Sababu namba moja iliyofanya kampuni ya ndege za boeing kuanguka kimauzo!..

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
Toka miaka ya 1910 Kampuni ya Ndege Aina ya..."Boeing Airplane"

Kutoka Nchini Marekani...

Chini ya Usimamizi wa CEO wake Makini...

"William Boeing"

Ndio Ilikuwa Kampuni Bora ya Muda wote ya Kutengeneza Ndege kwa Kipindi hicho. Huku Ikipata Usaidizi kutoka kwa Engineers wake Makini Kabisa wa Kipindi hicho...

Yaani...

George Westervelt na Wong Tsu

Kama Hufahamu tu Boeing Ndio Kampuni ya kwanza Kutengeneza Ndege za Abiria.

(Commercial Airplanes)

Vile Vile ndio Kampuni Pekee ambayo Ndege zake Zilitumika kwenye Vita ya Kwanza na Vita ya Pili ya Dunia (WWI & WWII).

Na...

Moja ya Sababu ya Boeing kufanikiwa, Kupata dili Kubwa na Kutengeneza Mpunga Mrefu Ilikuwa ni...

Jinsi MISSION STATEMENT ya Biashara yao Ilivyokuwa. Ambayo Ilikuwa Inasema Hivi...

"To Make BEST Airplanes In the World"

Kwahiyo walikuwa na Malengo ya Kutengeneza Ndege BORA Zaidi Duniani. Ndege Ambazo Zitakuwa na...

Kasi

Zitadumu kwa Muda Mrefu

Na...

Ndege zenye Ufanisi Zaidi Kuliko Zingine...Efficiency!

Na...

Hii Ndio sababu Namba Moja Iliyofanya Jeshi la Marekani kununua Ndege 70 kutoka kwenye Kampuni ya Boeing kwa ajili ya Vita ya Pili ya Dunia...WWII.

Kitu Ambacho kinaonesha ni Kiasi gani Kampuni Ilijali kuhusu Bidhaa Bora na Imara kwa Wateja wake... Ndio Sababu Ilipata Mafanikio makubwa.

LAKINI...

Licha ya Mafanikio yote Hayo ilipofika Miaka ya 90's Boeing Iliajiri CEO Mpya, Aliyekuwa Ametoka Chuo na Akiwa na Vigezo kama vya Chuo Kikuu cha... HAVARD!

Yaani...

Kama ni Chuo basi yule Mwanafunzi Bora darasani (Best Student) ndio achukuliwe Akapewe kazi ya u CEO kwenye Kampuni.

Ambalo Lilikuwa ni Wazo Zuri kwa sababu Ilibidi baadhi ya watu wa Muda mrefu Wapumzike.

Japo yule CEO kutoka Chuo yeye alikuja na... Mission Statement Mpya. Hakutaka tena Kutengeneza Ndege Bora na zenye Usalama.

Bali alitaka kutengeneza Ndege zenye gharama za Utengenezaji ndogo...

(Low Operational Cost)

Ili aweze Kutengeneza faida Kubwa baada ya Kuziuza na kuongeza faida kwa Waweka hisa wake...(Shareholders)!

Kwa Ufupi tu alibadili FOCUS ya Kampuni toka kwa...

"Customers kwenda kwa Shareholders"

Ambapo aliwataka Engineers wa Kampuni wapunguze matumizi ya Pesa waliokuwa wakifanya.

Kwasababu...

Muda mwingi walikuwa Wakitumia kufanya Utafiti wa...Kipi ni Chuma bora zaidi ya Kingine kwaajili ya Kutengenezea Ndege.

Na...

Vitu Vingine vya Kiutaalamu na Kiufundi ambavyo Viliifanya Kampuni Kupata Mafanikio zaidi.

Kwahiyo Vyote hivyo vilifutwa na Huyu CEO Mpya wa Boeing.

Na...

Mwisho wa Siku ilipofika mwaka 1997 Kampuni ya Boeing Iliporomoka sana Kimauzao Duniani.

Ikapata hasara na Kuingia kwenye Madeni makubwa na Ndege zake zikajulikana kwa sifa mbaya ya Kupata Ajali.

Kitu kilichopelekea Kampuni kama "AirBus" ambayo Ilikuwa mshindani wake Mkubwa Kuchukua nafasi yake Sokoni!

Na huo Ndio ukawa Mwanzo wa Boeing Kupotea kwenye Soko La NDEGE hadi Leo hii.

So Nini Moral ya Story Hii Mselem?

(Unaweza Kujiuliza)!

Yeah Vizuri! Angalia Hapa

Kama Upo au Unataka kuingia kwenye Biashara yoyote Ile...

