Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

Kule pakutengenezea Hela kwa msemo wa mleta uzi....
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
[HASHTAG]#Chikira[/HASHTAG] Mtabari Nijibu Pia Namna Ya Kuzipata Huko Uswiss Matongotongo Kabisa
 
Sasa dunia inana lalamika vipi kukosekana kwa fedha wakati ni kitu rahisi kukifanya, mfano hao Marekan ambao hutengeneza dollar, mbona wanalalamika kuporomoka kwa uchumi, hali ngumu.??????? Da! Ila nimejua kitu maaana tulikuwa tunaongopewa sana sisi na waliokuwa wanajifanya wajuaji
 
Nini madhara yakuficha mabilioni ya fedha ndani ambayo hayatumiki?
Hii mkuu itasababisha upungufu wa pesa kwenye mzunguko! Pesa kama bidhaa yoyote ikipungua sokoni thamani yake itapanda.. Kwa maana hiyo kutakuwa na bidhaa nyingi sokoni dhidi ya pesa kidogo.. Ni lazima wauze bidhaa zao kwa bei ya chini kuliko mwanzo kabla ya pesa hazijafichwa!
 
Sasa dunia inana lalamika vipi kukosekana kwa fedha wakati ni kitu rahisi kukifanya, mfano hao Marekan ambao hutengeneza dollar, mbona wanalalamika kuporomoka kwa uchumi, hali ngumu.??????? Da! Ila nimejua kitu maaana tulikuwa tunaongopewa sana sisi na waliokuwa wanajifanya wajuaji
It is well enough that people of the nation do not understand our banking and monetary system, for if they did, I believe there would be a revolution before tomorrow morning.
 
Creating value out of thin Air.
Hawawezi kuruhusu watu wajue hata siku moja. (Wanafahamu vizuri nini kitatokea)
Kuna baadhi ya wasomi wa historia wanasema Anglo-American War 1812-1814 ilisababishwa na Wamarekani kukataa mfumo wa Central Banking na wala siyo kuvamia Canada. Ukiangalia hata kilichotokea miaka ya Raisi Andrew Jackson utakuja gundua kuna mchezo mchafu unafanyika kwasababu ile kaamua kufunga The Bank Of America wakatumwa watu kutaka kumuua: Alisema haiwezekani mfumo wote wa uchumi wa nchi uwe mikononi mwa watu wa nje wanaotaka kutukamua.
Watu 6 tu ndio wametuletea matatizo ya kiuchumi na mifumo ya kifedha hakuna kitu kibaya sana ambacho dunia imekuja kukubali kama mifumo ya Central bank hili ni dubwana lililopandikizwa na watu hawa sita ambalo linaendelea kutafuna wananchi wa kawaida CB zipo kwa manufaa ya sheria,wanasiasa na serikali December 1910 Nelson Aldrich na wenzie sita
1 Paul Warburg
2 Frank Venderlip
3 Benjamin Strong
4 Henry Davidson
5 Charles Norton
6 Abe Andrews

Hawa jamaa ndio walikwenda kutunga taratibu na kanuni za mambo ya kifedha yanayotumika leo na kuharibu kabisa mfumo mzima wa Financial systems na monetary policy zinazoichezesha dunia na kuhadhibu nchi maskini hasa za kiafrica mpaka leo
 
Mkuu kuna kitabu kinaitwa God's Banker Kinazungumzia undani wa haya mambo na jinsi Vatican tangu kipindi cha Byzantine Empire wamehusika na kutengeneza mifumo ambayo inaharibu mzunguko wa pesa hapa duniani.
Mwandishi Gerald Posner kafanya utafiti kwa miaka 9 na kukitoa mwaka 2015, humo ndani utasikitika sanaaa!
Utakuja kugundua ni Syndicate ndogo sana inatusababashia matatizo nchi nyingi hasa za Afrika.
 
Dah mkuu we acha tu siku tukipata time tunaweza kuja kuwapa elimu wenzetu juu ya mifumo hii niliwai kusema zipo njia 6 za kuweza kupandisha uchumi ambazo wenzetu wanzitumia japo wanapata upinzani mkubwa sana wa hizi cryptocurrency kupitia mifumo ya blockchain technology
 
Kila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie Marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa Bureau of Engravin printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya Marekani kuna viwanda viwili ndani ya Marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake

Bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by Government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine

Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na halali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Saf sana mkuu kwa upembuz wako mzur..
Swali langu sasa, Je hizo karatas za kutengenezea pesa zinatokana na malighafi gani? Siyo hizi mbao ze2 za kawaida?
Na hawa watengenezaji wa fedha bandia wameshindwaje kugundua teknolojia ya kutengeneza karatas kama zile za fedha halali?
 
1 cotton fiber 80-99%
2 wood fiber 1-3%
3 titanium white 2-3.5%
4 polyamide epichlorohydrin 2-3.5%
5 aluminium chloride
6 melamine,formal dehyde resin , na animal grue

so unaweza kujiuliza kama material ya kutengeneza fedha yanajulikana why majangili wanatengeneza counterfeit money?? jibu ni kwamba unaweza kujua material ya kutengeneza kitu husijue formula ya utengenezaji sasa formula ya jinsi ya kuchanganya hizo kunaitaji natural resources ,critical moments in time and human engineer hv nyote ndo vinafanya tuweze kuyatumia haya makaratasi yenye thamani
 
Kila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie Marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa Bureau of Engravin printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya Marekani kuna viwanda viwili ndani ya Marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake

Bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by Government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine

Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na halali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Safi
 
Kila siku tunalalamika kuwa budget haitoshi si tuanzishe kiwanda cha kufyatua fedha na sisi..budget ikiyumba tunafyatua kadhaa kujazilia
Mkuu pamoja na US kuwa na viwanda viwili ndani ya US lakini hawawezi kufanya hvyo kwani ukifanya hvyo unakwenda kuzika thamani ya fedha yako kwani thamani ya fedha haipimwi kwa maitaji bali inapimwa kwa matumizi so kutotosha kwa Budget inaingia kwenye category ya mahitaji si matumizi, kwani mahitaji yanapokuwa makubwa automatically matumizi yanapungua kwani mahitaji yanaendana na kuadimika kwa kitu so US kama atafanya maamuzi ya kuchapisha tu fedha inamaana fedha yakeitatosa thamani ndio maana yuko radhi akakope China hili kumaintain thamani ya fedha yake

Note; China ndio nchi yenye kiwando kikubwa cha hifadhi ya dola za kimarekani Duniani
 
Back
Top Bottom