Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Hee umenikumbusha huyu mtu, hawa ndio wananifanya niogope hii biashara, mtu alikua anauza balaa lakini kasanda
Ni biashara ngumu sana mkuu. Na inakutaka uwe na roho ngumu. Kwanza ugonjwa wa sukari na presha ndo maradhi yao. Unapata usinhizi ukisikia chuma imeshapark. Vinginevyo acha tu. Mimi simshauri mtu boashara ya mabasi. Afanye hata kilimo akiweza. Kwanza pesa nyingi nayo inabaki kwa masalanhe, agents etc. Bado wavaa uniform.

Kuna siku tuko segera tumefika kabla ya muda. LATRA walikuwepo na wengineo. Tumepigwa mkono na traffic tuweke chombo pembeni. Huwezi amini konda alimuamrisha dereva kulia kwako endelea halaf konda akashout huku chuma inang'oa kwamba atapigiwa na boss. U see? Na hata wale.wenhineo esther, marangi, extra na dar ex press na kidia waliondoka japo sisi hatukukaa sana pale.
 
Hapo sawa. Ila hii biashara ina wenyewe aisee. Abood mwezi huu kanunua basi kati ya 10, halafu kama sio mwaka huu mwanzoni basi mwaka jana mwishoni kabisa alishusha basi kama 15+ pale ubungo.
Biashara ya basi haina mwenyewe na ni biashara ngumu sana kwa sheria na mazingira ya hapa kwetu.
Abood ana survive sababu yeye ni mwanasiasa
 
Chuma ya kazi ipo njiani, weka maneno pembeni watu wa route ya mbeya tunaijua vizuri hii, chuma ya kazi
 
Attachments

  • 20230829_071044.jpg
    20230829_071044.jpg
    509.8 KB · Views: 5
Ukininunua Bus leo anaeanza kula hela ya hiyo bus ni ma agent na wapiga debe stand kabla yako tajiri, huko njian kila kituo kina agent na anataka kula kupitia gari yako, siku gar ikiharibika mzigo unabaki nao tajiri peke yako

Kuna muda gar inaondoka asubuhi tupu alaf njian inajaza abiria we tajiri usitegemee utapata hizo hela watu wanatengeneza maisha kupitia gari zako huku wewe unaingia kwenye madeni.
Biashara ya bus ni ngumu bora truck
 
Biashara ngumu sana hii utaishia kutajirisha watu.
Wengi wanafanya biashara hii ni Mafisadi wapigaji wa Kodi zetu pa kupeleka pesa hawana wanakimbilia mabus,wapiga madili pesa zao hazina uchungu, matajiri wa madini pesa zao hazina uchungu wakifumua mawe, washirkina wazee wa makafara wazee wa ndagu ili iwe rahisi kupata kafara gari ikipiga chini.
Hivi hivi hio biashara Haina faida
 
Back
Top Bottom