Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Hapana hazisafirishwi kwa meli.
Husafirishwa kwa ndege za mizigo
Na zinapokuja zile noti Huwa ktk mtindo kama mkanda mmoja mrefu.

Zikifika hutolewa na magari maalumu zikiwa kwenye makasha na hupelekwa bank kuu moja kwa moja
Huko huanza kugongwa namba kwasababu zinapokuja Huwa hazina namba. Kwahiyo kama Kuna noti zilirudishwa BOT Kwaajili ya kuteketezwa kutokana na uchakavu namba zake kupewa noti nyingine.

Kisha hupelekwa kitengo Cha kuweka alama za Siri.
Kisha hupelekwa kitengo Cha kukata kata noti Kwa saizi yake halisi.. ndipo huanza kuingizwa kwenye mizunguko ya matumizi kwa kupitia mabank

Kwahiyo huwezi kuiba noti zikiwa mpya toka kiwandani. Zinakuwa hazijakamilika na zinakuwa ni kama taili kubwa.. labda kama taili ya coaster.

Noti zinapokuja zikifika airport huondoshwa muda huohuo yaani zikishuka kwenye ndege utakuta magari ya BoT tayari yanasubiri nje ya custom

Kitengo ch clearing agent hupewa makalatasi na kwenda ku process na mpaka wanapata release basi wanaondoka kwa sababu mzigo inakuwa ulishachukuliwa.
Kama ni hivyo mbona kuna stori za kuibwa kwa sanduku la pesa mpya huko JNA, Au yalikuwa manenomanen?
 
Pesa katika uchumi wa nchi zinatakiwa ziendane na ukubwa wa biashara ya ndani na nje. Hata kama Canada wangekuwa wanakubali Tshs, Ukiprinti billion 500Tsh ili kununua ndege hizi billion 500 zitarudi kutaka kununua bidhaa na huduma katika nchi ambazo hazitakidhi na ndipo itasababisha mfumoko wa bei na kuharibu zaidi uchumi.

Fuatilia yaliyoikuta Zimbabwe ya Mugabe walipoanza mchezo wa kuprinti pesa tu baada ya kuwekewa vikwazo vya uchumi.
Asante kwa Elimu hii nzuri, lakini iweje nchi zetu zinauwa maskini wakati uchumi unapimwa kwa kiwango cga fedha?? Mfano Rais Magufuli anataka kununua ndege ya bilioni 500 za kitanzania sawa na Usd 20Milioni, kwanini ahangaike kukopa huko nje badala ya kuagiza kampuni yetu ya Ujerumani ikatengeneza bilio 500 za kitanzania tuka exchange into usd tukaagiza ndege yetu kanada bila kukopa kopa na kupiga watu marisasi?
 
Pesa zote(za noti na sarafu) kwa nchi zote huwa zinatengenezwa na kukamilika kiwandani wanapozitengeneza .
Huko zinawekewewa namba na security features zote. BoT wanachukua pesa/noti kamili kutoka viwanda zinakochapwa.
Hapana hazisafirishwi kwa meli.
Husafirishwa kwa ndege za mizigo
Na zinapokuja zile noti Huwa ktk mtindo kama mkanda mmoja mrefu.

Zikifika hutolewa na magari maalumu zikiwa kwenye makasha na hupelekwa bank kuu moja kwa moja
Huko huanza kugongwa namba kwasababu zinapokuja Huwa hazina namba. Kwahiyo kama Kuna noti zilirudishwa BOT Kwaajili ya kuteketezwa kutokana na uchakavu namba zake kupewa noti nyingine.

Kisha hupelekwa kitengo Cha kuweka alama za Siri.
Kisha hupelekwa kitengo Cha kukata kata noti Kwa saizi yake halisi.. ndipo huanza kuingizwa kwenye mizunguko ya matumizi kwa kupitia mabank

Kwahiyo huwezi kuiba noti zikiwa mpya toka kiwandani. Zinakuwa hazijakamilika na zinakuwa ni kama taili kubwa.. labda kama taili ya coaster.

Noti zinapokuja zikifika airport huondoshwa muda huohuo yaani zikishuka kwenye ndege utakuta magari ya BoT tayari yanasubiri nje ya custom

Kitengo ch clearing agent hupewa makalatasi na kwenda ku process na mpaka wanapata release basi wanaondoka kwa sababu mzigo inakuwa ulishachukuliwa.
 
Inawezekana kabisa noti mpya kuibwa, changamoto kubwa itakuwa kuziingiza na kuzitumia kwenye mzunguko kwa sababu namba zake zitakuwa zinajulikana na itakuwa rahisi kuzi trace.
Kama ni hivyo mbona kuna stori za kuibwa kwa sanduku la pesa mpya huko JNA, Au yalikuwa manenomanen?
 
