Ahsante sanaa, barikiwaa. 🙏🙏
cocasticKila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie Marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa Bureau of Engravin printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya Marekani kuna viwanda viwili ndani ya Marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake
Bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by Government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine
Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na halali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
🙏🙏Ahsante sanaa, barikiwaa. 🙏🙏
Pesa ikitengenezeaa labd ujerumani inaenda maliziwa labda uswisi .Hi wana JF,
Nimekuwa nikisikia kuwa pesa ya nchi yoyote ile utengenezwa katika nchi ya Uswisi, lakini katika kujua huko nimekuwa nabaki na maswali mbalimbali juu ya hilo. Maswali hayo ni pamoja na;
(i) Je katika nchi hiyo ni kampuni binafsi au za serikali ndiyo zinahusika kutengeneza?
(ii) Je kampuni hizo zinafanya kazi hiyo kama msaada au ni ki biashara?
(iii) Kama ni ki biashara?, wao wanalipwa nini? pesa hiyo hiyo wanayotengeneza au kitu kingine? kwa maana kama ni pesa hiyo sioni kama wana fanya biashara, nitoe mfano mdogo, chukulia umpe mtu order ya kukutengenenezea mikate, na baada ya kukutengenezea umlipe kiasi fulani cha mikate hiyo, hapo si ni sawa sawa mikate hiyo kakupa bure? n.k
Kwa kutambua JF ni jukwaa lililojaa wataalamu katka nyanja mbalimbali natumaini nitapata majibu kulingana na duku duku hizo.
Nawasilisha.
Da'VinciMkuu kumbuka hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda rais wa marekani peke yake pia na kuhakikisha federal reserved system FRS ya marekani inakuwa safe and secure secret service walisha wai kukamata mabilion ya fedha bandia katika godawn huko Colombia
kama nilivyo sema hapo mwanzo kampuni hizi zote zinakuwa controlled by the government pia kila kampuni inakuwa na material ya utengenezaji wa zile karatasi inakuwa ni top secret au classified kwa kampuni husika na ndo kitu kinachofanya kampuni kupewa tenda kwani isingekuwa hvyo kumbuka kuwa kuna watu wanatengeneza fedha bandia pia utakiwa kujua kinacholindwa si fedha bali makaratasi ya kutengeneza fedha
kuhusu ss kutengeneza fedha zetu hapa tunaweza bt kuna vitu unatakiwa kujiuliza kama tunaweza? ?
1 je thamani ya fedha yetu nani atakuwa anaicontrol kulinganisha na fedha za wenzetu kwani tunaweza kuwa tunaprint tuuuuu mifedha mfano Zimbabwe kuna mpaka noti ya laki moja
2 je tuna technology ya kutengeneza fedha zetu ili watu wasiweze kucopy na kutengeneza zao na kuziingiza kwenye mzunguko
3 maswala ya kifedha duniani yanakuwa controlled by IMF na WB bt kuna nchi hazipo kwenye mfumo wa kinyonyaji wa IMF mfano Iran na china tatizo lake linakuja pale unapotaka kufanya international transaction kwani bank zako zinakuwa hazipo kwenye mifumo ya kibenk zingine mfano ilifikia kipindi ukitaka biashara Iran itakulazimu uende na fedha kwani bank zao zilikuwa hazipo katika mfumo wa mabanki mengine so huwezi kufanya wire transaction
Hakuna nchi inayo..... hela zote zinatengenezwa Uswiswi??? sasaaaa hela za huyo uswiswi zinatengenezwa nchi gani!!??hakuna nchi inayochapisha pesa yake dunian haipo ......even USA.....mtu anaetumia common sense hawez sema kuna nchi inachapisha pesa yake duniani..hela zote zinatengenenzwa uswiswi ....na pesa mpya zinatengenezwa kutokana na kukua kwa GDP kwa mwaka husika
ukisema freemason unakosea, we sema inatengenezwa na kampuni ya hukohuko marekaniPesa ya Tanzania inatengenezwa Ujerumani, kama Sikosei na huwa inatangazwa zabuni na mshindi ndiye anayechukua tenda na malipo ni kama tenda nyingine tu mkuu!!
Ila nasikia pesa ya Marekani inatengenezwa na freemason ingawa sina uhakika sana!!
We mrembo, umeelewa sasa?Ahsante sanaa, barikiwaa.
Uwongo mtupu tupe ushahidi wa Hiyo Tender Mimi watu wangu wa karibu wawili wako hapo BoT kulingana na maelezo yao ya awali mpunga unatengenezwa Uswisi na mtengenezaji yupo hamna cha tender wala zabuni umesikia hayo ni Majenereta ya Tanesco mkuu au NguzoPesa ya Tanzania inatengenezwa Ujerumani, kama Sikosei na huwa inatangazwa zabuni na mshindi ndiye anayechukua tenda na malipo ni kama tenda nyingine tu mkuu!!
Ila nasikia pesa ya Marekani inatengenezwa na freemason ingawa sina uhakika sana!!
Haha! acha kujichimbia kwenye tanuri ya ujinga tafuta maarifa!, fedha hewa zipo ila zinatengenezwa na taasisi ya fedha ya nchi husika yani mfano BOT.Pesa ni thamani tu ya kazi, pesa ni vyeti kuonyesha umeshatoa thamani fulani katika jamii husika iwe ni nchi au jamii ya dunia nzima.
Kwa hivyo hakuna anayeweza kuprinti tu bila kutokeza thamani halisi, mchezo wake utashtukiwa haraka sana na pesa yake itaacha kuaminiwa itaonekana takataka na ameharibu miti bure tu kuchapisha karatasi. Na hata hizi za kidijitali ni lazima ziwakilishe thamani halisi katika uchumi sio hewa hewa tu.
Sio kivileee, 😂😂😂😂We mrembo, umeelewa sasa?
Basi kazi ninayoSio kivileee,