Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

mimi sitaki kuamini kwamba mia tano ya noti ilitengenezwa ujerumani mana haina tofauti na majani ya kisamvu
Mkuu tofauti ya kitu Original na Fake si nchi gani au wapi kimetengenezwa. Material na Quality ndio utoa tofauti ya kitu Fake na Original si sehemu kilipotengenezewa
 
Mimi nae niulize, hela umefatua nyingi na unazo tayari kwa mfukoni sasa tatizo lipo wapi ni kiambiwa unga 1 kg 10000? Si nina toa tu, tena noti moja ya 10000. Wakati mfukoni nimesha chapisha niko na noti za 10000, elfu za kuchapisha.


Mbili wakati na soma shule miaka hiyo ya 1960s tulikuwa tukiambiwa wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza pesa wanazitengeneza au wanazifua wakiwa uchi wa mnyama ni kweli mliofika huko kiwandani kwa pesa?



Mkuu kuna njia sita za kuamua kushusha au kupandisha thamani ya fedha na pia zipo mpaka njia za kimafia za kupandisha au kushusha kama nilivyo sema hapo mwanzo kuwa ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi na pia thamani ya kitu chochote uamuliwa na nguvu ya soko sasa nikujibu kwa nn nilisema kuwa ku print print fedha bila ya sababu za msingi ni kubaya na pia kunachangia kushuka kwa thamani ya fedha

mfano Leo tukiamua ku print tuu fedha inamaana mzunguko wa fedha utakuwa mkubwa so kutapelekea mfumuko wa bei (differentials in inflation) kama nilivyo sema thamani ya fedha uamuliwa na nguvu ya soko so wafanyabishara watapandisha vitu bei na wananchi mtaona poa tu kwa sababu mnazo fedha mifukoni ebu fikilia Leo unanunua unga kilo sh elf 5 au sukari kilo sh elfu 10 Hv hapo kunaitaji degree kujua fedha yetu imeshuka thamani? ???
 
nakujibu swali la mwisho,pesa ni karatazi tu zilizoprintiwa,unalipa kama unavyoenda kulipa kuprintiwa au photocopy!bei ipo,copy kadhaa shilingi kadhaa,malipo yao ni kwa dola kwa vile ni zabuni ya kimataifa!!!

hata ingekuwa ktk mfano wako wa mkate gharama ya kutengenezewa kitu haiwezi kuwa na thamani sawa na kitu kilichotengenezwa,mfano ukitaka mtu akutengenezee mikate 100,ujira wa kutengenezewa mikate 100 unadhani ni kumpa mikate 100??jibu ni hapana,hivyo labda ukitengenezewa mikate 100 labda ungempa mikate 8!!!hivyo hata kwenye pesa kuna uwiano wa namna hiyo,labda mnaweza kutoa oda ya kutengenezewa noti za 10,000 za thamani ya billioni moja mkawalipa ujira wa sh millioni 100(malipo kwa dola ya thamani hiyo)
Jibu zuri haukuwa mbali na jibu langu ila umejibu vizuri zaidi
 
Material yanayotumika kutengeneza fedha yanajulikana kabisa na ni
1 Cotton fiber 80-99%
2 Wood fiber 1-3%
3 Titanium white 2-3.5%
4 Polyamide epichlorohydrin 2-3.5%
5 Aluminum chloride
6 Melamine,formal dehyde resin , na animal grue
Kinacholindwa si fedha yani final product bali ni siri au jinsi ya kuchanganya hizo fomula ni top secret si kila mtu au mfanyakazi anaweza kuna na access ya kujua hilo mfano leo ni kama fomula ya kuchanganya soda ya Caca cola ilivyo kinacholindwa si material kama material ya coca hata Azam wanayo bali kuchanganya material hizo mpka zifanane na soda ya Coca Cola ndo tatizo ni sawa na fedha kinacholindwa ni formula ya kuchanganya hayo material na security features ambazo zinakuwa attached kwenye karatasi la kutengeneza fedha au kwa jina lingine wanaita makaratasi yenye thamani
Big up mkuu, upo vizuri sana. Long live JF.
 
Dah mkuu we acha tu siku tukipata time tunaweza kuja kuwapa elimu wenzetu juu ya mifumo hii niliwai kusema zipo njia 6 za kuweza kupandisha uchumi ambazo wenzetu wanzitumia japo wanapata upinzani mkubwa sana wa hizi cryptocurrency kupitia mifumo ya blockchain technology
tunasubiri hii elimu mkuu ukipost usisahau kuni tag
 
Kila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie Marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa Bureau of Engravin printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya Marekani kuna viwanda viwili ndani ya Marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake

Bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by Government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine

Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na halali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Mi nawaza hawawezi kuongeza idadi ya not zinazohitajika kwnye nchi husika ili wachukue wao?
 
Kama serilkal inahusika kwa namna moja au nyingine katika kuprint pesa ukoo germany kwann, tunadaiwa mabiliion ya fedha kutoka nje,, wakati seeikal inaweza kuprint pesa kadhaa ili kuwalipa????
 
Back
Top Bottom