Kampuni za kutengeneza pesa zinalipwa pesa. Mkate una thamani yake wenyewe bila kutegemea kitu cha nje "intrinsic value", Pesa haina intrinsic value.
Mkate una thamani bila hata amri ya serikali au makubaliano baina ya watu kwamba una thamani. Hii ni tofauti na pesa kwa sababu pesa thamani yake inatokana na amri ya serikali pamoja na makubaliano tu ya watu.
Hizo kampuni za kutengeneza fedha zinalipwa nini?
Coz kama mtengeneza mkate 20 ukimlipa mkate 2 hamna maana yoyote hapo
 
Kama ni hivyo mbona kuna stori za kuibwa kwa sanduku la pesa mpya huko JNA, Au yalikuwa manenomanen?
Ukiina pesa mpya Ujue hayo ni makalatasi tu
Rejea majibu yangu hapo juu
Hazitakuwa na namba.

Ndio maana Kuna wakati akitokea mjinga mmoja aliyengeneza noti hukamatwa mara Moja kwasababu hazitakuwa na security sign
Namba zinaweza kufanana n.k
 
Mkuu umeeleza vyema sana lakini vipi kuhusu uaminifu wa makampuni hayo?
Hayawezi kufanya janja janja ya kutengeneza pesa za ziada na kuziingiza kwenye mzunguko kiaina?!

Najua kuna namba za fedha na ugumu kidogo wa hili ila wanaaminiwa vipi? na kwa nini kusiwe na jinsi ya kutengeneza fedha zetu hapa?
Sheria na miongozo inawabana
 
Chonde naombeni nipewe kazi hata ya kuwachekesha mabosi uko jikoni kwa hela
 
Hi wana JF,

Nimekuwa nikisikia kuwa pesa ya nchi yoyote ile utengenezwa katika nchi ya Uswisi, lakini katika kujua huko nimekuwa nabaki na maswali mbalimbali juu ya hilo. Maswali hayo ni pamoja na;

(i) Je katika nchi hiyo ni kampuni binafsi au za serikali ndiyo zinahusika kutengeneza?
(ii) Je kampuni hizo zinafanya kazi hiyo kama msaada au ni ki biashara?
(iii) Kama ni ki biashara?, wao wanalipwa nini? pesa hiyo hiyo wanayotengeneza au kitu kingine? kwa maana kama ni pesa hiyo sioni kama wana fanya biashara, nitoe mfano mdogo, chukulia umpe mtu order ya kukutengenenezea mikate, na baada ya kukutengenezea umlipe kiasi fulani cha mikate hiyo, hapo si ni sawa sawa mikate hiyo kakupa bure? n.k

Kwa kutambua JF ni jukwaa lililojaa wataalamu katka nyanja mbalimbali natumaini nitapata majibu kulingana na duku duku hizo.

Nawasilisha.

HABAR KAKA NASHUKURU KWA SWALI ZURI KWAKIFUPI NIKWAMBA AKUNA KAMPUNI YALA NNCHI INAYO TENGENEZA PESA YA NNCHI NYINGINE MFANO nchi ya tanzania wao uagiza materio za kutengenezea pesa kutoka nchi nyingne mfano swzland wao utuuzia sisi karatasi tu au materio yakutengenezea pesa lakina tunawalipa kwa dollar 💵 kwasababu nibiashara iyo material ikisha fika kwetu bot wanakazi ya kuifanya iwe pesa kwa kupiga muul ule unaoitwa muuli wa moto so pesa ya razania inatengenezwa tanzania
 
Unaandika matangopori na conspiracy nyingi sana.
ukiwa unachapisha noti mpya unatakiwa uwe makini sana: maaana hapo unaweza rudisha uchumi wako mpaka 0, ukichapisha nyingi kuna kinaitwa inflation yaani pesa zmekua nyingi sana na kila mtu anaweza kuafford hapo ndo heshima ya pesa inashuka na wafanya biashara wanapandisha bei ya huduma zao mfano chakula: nchi pekee ambao wanaweza kuchapisha kiasi chochote wanachotaaka ni kwa trump peke yake kwa sababu uchumi wao uko stablized already but they are moving to digital cash instead of physical papers: they can print hata trilion moja na wakawapa nchi za afrika misaada and many more but yet pesa yao ikabaki an thaman kubwa pale pale: infact USA wana federal institution kwa ajili ya kuprint pesa: rumours has it that USA dollar is printed by different institutions at the same time:

ni nchi tatu tu kama sio nne hawatumii USA dollar kwenye money reserve zao including rumours za china and russia, but sisi wengine wote tunatumia USA dollar as global money exchange:
rejea inflation ya zimbabwe amabapo walichapisha pesa nyingi sana ikafika hatua unatoroli la pesa kwenda kununua mkate, lazima pesa iwe limited and less

