izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,461
unataka kujua madhara ya kiuchumi au kibnafsi? ???Nini madhara yakuficha mabilioni ya fedha ndani ambayo hayatumiki?
unataka kujua madhara ya kiuchumi au kibnafsi? ???Nini madhara yakuficha mabilioni ya fedha ndani ambayo hayatumiki?
unataka kujua madhara ya kiuchumi au kibnafsi? ???
Tunakushukuru, uko vizuri. Naomba kuuliza swali la nyongeza. Niliwahi sikia fedha zikishachapishwa huko Ujerumani zinakuwa hazina namba I.e serial number, eti hizo namba wanachapa BOT, ni kweli?kila nchi ina kitu kinaitwa money policy act MPA huu ndo mwongozo wa central bank zote duniani ikiongozwa na WB mfumo huu ndo unawaongoza katika ku supply and monitoring currently so kuhusu ni kiasi gani wanachapisha inategemea na maitaji ya nchi husika kuna msemo wa kibiashara unasema ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi so chaguo ni lako kuchapisha tuuuuu au kuchapisha pale inapoitajika
kwa wenzetu yani federal reserve bank and bank of England pia na bank of Canada hawa ndo wanacontrol karibu institutions zote za fedha ikiwamo WB na IMF so ni kama money policy act wanazizibiti wao
lakini thamani ya fedha hawapangi wao kama ingekuwa hvyo basi dollar ndo ingekuwa na thamani kuliko zote bt kuna fedha za nchi zingine zimeizd thaman usd mfano Swiss fanc pound na dinar ya Oman
pia wenzetu wana mfumo mzuri mfano marekani kiwanda cha kutengeneza fedha cha fort Worth cha TX na cha Washington cha tour and visitor centre kwa pamoja vinauwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na pia wameweka expire date ya ela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani na pia kudhibiti mijitu inayoficha ela kwenye masandarusi na ndoo coz ikifika mda fedha inaexpire so ikiexpire mkononi mwako itakuwa ni taratasi tu coz huwezi kufanya manunuz yeyote popote pale kwani itakuwa imeondolewa kwenye mzunguko nadhani ni miaka 10 wao hawasuhili mpaka ela ichanike au kuchakaa kama tunavyofanya ss
ok kitendo cha mtu kuficha au kuifadhi fedha ndani au sehemu yeyote nje ya utaratibu unaokubalika kisheria fedha hyo utambuliwa kama unaccounted black money (UBM, s) so wanauchumi na wanausalama wanaamini kuwa fedha hizi nyingi upatikana kwa mazingira yanayotia mashaka na kitendo hicho uchukuliwa kama ni national threat in economic and security na mala nyingi fedha hizo utumika ama hupitia katika mikono ya watu ambao c wema kiuchumi., kijamii na kiusalama (magaid, mafisadi, majangili) sasa nikupe hasara ya fedha hizi kiuchumiMada inazingumzia uchumi bila shaka
mkuu cwez kuingia ndani sana ktk security details za fedha yetu coz is highly classified pia ni HVCs cargo bt kukujibu swali lako kiufupi tu ni kama vle vocha zinapotoka kiwandani kwenda kwa makampuni ya simu kwa ajili ya kusambazwa kwetu zinakuwa hazina number? ?? kumbuka kiwanda cha vocha kipo hapa hapa Tanzania na pia ni njia gani utumika kuzi install kwenye system mpaka ukikwangua na kuweka zinakubali majibu yake ndo njia hizo hutumika pia ktk fedha .........Tunakushukuru, uko vizuri. Naomba kuuliza swali la nyongeza. Niliwahi sikia fedha zikishachapishwa huko Ujerumani zinakuwa hazina namba I.e serial number, eti hizo namba wanachapa BOT, ni kweli?
