Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Sauli zinaadimika barabarani shida nini?

Mbona Kama unaongea kiushabiki au chuki sisi tunakuamini vp Kama katarama kanunua scania ya sauli mbona hatuoni plate number ya DXE, lete ushahidi
Subiri muda utasema hiyo ni Gemilang ya Sauli inapigwa graphics za Katarama
 
Mkuu ungeweka na running cost ya hizo gari kwa mwaka ingelikuwa ni bora sana. Unaweza kuta scania anatumia kiasi kidogo sana kwenye matengenezo kwa mwaka kuliko mchina. Ila mchina kuwa road for 7 years haiwezekani labda awe branded na scania kwa baadhi ya vipuri
COLOR STAR inapiga dar-tabora, mwaka wa tisa huu kama siyo wa kumi!

Kimbinyiko ipo inazaidi ya miaka kumi barabarani hakuna hata stika tu ya scania achilia mbali kipuli!!
 
Biashara ilikua nzuri sana akawa na Bus 7 ila 3 kati ya hizo zikachukuliwa na Scania ( zilikua ni za mkopo) na 4 zilizobaki 2 tu ndio zinatembea na 2 nyingine ni mbovu zimepaki mbeya takribani miezi 2+ sasa

Ila Daily yupo road kwa bus mbili zinapishana Mbeya Dar Mbeya
Atakuwa alikuwa hapeleki marejesho
 
Leo 25. 10. 2023 tumeingia mbeya na Sauli 4:58 pm ikitokea DSM. Nyuma yake ikaingia Kimbinyiko
 
True ila biashara ya mabasi ni kichaa. Usitake kuniambia hayo makampuni yote yalikua hayajui nini cha kufanya au wote walikua na management mbovu.
Chief management ya wabongo itakupasua kichwa hata kama umejipanga vipi! Wabongo tulio wengi hatuna work ethics kabisa.

Wabongo wakikutana kwenye management moja wanaanza kupanga jinsi gani watakuibia kabla hata kampuni haijaanza kazi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Chief management ya wabongo itakupasua kichwa hata kama umejipanga vipi! Wabongo tulio wengi hatuna work ethics kabisa.

Wabongo wakikutana kwenye management moja wanaanza kupanga jinsi gani watakuibia kabla hata kampuni haijaanza kazi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app

There's some truth to that. Ila sio makampuni yote yalikua na management ya wabongo, Scandinavia na Sumry yalikua ya hao jamaa na bado walisanda. Hii biashara ni pasua kichwa sana asikwambie mtu.
 
20231205_173523.jpg


T 300 DRH imejichokea kabisa mamaé
 
Abood nimeana kumuona enzi za mzee ruksa katikati ys miaka ya 80,kwa ufupi ameshindikana
Abood gari ikikaa miaka 2 anauza ,huyu atakaa sana maana ni kama yard ya kuuza magari ndio maana hagusi scania ,marcopolo anaagiza mchina ni affordable
 
Back
Top Bottom