Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Pesa ya Tanzania inatengenezwa Ujerumani lakini chakushangaza tuna mahusiano nao kidogo sana! Na sijui ni kwa nini? Simaniishi tujipendekeze kwao La hasha! Ila ikiangalia Vitu walivyowekeza hapa kwetu ni Vichache sana ukilinganisha na China pamoja Japan!
 
Centro banks zote duniani zinamilikiwa na serikali hakuna centro bank inayomilikiwa na watu binafsi na US pia wanayo CB inaitwa BOA bank of america pia watu wanachanganya FRS kuja ni bank si kweli federal reserve si bank bali ni mfumo unaofanya kazi ndani ya BOA na mfumo huu ulianzishwa mwaka 1907 na kusainiwa kuwa sheria kamili mwaka 1913 dec 23 na rais woodrow wilson na chanzo cha mfumo huu ni kutokana na marekani kuingiaa kwenye finacial crisis mwanzoni mwa mwaka 1906 na sheria hyo ilijulikana kama federal reserve system act ya mwaka 1913 FRS inamilikiwa na serikali kwa 80% huku Private sector 20% duniani kuna mfumo unaitwa Global finacial system huu ndo mfumo unaongza centrol banks zote na mfumo huu ndo unamilikiwa na watu

Kwa mfano max malipo ni mfumo so mwenye max malipo mkampa jukumu la kukusanya kodi kwa kutumia mfumo wako so mwenye max malipo anaweza kujua fedha yote inayokusanywa na anaweza kujua ni fedha kiasi gani inazunguka katika mfumo wake bt pamoja na kujua fedha hyo lakini fedha si yake na yy si mmiliki wa hyo fedha so Rothschild na Rockfeller hawa wanamilki mifumo ya kidhefa GFS
Mh!!Izzo hakika wewe ni Msomi....unaujua mfumo wa pesa In and Out.....
 
Mkuu kumbuka hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda rais wa marekani peke yake pia na kuhakikisha federal reserved system FRS ya marekani inakuwa safe and secure secret service walisha wai kukamata mabilion ya fedha bandia katika godawn huko Colombia

kama nilivyo sema hapo mwanzo kampuni hizi zote zinakuwa controlled by the government pia kila kampuni inakuwa na material ya utengenezaji wa zile karatasi inakuwa ni top secret au classified kwa kampuni husika na ndo kitu kinachofanya kampuni kupewa tenda kwani isingekuwa hvyo kumbuka kuwa kuna watu wanatengeneza fedha bandia pia utakiwa kujua kinacholindwa si fedha bali makaratasi ya kutengeneza fedha

kuhusu ss kutengeneza fedha zetu hapa tunaweza bt kuna vitu unatakiwa kujiuliza kama tunaweza? ?
1 je thamani ya fedha yetu nani
 
Binafsi nimelidhika sana na majibu mazuri ya mkuu izzo naona hapo juu upo vizuri sana kwa maswala cash na uchumi hongera sana.
 
Asante mkuu izzo kwa elimu nzuri. Kwenye post za mwanzoni ulisema kuna njia sita za kupandisha ama kushusha thamani ya pesa. Ningependa uniambie njia hizo sita na kwanini nchi yetu isizitumie kupandisha thamani ya shilingi yetu kuwa kama zamani miaka ya 1960s-1980s?
 
Asante sana kwa elimu nzuri. umesema kuna nchi expire date ya fedha ni 10yrs.sasa wakiprint wanaprint mara moja kwa hiyo miaka kumi au wanakua wanaprint Mara kwa mara? mfano sahv unaweza pata 10000 tsh mpyaaa kabisa.je ni zile waliprint kipindi kile ziliporeplace 10000 ya blue au ni kila mwaka wanaprint?
Ni nchi ya USA ndio wameweka mfumo wa fedha yao kuexpire kila baada ya miaka 10 yani dola iliyotengenezwa mwaka 2007 mpaka leo ndio inatumika lakini iliyotengenezwa nyuma ya 2006 haitumiki kama unayo uwezi kwenda kubadilisha kwenye maduka ya fedha kwni inahesabiwa kama imeshaexpire na inakuwa imeshatolewa kwenye mzunguko