mkuu MC7 kwanza si kweli hata kidogo kuwa zebki au mercury inatumiwa kutengeneza fedha materials yanayotumika kutengeneza fedha niNa Hii Pesa Inayotengezwa Kwa Kutumia Zebaki Nyekundu Inaukweli Gani. Mi Huwa Nasikia Habari Zaka Kama Za Rupia
ahsante, nliwai ona post moja ya benk moja apa Tz ikiitaj kununua baadh ya pesa za zaman za benk io...naic n chin ya miaka ya 90 na 80...wakaweka nembo ya benk na link yao....nlpooji kwa watu kwann wanaziitaj nkapenyezewa kuwa izo pesa zna kiwango fulan cha zebak....na znanunuliwa kwa pesa nyng nao wanaenda kuziuza ili zebak ile itumike kwa uzalishaj wa vtu vngne...watu walilispond kupitia post ile...wakajbiwa either wafuatilie kuptia Link ya benk au waende benk...mana waliweka na location yao...pia.nlgungua wanaitaj na nyngnezo ambazo c za benk yao....ndi mana nkaoji uhalisia wa ilo sualamkuu MC7 kwanza si kweli hata kidogo kuwa zebki au mercury inatumiwa kutengeneza fedha materials yanayotumika kutengeneza fedha ni
1 cotton fiber 80-99%
2 wood fiber 1-3%
3 titanium white 2-3.5%
4 polyamide epichlorohydrin 2-3.5%
5 aluminium chloride
6 melamine,formal dehyde resin , na animal grue
so unaweza kujiuliza kama material ya kutengeneza fedha yanajulikana why majangili wanatengeneza counterfeit money?? jibu ni kwamba unaweza kujua material ya kutengeneza kitu husijue formula ya utengenezaji sasa formula ya jinsi ya kuchanganya hizo kunaitaji natural resources ,critical moments in time and human engineer hv nyote ndo vinafanya tuweze kuyatumia haya makaratasi yenye thamani kuhusu mercury hizi mala nyingi hutumika kwa kazi zingine hasa migodini
kazi orgnal ya mercury c kazi za kiraia hyo ni mada nyingine ndefu bt c kweli hata kidogo kuwa fedha inatengenezwa na mercury huo unaweza kuwa kama uzushi wa coin za mia tano ni madini ya silva na ni dili upo uzushi mwingi ktk dunia hiiahsante, nliwai ona post moja ya benk moja apa Tz ikiitaj kununua baadh ya pesa za zaman za benk io...naic n chin ya miaka ya 90 na 80...wakaweka nembo ya benk na link yao....nlpooji kwa watu kwann wanaziitaj nkapenyezewa kuwa izo pesa zna kiwango fulan cha zebak....na znanunuliwa kwa pesa nyng nao wanaenda kuziuza ili zebak ile itumike kwa uzalishaj wa vtu vngne...watu walilispond kupitia post ile...wakajbiwa either wafuatilie kuptia Link ya benk au waende benk...mana waliweka na location yao...pia.nlgungua wanaitaj na nyngnezo ambazo c za benk yao....ndi mana nkaoji uhalisia wa ilo suala
sawa kaka..nmeelewa apo!!kazi orgnal ya mercury c kazi za kiraia hyo ni mada nyingine ndefu bt c kweli hata kidogo kuwa fedha inatengenezwa na mercury huo unaweza kuwa kama uzushi wa coin za mia tano ni madini ya silva na ni dili upo uzushi mwingi ktk dunia hii
ehe kumbe shilingi za miatano sio dilli?mbona kuna mtu kaziweka nyingi tu ndani na anasema eti anataka kuziuzakazi orgnal ya mercury c kazi za kiraia hyo ni mada nyingine ndefu bt c kweli hata kidogo kuwa fedha inatengenezwa na mercury huo unaweza kuwa kama uzushi wa coin za mia tano ni madini ya silva na ni dili upo uzushi mwingi ktk dunia hii
Hela zinaingizwaje kwenye mzunguko. ?kazi orgnal ya mercury c kazi za kiraia hyo ni mada nyingine ndefu bt c kweli hata kidogo kuwa fedha inatengenezwa na mercury huo unaweza kuwa kama uzushi wa coin za mia tano ni madini ya silva na ni dili upo uzushi mwingi ktk dunia hii
kila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa bureau of engraving and printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya marekani kuna viwanda viwili ndani ya marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake
bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine
Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na alali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Kwakuongezea...nadhan fedha zikishatengenezwa lazima ziingizwe kwenye mzunguko na kazi hii hufanywa na benk kuu ya nchi husika na kunataratibu za kuhakiki namba za noti zote na kuzihalalisha kama fedha halali inayoweza kutumika hivyo kabla ya fedha kufika kwenye bank kuu sidhan kama zinaweza kutumika hivyo kuiba fedha ambazo zimetoka kutengenezwa hakuwezi kuwa na maana...ikitokea fedha izo zimeibwa bank kuu wanachokifanya ni kuziangaza namba za noti hizo kwamba siyo halali hivyo inakuwa ngumu sana kuzitumia..!!
Sidhani kama muuza duka , muuza mitumba,muuza chipsi wana utaratibu wa kuangalia namba pesa wanazopewa ..hata konda anapokuludishia chenji ya sh mia au hamsini sizan kama huwa tunaangalia namba alafu swali hapohapo hivi hizi fedha zeu za sarafu zina namba kweli..mimi huwa nawaza hawa jamaaa huwa wanafyatua fedha zetu halafu wanakuja kuzitoa kama msaada!