"Kumbuka Huingii kwenye Biashara kutengeneza PESA... Unaingia kwenye Biashara Kutatua CHANGAMOTO za Wateja Wako"

Rudia Kusoma Tena Hiyo

Kwa sababu Pesa ni Matokeo ya...

Kutatua Changamoto... (Solving Problems)

Kuongeza Uthamani... (Adding Values)

Na...

Kurahisisha Maisha ya Watu...(Simplyfying Life of Others)

Hizo Ndizo sababu za Wewe kuwepo kwenye Biashara na Hizo sababu ndio zitakupa Pesa.

Kwahiyo...Siku utakayo hamisha Focus yako Kutoka kwa Wateja kwenda Sehemu Ingine Ndio Itakuwa muda Sahihi wa Washindani zako Kukutoa Sokoni na Kuchukua nafasi yako.

Kama Ilivyokuwa kwa Kampuni ya Boeing!

Kwahiyo...

Kama Unatengeneza Keki, Juice, Sabuni, Ubuyu, Mafuta au Unaagiza Mizigo China n.k..

Hakikisha FOCUS Yako yote ni Kutengeneza Keki Tamu na Bora kuliko washindani Zako.

Ubuyu Mzuri na Mtamu Kuliko Mtu yoyote kwenye Soko Ulilopo.

Unaagiza Bidhaa BORA na NZURI Kuliko washindani zako.

Yaani...

Focus yako yote Iwe ni Kutengeneza Bidhaa BORA Kuliko washindani zako...Product Centric!

Na...

Kutengeneza Bidhaa Ile wanayoitaka Wateja wako Zaidi...Customer Centric!

Na...hiyo Ndio Itakuwa SIRI ya Wewe kutengeneza Pesa Nyingi Zaidi Sokoni

Tofauti na Hapo... Utaenda kuwa kama CEO wa Boeing.

I Hope Umejifunza Kitu Kipya.

Uwe na Siku Njema.

Gracias

Seif Mselem
 
Nna mfanyabiashara mwenzangu ana duka jirani, Yuko kwny late 60s, Ana pesa kinoma noma na ndo father house wa jengo Zima apa nilikopanga fremu.

Ila tangu nimjue miaka ya 2010's duka lake huwa anafungua wa Kwanza (alfajiri) na kufunga wa mwisho (usiku), Hana wikendi Wala sikukuu, labda apate msiba au

Ukikaa nae anakwambia kabisa,
"Hata nilewe vipi, au nilale nmechelewa,lazma saa 12 kamili unikute dukan"

Wakati sisi vijana ambao bado tunajitafuta maduka yetu tunafungua saa 2-3 asbh, tunafunga saa 11-12 jioni na jumapili hatufungui, TUKIWA na minyege Kuna MDA wa kazi tunafunga maduka tukachakate
 
Ukweli mchungu, walio fanikiwa na wasio fanikiwa ukiwaona wametufatiana kwa kila kitu kitabia
 
Nna mfanyabiashara mwenzangu ana duka jirani, Yuko kwny late 60s, Ana pesa kinoma noma na ndo father house wa jengo Zima apa nilikopanga fremu.

Ila tangu nimjue miaka ya 2010's duka lake huwa anafungua wa Kwanza (alfajiri) na kufunga wa mwisho (usiku), Hana wikendi Wala sikukuu, labda apate msiba au

Ukikaa nae anakwambia kabisa,
"Hata nilewe vipi, au nilale nmechelewa,lazma saa 12 kamili unikute dukan"

Wakati sisi vijana ambao bado tunajitafuta maduka yetu tunafungua saa 2-3 asbh, tunafunga saa 11-12 jioni na jumapili hatufungui, TUKIWA na minyege Kuna MDA wa kazi tunafunga maduka tukachakate
Bonge Moja La LESSON Hili Kaka Mkubwa.
 
Toka miaka ya 1910 Kampuni ya Ndege Aina ya..."Boeing Airplane"

Kutoka Nchini Marekani...

Chini ya Usimamizi wa CEO wake Makini...

"William Boeing"

Ndio Ilikuwa Kampuni Bora ya Muda wote ya Kutengeneza Ndege kwa Kipindi hicho. Huku Ikipata Usaidizi kutoka kwa Engineers wake Makini Kabisa wa Kipindi hicho...

Yaani...

George Westervelt na Wong Tsu

Kama Hufahamu tu Boeing Ndio Kampuni ya kwanza Kutengeneza Ndege za Abiria.

(Commercial Airplanes)

Vile Vile ndio Kampuni Pekee ambayo Ndege zake Zilitumika kwenye Vita ya Kwanza na Vita ya Pili ya Dunia (WWI & WWII).

Na...

