Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na alali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Asante daudi bilali.
Kumbe kwer upo hai
 
kila nchi ina kitu kinaitwa money policy act MPA huu ndo mwongozo wa central bank zote duniani ikiongozwa na WB mfumo huu ndo unawaongoza katika ku supply and monitoring currently so kuhusu ni kiasi gani wanachapisha inategemea na maitaji ya nchi husika kuna msemo wa kibiashara unasema ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi so chaguo ni lako kuchapisha tuuuuu au kuchapisha pale inapoitajika

kwa wenzetu yani federal reserve bank and bank of England pia na bank of Canada hawa ndo wanacontrol karibu institutions zote za fedha ikiwamo WB na IMF so ni kama money policy act wanazizibiti wao

lakini thamani ya fedha hawapangi wao kama ingekuwa hvyo basi dollar ndo ingekuwa na thamani kuliko zote bt kuna fedha za nchi zingine zimeizd thaman usd mfano Swiss fanc pound na dinar ya Oman

pia wenzetu wana mfumo mzuri mfano marekani kiwanda cha kutengeneza fedha cha fort Worth cha TX na cha Washington cha tour and visitor centre kwa pamoja vinauwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na pia wameweka expire date ya ela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani na pia kudhibiti mijitu inayoficha ela kwenye masandarusi na ndoo coz ikifika mda fedha inaexpire so ikiexpire mkononi mwako itakuwa ni taratasi tu coz huwezi kufanya manunuz yeyote popote pale kwani itakuwa imeondolewa kwenye mzunguko nadhani ni miaka 10 wao hawasuhili mpaka ela ichanike au kuchakaa kama tunavyofanya ss
Jamaa inaonyesha ana kiwanda hahahahaha very nice na mimi nimepata kitu cha kujidaia mtaani
 
Ni kweli money circulation in america na dunia kiujumla ziko under control na federal reserve bank huko USA na hyo federal reserve and other bAnk institutions zpo under rothschild na rockefeller families....navyosikia ndo wana control hadi kwenye money printing...kuna ukwelii wowote hapo
 
Ni kweli money circulation in america na dunia kiujumla ziko under control na federal reserve bank huko USA na hyo federal reserve and other bAnk institutions zpo under rothschild na rockefeller families....navyosikia ndo wana control hadi kwenye money printing...kuna ukwelii wowote hapo
Centro banks zote duniani zinamilikiwa na serikali hakuna centro bank inayomilikiwa na watu binafsi na US pia wanayo CB inaitwa BOA bank of america pia watu wanachanganya FRS kuja ni bank si kweli federal reserve si bank bali ni mfumo unaofanya kazi ndani ya BOA na mfumo huu ulianzishwa mwaka 1907 na kusainiwa kuwa sheria kamili mwaka 1913 dec 23 na rais woodrow wilson na chanzo cha mfumo huu ni kutokana na marekani kuingiaa kwenye finacial crisis mwanzoni mwa mwaka 1906 na sheria hyo ilijulikana kama federal reserve system act ya mwaka 1913 FRS inamilikiwa na serikali kwa 80% huku Private sector 20% duniani kuna mfumo unaitwa Global finacial system huu ndo mfumo unaongza centrol banks zote na mfumo huu ndo unamilikiwa na watu

Kwa mfano max malipo ni mfumo so mwenye max malipo mkampa jukumu la kukusanya kodi kwa kutumia mfumo wako so mwenye max malipo anaweza kujua fedha yote inayokusanywa na anaweza kujua ni fedha kiasi gani inazunguka katika mfumo wake bt pamoja na kujua fedha hyo lakini fedha si yake na yy si mmiliki wa hyo fedha so Rothschild na Rockfeller hawa wanamilki mifumo ya kidhefa GFS
 
nakujibu swali la mwisho,pesa ni karatazi tu zilizoprintiwa,unalipa kama unavyoenda kulipa kuprintiwa au photocopy!bei ipo,copy kadhaa shilingi kadhaa,malipo yao ni kwa dola kwa vile ni zabuni ya kimataifa!!!

hata ingekuwa ktk mfano wako wa mkate gharama ya kutengenezewa kitu haiwezi kuwa na thamani sawa na kitu kilichotengenezwa,mfano ukitaka mtu akutengenezee mikate 100,ujira wa kutengenezewa mikate 100 unadhani ni kumpa mikate 100??jibu ni hapana,hivyo labda ukitengenezewa mikate 100 labda ungempa mikate 8!!!hivyo hata kwenye pesa kuna uwiano wa namna hiyo,labda mnaweza kutoa oda ya kutengenezewa noti za 10,000 za thamani ya billioni moja mkawalipa ujira wa sh millioni 100(malipo kwa dola ya thamani hiyo)
Wanaitaga "Token Money" au nmekosea mkuu......??
 