2) ukitaka kuchapisha pesa haulipi chochote bali unakopa: ni terminology ndefu kidogo kuelezea ila kuna kitabu kinaitwa CREATURE FROM JEKYLAND kinaelezea vizuri zaidi jinsi pesa zilianza rasmi maaana sehem yenyewe zilipoanza panaitwa jekyland

3) kwa mfumo wa dunia ya sasahv pesa zilizopo kwenye papers ni 5% tu: pesa zingine zote zipo in digital form
 
Hayo makampuni yameanza zamani sana hiyo biashara ya kutengeneza pesa na yanashindana kupata tenda za kutengeneza pesa kutoka nchi mbalimbali hivyo lazima yawe makini sana kwa sababu hiyo ndio biashara yao, wakiharibu ni kukwakimbiza wateja wao.

Pia sio kwamba wanachapisha fedha tu, mengi pia yanachapisha passports, vitambulisho vya uraia, chequebooks na vitambulisho vingine vya makampuni makubwa duniani kwa nchi mbalimbali.
Mkuu umeeleza vyema sana lakini vipi kuhusu uaminifu wa makampuni hayo?
Hayawezi kufanya janja janja ya kutengeneza pesa za ziada na kuziingiza kwenye mzunguko kiaina?!

Najua kuna namba za fedha na ugumu kidogo wa hili ila wanaaminiwa vipi? na kwa nini kusiwe na jinsi ya kutengeneza fedha zetu hapa?
 
Ukiina pesa mpya Ujue hayo ni makalatasi tu
Rejea majibu yangu hapo juu
Hazitakuwa na namba.

Ndio maana Kuna wakati akitokea mjinga mmoja aliyengeneza noti hukamatwa mara Moja kwasababu hazitakuwa na security sign
Namba zinaweza kufanana n.k

Miongoni mwa sifa zinazozingatiwa Kwa kampuni ya kutengeneza noti ni security features, Sasa ukisema zinakua hazijakamilika zinapotoka kiwandani, unaleta ukakasi kidogo. BoT ni watumiaji wa bidhaa ikiwa imeshakamilika tayari kuingizwa sokoni.
 
hakuna nchi inayochapisha pesa yake dunian haipo ......even USA.....mtu anaetumia common sense hawez sema kuna nchi inachapisha pesa yake duniani..hela zote zinatengenenzwa uswiswi ....na pesa mpya zinatengenezwa kutokana na kukua kwa GDP kwa mwaka husika
 
Kama ni Ujerumani siwezi nikasuka dili na hiyo kampuni wanitengenazee kisiri halafu niziingize kwenye mzunguko?
 
hakuna nchi inayochapisha pesa yake dunian haipo ......even USA.....mtu anaetumia common sense hawez sema kuna nchi inachapisha pesa yake duniani..hela zote zinatengenenzwa uswiswi ....na pesa mpya zinatengenezwa kutokana na kukua kwa GDP kwa mwaka husika
Hizi hapa ni baadhi ya kampuni za uchapaji fedha na nchi zilizopo
1.De La Rue- Uingereza
2. Bureau of Engraving and Printing(BEP)-US
3.Banknote Printing and Minting Corporation (BPMC)- China
4.ABCorp-US
5.South African Bank Note Company (SABN)
6.Korea Minting, Security Printing and ID Card Operating Corporation
 
hakuna nchi inayochapisha pesa yake dunian haipo ......even USA.....mtu anaetumia common sense hawez sema kuna nchi inachapisha pesa yake duniani..hela zote zinatengenenzwa uswiswi ....na pesa mpya zinatengenezwa kutokana na kukua kwa GDP kwa mwaka husika
Sio kweli kwamba hela zote zinatengenezewa Uswisi.
 
izzo Kuna elimu anaificha kuito kuhusu kupandisha na kushusha thaman Sasa hapo kuna kitu nahisi anaogopa fumua mshono maana alisema in 2014 kuna kosa lilifanyika ngoja tusubirie inyeshe tuone panapovuja.
Ila naamini ukizama dack web unaweza pata fomula ya hizo karatasi ila shida inakuja utatumia garama kubwa Sana kuinunua alafu pesa utakayo itengeneza itakuwa bandia sababu haina namba ya utambulisho na ili kupata namba hizo kwenye mfumo itabidi upate hack wa kiwango Cha SGR waziingize kwenye mfomo kinyemela.
Sema tusiumize kichwa Sana nchi yetu bado ndogo tusiitese serekali kwa kuchapa note bandia
 
Back
Top Bottom