Moja ya Sababu ya Boeing kufanikiwa, Kupata dili Kubwa na Kutengeneza Mpunga Mrefu Ilikuwa ni...

Jinsi MISSION STATEMENT ya Biashara yao Ilivyokuwa. Ambayo Ilikuwa Inasema Hivi...

"To Make BEST Airplanes In the World"

Kwahiyo walikuwa na Malengo ya Kutengeneza Ndege BORA Zaidi Duniani. Ndege Ambazo Zitakuwa na...

Kasi

Zitadumu kwa Muda Mrefu

Na...

Ndege zenye Ufanisi Zaidi Kuliko Zingine...Efficiency!

Na...

Hii Ndio sababu Namba Moja Iliyofanya Jeshi la Marekani kununua Ndege 70 kutoka kwenye Kampuni ya Boeing kwa ajili ya Vita ya Pili ya Dunia...WWII.

Kitu Ambacho kinaonesha ni Kiasi gani Kampuni Ilijali kuhusu Bidhaa Bora na Imara kwa Wateja wake... Ndio Sababu Ilipata Mafanikio makubwa.

LAKINI...

Licha ya Mafanikio yote Hayo ilipofika Miaka ya 90's Boeing Iliajiri CEO Mpya, Aliyekuwa Ametoka Chuo na Akiwa na Vigezo kama vya Chuo Kikuu cha... HAVARD!

Yaani...

Kama ni Chuo basi yule Mwanafunzi Bora darasani (Best Student) ndio achukuliwe Akapewe kazi ya u CEO kwenye Kampuni.

Ambalo Lilikuwa ni Wazo Zuri kwa sababu Ilibidi baadhi ya watu wa Muda mrefu Wapumzike.

Japo yule CEO kutoka Chuo yeye alikuja na... Mission Statement Mpya. Hakutaka tena Kutengeneza Ndege Bora na zenye Usalama.

Bali alitaka kutengeneza Ndege zenye gharama za Utengenezaji ndogo...

(Low Operational Cost)

Ili aweze Kutengeneza faida Kubwa baada ya Kuziuza na kuongeza faida kwa Waweka hisa wake...(Shareholders)!

Kwa Ufupi tu alibadili FOCUS ya Kampuni toka kwa...

"Customers kwenda kwa Shareholders"

Ambapo aliwataka Engineers wa Kampuni wapunguze matumizi ya Pesa waliokuwa wakifanya.

Kwasababu...

Muda mwingi walikuwa Wakitumia kufanya Utafiti wa...Kipi ni Chuma bora zaidi ya Kingine kwaajili ya Kutengenezea Ndege.

Na...

Vitu Vingine vya Kiutaalamu na Kiufundi ambavyo Viliifanya Kampuni Kupata Mafanikio zaidi.

Kwahiyo Vyote hivyo vilifutwa na Huyu CEO Mpya wa Boeing.

Na...

Mwisho wa Siku ilipofika mwaka 1997 Kampuni ya Boeing Iliporomoka sana Kimauzao Duniani.

Ikapata hasara na Kuingia kwenye Madeni makubwa na Ndege zake zikajulikana kwa sifa mbaya ya Kupata Ajali.

Kitu kilichopelekea Kampuni kama "AirBus" ambayo Ilikuwa mshindani wake Mkubwa Kuchukua nafasi yake Sokoni!

Na huo Ndio ukawa Mwanzo wa Boeing Kupotea kwenye Soko La NDEGE hadi Leo hii.

So Nini Moral ya Story Hii Mselem?

(Unaweza Kujiuliza)!

Yeah Vizuri! Angalia Hapa

Kama Upo au Unataka kuingia kwenye Biashara yoyote Ile...

"Kumbuka Huingii kwenye Biashara kutengeneza PESA... Unaingia kwenye Biashara Kutatua CHANGAMOTO za Wateja Wako"

Rudia Kusoma Tena Hiyo

Kwa sababu Pesa ni Matokeo ya...

Kutatua Changamoto... (Solving Problems)

Kuongeza Uthamani... (Adding Values)

Na...

Kurahisisha Maisha ya Watu...(Simplyfying Life of Others)

Hizo Ndizo sababu za Wewe kuwepo kwenye Biashara na Hizo sababu ndio zitakupa Pesa.

Kwahiyo...Siku utakayo hamisha Focus yako Kutoka kwa Wateja kwenda Sehemu Ingine Ndio Itakuwa muda Sahihi wa Washindani zako Kukutoa Sokoni na Kuchukua nafasi yako.

Kama Ilivyokuwa kwa Kampuni ya Boeing!

Kwahiyo...

Kama Unatengeneza Keki, Juice, Sabuni, Ubuyu, Mafuta au Unaagiza Mizigo China n.k..

