bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Kila Kanda inawababe wake Kaskazini mabus ya wachaga nyanda ya juu kusini watu wa Mbeya na Iringa Kanda ya ziwa kama wewe sio msukuma utawajua kina zuberi kusini kama wewe sio machinga sahau.New Force alikuwa na mabasi Dar-Kahama miaka ya nyuma zilikaa kidogo akaziondoa na ishu iliyomwangusha ni ma-agent
Hii biashara ina utawala wa kikanda ujue ikitegemea agents uliowapata
Ni sawa na kuuliza mbona Ally's Star ana mabasi mengi kanda ya ziwa lakini hana route za Mbeya, Iringa, au Songea
Hii biashara ina vipengele vyake usione kwanini Abood amekomaa na Moro au Shabiby na Dodoma agents wanahusika sana
Mchaga akipeleka gari Mbeya halimalizi mwezi.
Hakuna mtu wa Mbeya anapeleka gari Moshi au Arusha