Hi wana JF,
Nimekuwa nikisikia kuwa pesa ya nchi yoyote ile utengenezwa katika nchi ya Uswisi, lakini katika kujua huko nimekuwa nabaki na maswali mbalimbali juu ya hilo. Maswali hayo ni pamoja na;
(i) Je katika nchi hiyo ni kampuni binafsi au za serikali ndiyo zinahusika kutengeneza?
(ii) Je kampuni hizo zinafanya kazi hiyo kama msaada au ni ki biashara?
(iii) Kama ni ki biashara?, wao wanalipwa nini? pesa hiyo hiyo wanayotengeneza au kitu kingine? kwa maana kama ni pesa hiyo sioni kama wana fanya biashara, nitoe mfano mdogo, chukulia umpe mtu order ya kukutengenenezea mikate, na baada ya kukutengenezea umlipe kiasi fulani cha mikate hiyo, hapo si ni sawa sawa mikate hiyo kakupa bure? n.k
Kwa kutambua JF ni jukwaa lililojaa wataalamu katka nyanja mbalimbali natumaini nitapata majibu kulingana na duku duku hizo.
Nawasilisha.
Umeeleweka mkuu, big up, sasa hapo ikitokea wanatakiwa kutengeneza dollar kama USD, sasa hapo nchi husika itakuja na USD zingine kuwalipa, au watalipwa katika kile kiasi watakachotengeneza?Kiukweli hizi noti huwa zinafanyiwa printing na big firms kama De La Rue ambao pia wana facility Nairobi Kenya. Hii kazi wanafanya kibiashara na wanalipwa kwa world known currencies kama USD. Hivi viwanda huwa vina ulinzi wa hali ya juu kuliko hata migodi so hulazimika kudeliver kile kile wanachotakiwa kudeliver (nothing less nothing more) na hawawezi kujilipa kwa kuprint noti zaidi. Malipo hufanyika kulingana na gharama zilizokubaliwa kwenye tenda...
Umeeleweka mkuu, big up, sasa hapo ikitokea wanatakiwa kutengeneza dollar kama USD, sasa hapo nchi husika itakuja na USD zingine kuwalipa, au watalipwa katika kile kiasi watakachotengeneza?
Hao wanaotengeneza fedha wamesomea wapi? Chuo gani kinazalisha watalaamu wa kutengeneza fedha?Okay kwa mfano wamepewa tenda ya kuprint USD notes kiasi fulani, wao watatimiza wajibu wao kuzalisha USD notes hizo na kuhakikisha zinafika kwa client wao (serikali ya Marekani) kwa ajili ya uhakiki kabla hazijaingizwa kwenye mzunguko so in short ni kwamba wao watalipwa kwa USD lakini sio kutoka kwenye noti mpya walizotoka kuprint. Lakini pia ujue hizi tenda ni kubwa kwa hiyo malipo huwa hayafanyiki kwa physical cash ila transfers au cheques.
Kingine cha kujua ni kwamba hizi fedha huwa zinazlishwa zikiwa chini ya uangalizi mkubwa sasa wa client sasa ukimwachia supplier ajiprintie noti zake kwa ajili ya kujilipa utapoteza element kubwa sana ya control! Hii italeta balaa kubwa sana kwenye uchumi.
mkuu raxx viwanda vya kutengeneza fedha vpo 9 duniani vwil vpo marekani na huwezi kukuta eti kiwanda cha kutengeneza fedha kikawa kinamilikiwa na mtu binafsi na si kweli hata kidogo kuwa vyote vnatengeneza dollars in vwanda 2 tu duniani ndo vna access ya kutengeneza dollar navyo ni fort Worth cha TX na cha tours and visitor centre cha DC vyote vya marekani vikiwa chini ya department of treasury chini ya kitengo cha bureau of engraving and printing BEP na duniani law material ya kutengeneza fedha au zile karatasi zinatoka kwenye kiwanda cha fort Worth so duniani vwanda vyote vya utengenezaji wa fedha wanachukua sehemu moja sema quality huwa zinatofautiana kutokana na dau lako nadhani nimeshaelezea kwenye post zangu hapo juu kuhusu kiwango cha elimu ili uweze kufanya kazi kwenye vwanda hv ni elimu ya kawaida tu ila uwe smart kichwaniHao wanaotengeneza fedha wamesomea wapi? Chuo gani kinazalisha watalaamu wa kutengeneza fedha?