Hakikisha FOCUS Yako yote ni Kutengeneza Keki Tamu na Bora kuliko washindani Zako.

Ubuyu Mzuri na Mtamu Kuliko Mtu yoyote kwenye Soko Ulilopo.

Unaagiza Bidhaa BORA na NZURI Kuliko washindani zako.

Yaani...

Focus yako yote Iwe ni Kutengeneza Bidhaa BORA Kuliko washindani zako...Product Centric!

Na...

Kutengeneza Bidhaa Ile wanayoitaka Wateja wako Zaidi...Customer Centric!

Na...hiyo Ndio Itakuwa SIRI ya Wewe kutengeneza Pesa Nyingi Zaidi Sokoni

Tofauti na Hapo... Utaenda kuwa kama CEO wa Boeing.

I Hope Umejifunza Kitu Kipya.

Uwe na Siku Njema.

Gracias

Seif Mselem
That's the truth
 
Asante Kwa madini mkuu nimrkupata vizuri
 
Tarehe kama ya 15 Mei 1916, katika anga za kibiashara nchini Marekani, kampuni ya ndege ya Boeing ilizaliwa chini ya uongozi mahiri wa mwanzilishi wake, William Boeing. Ikiwa na lengo la kutoa ndege bora na zenye ufanisi, Boeing ilipata mafanikio makubwa katika miaka iliyofuata.

Mafanikio hayo yalitokana na ushirikiano mzuri kati ya Boeing na wahandisi wake wawili mahiri, George Westervelt na Wong Tsu. Walikuwa na dhamira ya kutengeneza ndege zenye kasi, zenye uimara wa muda mrefu, na zenye ufanisi wa hali ya juu. Kaulimbiu yao, "To Make BEST Airplanes In the World," iliwatia nguvu kufikia malengo yao.

Boeing ilijipatia sifa kubwa kwa kutoa ndege za abiria (Commercial Airplanes) na kutumika katika Vita vya Kwanza na Pili vya Dunia (WWI & WWII). Jeshi la Marekani lilinunua ndege 70 za Boeing kwa ajili ya Vita ya Pili ya Dunia, hali iliyothibitisha ubora wa bidhaa zao.

Hata hivyo, mafanikio haya yalijikita katika kaulimbiu yao imara ya kutoa bidhaa bora zaidi duniani. Lakini, mwaka 1990, mambo yalibadilika wakati Boeing ilimteua CEO mpya, ambaye alikuwa mhitimu wa Harvard. CEO huyu mpya alileta mabadiliko kwa kuleta mkakati mpya wa kibiashara.

Mabadiliko hayo yalijikita katika kubadili fikra kutoka kwa kutoa ndege bora na zenye usalama, hadi kuzingatia gharama ndogo za utengenezaji (Low Operational Cost). Ingawa hili lilionekana kama njia ya kuongeza faida kwa wawekezaji, ilisababisha kupoteza sifa nzuri ya Boeing.

Kwa muda, Boeing ilipata hasara kubwa, ikaingia kwenye madeni, na ndege zake zilijulikana kwa ajali mara kwa mara. Wakati huo huo, washindani kama Airbus walichukua nafasi yao sokoni.

Simulizi hii inaleta somo muhimu kwa wajasiriamali wote: "Kumbuka huingii kwenye biashara kutengeneza pesa; unaingia kwenye biashara kutatua changamoto za wateja wako." Kuzingatia wateja na kutoa bidhaa bora ni muhimu kwa mafanikio ya kudumu katika biashara.

Kwa hiyo, kama unatengeneza bidhaa au huduma, hakikisha unazingatia kutoa ubora na kuwapa wateja wako wanachotaka zaidi. Hilo ndilo litakalokuweka kileleni na kuimarisha msimamo wako sokoni. Kama ilivyokuwa kwa Boeing, kusahau lengo la kutoa bidhaa bora kunaweza kukupeleka kushuka na kupoteza sifa zako. Kumbuka daima kuwa "Customer Centric" na kujitolea kwa bidhaa bora, na hivyo utaweza kudumisha mafanikio yako katika soko.
 
Pamoja na hayo makosa , kosa jingine kubwa ni Boeing kutumika kisiasa, unakuta serikali ya Marekani inaweka vikwazo vya spare kwa nchi zilitofautiana naye kisiasa Kama Urusi, Iran na nyinginezo.
Sasa hivi Iran katengeneza ndege zake, Urusi ameanza kutengeneza za kwake, China tayari amezindua za kwake na tayari kapata oda.kuvwa kubwa. Hii tayari imemfanya Boeing apiteze soko.lake kubwa Sana.
 
Back
Top Bottom