Kiwanda cha Washington cha( tour and visitor centre) chenye uwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na ndio fedha zinazotoka pale nying ndo zinaingia wenye nzunguko dunian na pia wameweka expire date ya ela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani na pia kudhibiti mijitu inayoficha ela kwenye masandarusi na ndoo coz ikifika mda fedha inaexpire so ikiexpire mkononi mwako itakuwa ni taratasi tu coz huwezi kufanya manunuz yeyote popote pale kwani itakuwa imeondolewa kwenye mzunguko nadhani ni miaka 10 so ela iliyotengenezwa juu ya miaka 10 yani inayokubalika sasa sokoni ni yakuanzia 2007 wao hawasubili mpaka fedha kuchanika au kuchakaa kama tunavyofanya ss
NOTE: Matumizi ya miaka kumi kwa fedha ya dola yamewekwa kwa nje ya US lakini ndani ya US inatumika na inaondolewa kwenye mzunguko kama ilivyo huku ndio maana dola ya 2006 inatumika US lakni nje ya US inaonekana kama imekwisha mda wake wa matumizi

Kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda rais wa marekani peke yake pia na kuhakikisha federal reserved system FRS ya marekani inakuwa safe and secure kumbuka hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao pia dola ni fedha inayotumika dunia nzima ktk maswala ya manunuzi, malipo na mikopo so mahitaji ya dola ni makubwa sana duniani nia ya kuweka expire date ni kwa ajili ya kuweza kulinda na kujua mzunguko wa fedha yao duniani
 
Kama kuna swali uliza coz JF ndio sehemu pekee ambapo elimu inapatikana bure tu
Asante mkuu izzo kwa elimu nzuri. Kwenye post za mwanzoni ulisema kuna njia sita za kupandisha ama kushusha thamani ya pesa. Ningependa uniambie njia hizo sita na kwanini nchi yetu isizitumie kupandisha thamani ya shilingi yetu kuwa kama zamani miaka ya 1960s-1980s?
 
kila nchi ina kitu kinaitwa money policy act MPA huu ndo mwongozo wa central bank zote duniani ikiongozwa na WB mfumo huu ndo unawaongoza katika ku supply and monitoring currently so kuhusu ni kiasi gani wanachapisha inategemea na maitaji ya nchi husika kuna msemo wa kibiashara unasema ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi so chaguo ni lako kuchapisha tuuuuu au kuchapisha pale inapoitajika

kwa wenzetu yani federal reserve bank and bank of England pia na bank of Canada hawa ndo wanacontrol karibu institutions zote za fedha ikiwamo WB na IMF so ni kama money policy act wanazizibiti wao

lakini thamani ya fedha hawapangi wao kama ingekuwa hvyo basi dollar ndo ingekuwa na thamani kuliko zote bt kuna fedha za nchi zingine zimeizd thaman usd mfano Swiss fanc pound na dinar ya Oman

pia wenzetu wana mfumo mzuri mfano marekani kiwanda cha kutengeneza fedha cha fort Worth cha TX na cha Washington cha tour and visitor centre kwa pamoja vinauwezo wa kutengeneza kiasi cha dollar million 28 par hour na pia wameweka expire date ya ela yao ili kuweza kujua ni kiasi gani cha fedha kipo katika mzunguko duniani na pia kudhibiti mijitu inayoficha ela kwenye masandarusi na ndoo coz ikifika mda fedha inaexpire so ikiexpire mkononi mwako itakuwa ni taratasi tu coz huwezi kufanya manunuz yeyote popote pale kwani itakuwa imeondolewa kwenye mzunguko nadhani ni miaka 10 wao hawasuhili mpaka ela ichanike au kuchakaa kama tunavyofanya ss
Best way ya kudhibiti watu kuficha hela kama ilivyotokea hapo nyuma kidogo hapa kwetu ilikuwa ni kutia expire date kwa kila pesa
 
Asante mkuu izzo kwa elimu nzuri. Kwenye post za mwanzoni ulisema kuna njia sita za kupandisha ama kushusha thamani ya pesa. Ningependa uniambie njia hizo sita na kwanini nchi yetu isizitumie kupandisha thamani ya shilingi yetu kuwa kama zamani miaka ya 1960s-1980s?
Swali zuri sana mkuu
 
