Sa hizi ipo shabibyRoute ya Dar Sumbawanga inahitaji muwekezaji wa kisasa aingize luxury za kisasa, New force wamejisahau, hata Usb kwenye viti ni shida.
Wakifika Tunduma wanapanga vindoo vya plastic vya lita kumi wanapakia watu wanakaa kwenye vindoo ni uswahili mtupu na abiria wapo kimya, nilishawachomesha kwa traffic siku moja gari ikapigwa fine.
Shabiby amepeleka luxury? Maana kule Saibaba linatembea mpaka siku mbili kwenda Sumbawanga ni shida tupu.Sa hizi ipo shabiby
Hii mifumo ni nyinyi wenyew abiria mmeitengeneza sasa kazi kwenu kuibomoaNaenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Anaenda mswaki balaa soon atachomoa huko kama tangaSa hizi ipo shabiby
LilijaaRoute ya iringa ya usiku wanasema basi linaondoka saa 4, but linatoka manzese saa sita kasoro
Just fikilia mtu umefika stendi since saa mbili
Bas zao mbona zina choo ndaniWana mambo ya hovyo, wajinga wanawapeleka masaa kibao bila kuchimba dawa yaani hawajui utamu wa safari ni kuchimba dawa
Ile kipindi abiria kumi tu chuma inatoka kituoni hakuna kampuni itafanya huu ujingaSijui kama kama ipo kampuni itakuja kuwa na huduma nzuri kama au inayokaribiana na Scandinavia Bus sijui..
Wale walikua professional kwenye usafirishaji kauli nzuri kwa abiria,kutokupoteza mizigo au wizi wowote ndani ya bus walijitahidi kudhibiti sana wizi na kupunguza ajali kwa kwenda mwendo wa kawaida na kujali muda..Ile kipindi abiria kumi tu chuma inatoka kituoni hakuna kampuni itafanya huu ujinga
Izi pigo alikua nazo dar exp sasa hivi chali
Lakini siku hizi kampuni zilizo makini tiketi zao zinakwisha mapema sana kabla mabasi mengine hayajaanza kupata abiria. Mfano ndio hao kina Shabiby, Al Saedy ya Iringa nkIle kipindi abiria kumi tu chuma inatoka kituoni hakuna kampuni itafanya huu ujinga
Izi pigo alikua nazo dar exp sasa hivi chali
Kila nikiwaza kona za Iyovi na kitonga bora niaache ka vitz kangu home nipande Bus japo kero ndo nyingiNinayo, sipendi kuendesha gari usiku then kesho yake unafanya kazi, na njia ya dar to iringa unajua balaa lake
Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kampuni hii ya usafirishaji ina mambo ya kuudhi sana
Kwanza simu zao hawapokei, unaweza kupiga simu 1hr zinaita mara busy mara zinaita mara busy
Pili muda wao wa safari ni changamoto sana, mfano kama unaenda Iringa usiku wanasema basi linaondoka saa 4 kamili, jambo la kushangaza basi linatoka pale saa sita kasoro
Mkifika Morogoro pale hotelin wanawaacha 45mn wanaenda kuweka mafuta
Mpaka mnafika Iringa saa tatu asubuh
For sure mnakera sana mjirekebishe
Lipa namba za vituo vingi ni majina ya watu na sio Jina la kampuni
Wanakera sana
Ndugu kupanda basi siyo dalili za Umaskini. Ungemshauri labda achukue flight sehemu ambazo kuna huduma hiyo na ni mbali.Tafuta ela nunua private vehicle hutajuta
Naogopa mzee mwenzangu, ila unataka kusema hata Ally Star au Zuberi Coach ama Manning Nice yana choo ndani?Mbona mabasi mengi siku hizi yana vyoo ndani,au mzee huogopi fisi huko maporini...?
Pole sana kiongozi
Nikuulize tu, hizo changamoto umezipata mara ngapi ukiwa safarini kwenye hayo mabasi ?
Nimeuliza hivyo kwa sababu, huu utandawazi unafanya watu wakuze sana mambo hata kwa changamoto aliyo ipitia siku moja tu.
NI VIZURI TUWE WAANGALIFU KABLA YAKUCHAFUA BIASHARA ZA WATU HUKU KWENYE MITANDAO!
wabongo tuna shida sana kwenye biashara za watu..mtoa mada ABC ni kampuni yenye mabasi mengi na madereva wengi pia..mfano kampuni ina mabasi 10 au madereva tofauti..na kampuni ABC ni jina tu kibiashara lakini wafanyakazi wanaajiriwa kila siku wenye tabia tofauti..hivyo sio poa kuhukumu kampuni nzima au mabasi yote na madereva wote sababu tu ya uzembe na ego binafsi ya wafanyakazi wachache..kwa ishu ya mleta mada huo ujinga uliokutana nao kwenye basi moja au mfanyakazi mmoja ofisini udai kampuni yote haifai kisa ulisumbuliwa na wafanyakazi wawili watatu wasiojielewa wakakupa huduma mbovu kisha uje uituhumu kampuni nzima au wafanyakazi woote haiwezi kuwa sahihi.!