KERO Kampuni Ya Mabasi ABC upper class Mnakera Sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Usipokuwa makini kwenye biashara yako, wakukuangusha au kufanikiwa ni waajiriwa. Lazima uwe makini sana sana
Ndo maana wajanja uajiri wakenya au wageni kuliko mbongo akishapata hela ya bia na chupi kwake ni maisha tosha.
 
mkuu basi kuondoka muda tofauti na wa kwenye tiketi je,ni kwa mabasi yote ya kampuni au ni hilo moja tu.? je, na hiyo kuwa hivyo kila siku.?
na kuhusu Lipa namba kwanza sio lazima lipa namba iwe ni jina la kampuni hata jina lako binafsi linaweza kuwa Lipa namba na ukapokea malipo kwa niaba ya biashara au kampuni yako..kwahiyo hilo Lipa namba kuwa na jina la mtu inaweza kuwa mwenye hilo jina la lipa namba ndio boss mwenyewe mmiliki wa hayo mabasi au mwakilishi wake anapokea malipo kwa niaba ya boss mkuu sisi huku hatujui.
kuhusu basi kupata ajali ukiwa ni abiria mm sijawahi kusikia eti kampuni ya basi lililopata ajali linawalipa abiria wake ila mm najua ni basi lina bima ndio litalipwa..kwani abiria nao wanabima hadi walipwe kama kuna sheria inasema wahanga wa ajali walipwe ne,inatekelezwa tanzania hii.au ukisalimika kwenye ajali unamshukuru mungu maisha yanaendelea.!
 

1. Basi kuchelewa kuondoka ni kwa mabasi ya usiku, sijawahi kupanda ya asubuh, na nimetoa kero kwa mabasi ya usiku

2. Lipa namba ya manzese ni ABC upper class, Lipa namba ya mbezi magufuli na kariakoo ni majina ya watu tena tofauti, sasa uwezi kujua unaemlipa ni tapeli au ni kampuni, let's say unasafiri kwa SGR then unalipa Jina linatokea Asha Salum Je hautouliza? Au utalipa tu

3. Shabib ilipata Ajari Moro na Iliwalipa Abiria wake, I think wewe ndugu yangu unaishi kwa mazoea na sio kufata haki zako

Una swali lingine?
 
Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?

Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
Mie huwa sili njiani nikiwa safarini, ila napenda kupumzika wakati wa kusimama hotelini.

Mie huwa natapika sana.
 
Huenda kuna shida somewhere ni kweli hivi sasa huduma zao zimezorota sana sijui kuna mtu gani wamemuondoa kwenye position fulani
 
Mmh naona siku yako ilikuwa mbaya.
Mbona haina matatizo kiasi hicho?

Nimesafiri nayo sana..sema kuna siku Dereva alisinzia akatupeleka porini
Napenda sana madereva wanaosinzia safarini
 
Sijajua kwa siku hio ila Jamaa nasafiri nao Sana wako vizuri sana
 
Hivi huwezi kula crips na juice mpaka ufike safari yako ndio ukale uko unapokwenda?

Kwanza mimi kufanywa mjinga huwa sipendi, bei za hivyo vyakula ukiachanaa na usalama wa tumbo haviendani, siwezi kununuwa chakula kwa watu wanaokufanya wewe fala.
Ndg kutwa nzima uko kwenye bus ule biscuits? Let's say inatoka saa 8 mchana, unakuja kufika saa 4 asubuhi.
 
Iringa kuna ndege (Air Tanzania, Precision na Flighlink)
 
Ndg kutwa nzima uko kwenye bus ule biscuits? Let's say inatoka saa 8 mchana, unakuja kufika saa 4 asubuhi.
Nilishaacha kula njiani siku nyingi, nakula snacks tu juice na maji.

Wewe endelea na ulafi tu ipo siku utanikumbuka.

Route ya Dar Sumbawanga ni ndefu lakini mimi nacheza na snacks tu biscuit maji na korosho basi.

Cha kwanza usalama wa tumbo, cha pili napinga vikali kulanguliwa chakula njiani ambacho unaweza kuishia kuaibishwa kwa chakula hichohicho cha kulanguliwa tumbo likianza vitu vyake.

Hata nikisafiri na familia kwa ajili ya watoto chakula kinaandaliwa nyumbani kuku wa kienyeji anakaangwa na viazi vya kukaanga, yale mafuta wanayokaangia chips uko njiani ogopa sana kuna siku utaikumbuka hii post.

NB: Hata mabasi ya kisasa yenye vyoo, vile vyoo havijawekwa kwa ajili ya kunyakunya hovyo mpaka choo chote kinajaa harufu, vile ni vyoo kwa ajili ya kukojowa na hata kama haja kubwa basi iwe dharura tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…