Kiwanda kinachosemwa kipo kenya si kiwanda cha kuprint pesa bali ni branch ya kiwanda cha De La Rue
British security printing, papermaking and cash handling systems company ambacho makao makuu ni Basingstoke, Hampshire, United Kingdom ambao wana branch katika nchi za Kenya, Sri Lanka na Mailta kazi ya hizo branch ni kutengeneza

Bank cheques
Driving licences
Passports
Postage stamps
Tax stamps
Traveller's cheques
Vouchers

Pia kiwanda cha Kenya kinatengeneza high-security paper ambazo zinatumika kutengenezea fedha karatasi hizo zinamchanganyiko wa

1 cotton fiber 80-99%
2 wood fiber 1-3%
3 titanium white 2-3.5%
4 polyamide epichlorohydrin 2-3.5%
5 aluminium chloride
6 melamine,formal dehyde resin , na animal grue

Kwa mchanganyiko huu ndio unapata karatasi ya kutengenezea fedha so hizo -security paper ndio zinashafirishwa mpaka
The Debden Security Printing Ltd printing facility, kinachomilikiwa na De La Rue, ambao wanatengeneza fedha za nchi kama 150 duniani ikiwamo fedha ya KENYA na fedha ya Uingereza
Cassimwamwinyi
Nimesoma huku kuwa hizo paper ndo big deal kama tayar inajulikana zinatoka Kenya si sio siri tena na anything can happen
mkuu raxx viwanda vya kutengeneza fedha vpo 9 duniani vwil vpo marekani na huwezi kukuta eti kiwanda cha kutengeneza fedha kikawa kinamilikiwa na mtu binafsi na si kweli hata kidogo kuwa vyote vnatengeneza dollars in vwanda 2 tu duniani ndo vna access ya kutengeneza dollar navyo ni fort Worth cha TX na cha tours and visitor centre cha DC vyote vya marekani vikiwa chini ya department of treasury chini ya kitengo cha bureau of engraving and printing BEP na duniani law material ya kutengeneza fedha au zile karatasi zinatoka kwenye kiwanda cha fort Worth so duniani vwanda vyote vya utengenezaji wa fedha wanachukua sehemu moja sema quality huwa zinatofautiana kutokana na dau lako nadhani nimeshaelezea kwenye post zangu hapo juu kuhusu kiwango cha elimu ili uweze kufanya kazi kwenye vwanda hv ni elimu ya kawaida tu ila uwe smart kichwani

mwaka jana walitoa nafasi za kazi na huwa zinatolewa duniani yeyote anaweza apply coz ni kama vle WB na IMF mtu kutoka taifa lolote anaweza kufanya kazi hapo
so huwa wanatoa nafasi za kazi kama uko interested unaweza kuwasiliana nao

department of treasury
bureau of engraving and printing
9000 blue mond Rd font worth TX 76131
 
Kiwanda kinachosemwa kipo kenya si kiwanda cha kuprint pesa bali ni branch ya kiwanda cha De La Rue
British security printing, papermaking and cash handling systems company ambacho makao makuu ni Basingstoke, Hampshire, United Kingdom ambao wana branch katika nchi za Kenya, Sri Lanka na Mailta kazi ya hizo branch ni kutengeneza

Bank cheques
Driving licences
Passports
Postage stamps
Tax stamps
Traveller's cheques
Vouchers

Pia kiwanda cha Kenya kinatengeneza high-security paper ambazo zinatumika kutengenezea fedha karatasi hizo zinamchanganyiko wa

1 cotton fiber 80-99%
2 wood fiber 1-3%
3 titanium white 2-3.5%
4 polyamide epichlorohydrin 2-3.5%
5 aluminium chloride
6 melamine,formal dehyde resin , na animal grue

Kwa mchanganyiko huu ndio unapata karatasi ya kutengenezea fedha so hizo -security paper ndio zinashafirishwa mpaka
The Debden Security Printing Ltd printing facility, kinachomilikiwa na De La Rue, ambao wanatengeneza fedha za nchi kama 150 duniani ikiwamo fedha ya KENYA na fedha ya Uingereza
Cassimwamwinyi
Duuu izzo ww ni hatari nafsi itanisuta kama sitokupa hongera
 
Back
Top Bottom