Mkuu izzo umesema kuna viwanda Tisa vya kutengeneza fedha duniani na viwili kutoka USA je kwa Africa ni nchi gani inakiwanda maana naona kunawachangiaji wanasema Kenya inacho inamaana kwa Africa ni Kenya peke yao ndo wanaprint fedha yao
 
nimekulewa vizuri juu ya maelezo yako but i still have a question,je unavyoenda kuprint pesa kwenye hiyo nchi husika kuna kiwango cha mwisho wanakuwekea unapotaka kuprint au waweza kuprint even a thousands of container as much as you like??
 
nakujibu swali la mwisho,pesa ni karatazi tu zilizoprintiwa,unalipa kama unavyoenda kulipa kuprintiwa au photocopy!bei ipo,copy kadhaa shilingi kadhaa,malipo yao ni kwa dola kwa vile ni zabuni ya kimataifa!!!

hata ingekuwa ktk mfano wako wa mkate gharama ya kutengenezewa kitu haiwezi kuwa na thamani sawa na kitu kilichotengenezwa,mfano ukitaka mtu akutengenezee mikate 100,ujira wa kutengenezewa mikate 100 unadhani ni kumpa mikate 100??jibu ni hapana,hivyo labda ukitengenezewa mikate 100 labda ungempa mikate 8!!!hivyo hata kwenye pesa kuna uwiano wa namna hiyo,labda mnaweza kutoa oda ya kutengenezewa noti za 10,000 za thamani ya billioni moja mkawalipa ujira wa sh millioni 100(malipo kwa dola ya thamani hiyo)


mkuu umejibu vema,je ni kipi kinachowazuia watengeneza not,pesa wasichapishe za kwao,yaani unataka nikuchapishie noti za 10000 600000,then me natengeneza noti milioni tano,zinaozidi zangu,wanazibitije?
 
Mkuu izzo umesema kuna viwanda Tisa vya kutengeneza fedha duniani na viwili kutoka USA je kwa Africa ni nchi gani inakiwanda maana naona kunawachangiaji wanasema Kenya inacho inamaana kwa Africa ni Kenya peke yao ndo wanaprint fedha yao
Kiwanda kinachosemwa kipo kenya si kiwanda cha kuprint pesa bali ni branch ya kiwanda cha De La Rue
British security printing, papermaking and cash handling systems company ambacho makao makuu ni Basingstoke, Hampshire, United Kingdom ambao wana branch katika nchi za Kenya, Sri Lanka na Mailta kazi ya hizo branch ni kutengeneza

Bank cheques
Driving licences
Passports
Postage stamps
Tax stamps
Traveller's cheques
Vouchers

Pia kiwanda cha Kenya kinatengeneza high-security paper ambazo zinatumika kutengenezea fedha karatasi hizo zinamchanganyiko wa

1 cotton fiber 80-99%
2 wood fiber 1-3%
3 titanium white 2-3.5%
4 polyamide epichlorohydrin 2-3.5%
5 aluminium chloride
6 melamine,formal dehyde resin , na animal grue

Kwa mchanganyiko huu ndio unapata karatasi ya kutengenezea fedha so hizo -security paper ndio zinashafirishwa mpaka
The Debden Security Printing Ltd printing facility, kinachomilikiwa na De La Rue, ambao wanatengeneza fedha za nchi kama 150 duniani ikiwamo fedha ya KENYA na fedha ya Uingereza
Cassimwamwinyi
 
mkuu umejibu vema,je ni kipi kinachowazuia watengeneza not,pesa wasichapishe za kwao,yaani unataka nikuchapishie noti za 10000 600000,then me natengeneza noti milioni tano,zinaozidi zangu,wanazibitije?

contract!mkataba ndio unaowafunga!!wakienda kinyume na mkataba wanashtakiwa na wanakuwa wanahatarisha leseni yao world bank kama wachapishaji wa noti.Ingawaje kila kitu uaminifu ndio msingi mkuu!kuna stori ya mtaani waziri flani wakati flani aliwahi kuchapisha nyingi zaidi ya oda iliyotolewa na serikali,zilizozidi akapita nazo hivi!ni stori tu za vijiwe vya kahawa kama ni kweli au uongo sijui!!Kwa hiyo inawezekana kukawa na wasio na uaminifu kwa upande ule hata huu wa kwetu.
 
ka
Pesa ya Tanzania inatengenezwa Ujerumani, kama Sikosei na huwa inatangazwa zabuni na mshindi ndiye anayechukua tenda na malipo ni kama tenda nyingine tu mkuu!!
Ila nasikia pesa ya Marekani inatengenezwa na freemason ingawa sina uhakika sana!!
kama si kosei awamu iliyopita Sweden ilishinda zabuni kutengeneza za Tz hasa zile jerojero feki
 
Mkuu kuna njia sita za kuamua kushusha au kupandisha thamani ya fedha na pia zipo mpaka njia za kimafia za kupandisha au kushusha kama nilivyo sema hapo mwanzo kuwa ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi na pia thamani ya kitu chochote uamuliwa na nguvu ya soko sasa nikujibu kwa nn nilisema kuwa ku print print fedha bila ya sababu za msingi ni kubaya na pia kunachangia kushuka kwa thamani ya fedha

mfano Leo tukiamua ku print tuu fedha inamaana mzunguko wa fedha utakuwa mkubwa so kutapelekea mfumuko wa bei (differentials in inflation) kama nilivyo sema thamani ya fedha uamuliwa na nguvu ya soko so wafanyabishara watapandisha vitu bei na wananchi mtaona poa tu kwa sababu mnazo fedha mifukoni ebu fikilia Leo unanunua unga kilo sh elf 5 au sukari kilo sh elfu 10 Hv hapo kunaitaji degree kujua fedha yetu imeshuka thamani? ???
sasa kwa nini mugabe anashindwa kucontrol fedha yake?
 
Hili swali me pia hunitatiza sana na inakuaje sasa coz wanaweza amua kuchapa pesa za nchi flan na kuziingiza kinyemela na kuporomosha uchumi au zikifika nchi husika ndo wanaweka no.maalumu?
 
Back
Top Bottom