HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,318
- 103,580
Watu wa Mbeya hawataki luxury, wao ni mwendo tuIle route wamwachie Mchina wa New Force, Shabiby mwenyewe aligusa akatema bungo
Watu wa Mbeya hawataki luxury, wao ni mwendo tuIle route wamwachie Mchina wa New Force, Shabiby mwenyewe aligusa akatema bungo
Kwamba yeye na wewe anayejua nani?Unakuta route moja nauli ileile iwe ni basi la Mchina (milioni 400) au Msweden (milioni 800).
Hapo mwenye basi la Msweden lazima awe amejitia kidole
Ndo juzi kaizungusha gari mara bila kuzima dar mwanza dar mwanza darMkuu unasemaje kuhusu Katarama naye anasumbua route ya Mwanza kwa sasa na Scania zake.
Kwamba wanaonunua hizo Scania hawajui hilo, ila wewe walijuaGari Zina warrant ya mwaka mmoja.
Life span ni miaka 3 in good condition zinaenda hadi miaka 7 hadi 10.
Faida zinarudi mapema kwa wingi wa mabus uliyonunua.
Mfano Scania moja unapata Mchina mbili moja ya mkopo so jumla siti 180 kwa siku.
Nauli ya elf 50 kwa mfano.
So scania anatoa gari moja anapata milion 3, mchina anatoa gari tatu kauza siti 180 kaingiza milion 9 kwa mwezi scania milion 90 Mchina milioni 270 toa gharama za uendeshaji ndani ya miezi 6 pesa imerudi kwa Mchina unakamata zingine sita.
Scania kurejesha milion 700 itahitaji miezi mingapi.
Kilimanjaro bado ana Marcopolo namba A ila hakuna Mchina Namba AMkuu ungeweka na running cost ya hizo gari kwa mwaka ingelikuwa ni bora sana. Unaweza kuta scania anatumia kiasi kidogo sana kwenye matengenezo kwa mwaka kuliko mchina. Ila mchina kuwa road for 7 years haiwezekani labda awe branded na scania kwa baadhi ya vipuri
Wangekuwa wanajua wasingenunuaKwamba wanaonunua hizo Scania hawajui hilo, ila wewe walijua
Si kila mtu huangalia ROI, wengine huangalia mudaWenzako wanaangalia Return On Investment (ROI)
Wewe ni Pro ChinaWabongo wakishasikia basi ni SCANIA wao wanachojua ni sifa za kijinga ile tupa geuka.
Utawasikia wapambe SCANIA inaweza ikapiga kazi hata siku tatu bila kuzima engine mwisho wa siku inawacost
Wiki ikiyopita Katarama na G7 zake akasikiliza maneno hayohayo ya wapambe akapiga tupa geuka kilichomkuta sasa hivi T 835 EBR imeanza mitago
Dar-Mwanza sio poa. Gari inahitaji service
Kufunga ndoa na gari ni mambo ya kizamani abiria wanaangalia matoleo biashara hii Ina ushindani mkubwa kuliko biashara zote.Kilimanjaro bado ana Marcopolo namba A ila hakuna Mchina Namba A
Watu wanaweka base kule wanapoishiNew Force alikuwa na mabasi Dar-Kahama miaka ya nyuma zilikaa kidogo akaziondoa na ishu iliyomwangusha ni ma-agent
Hii biashara ina utawala wa kikanda ujue ikitegemea agents uliowapata
Ni sawa na kuuliza mbona Ally's Star ana mabasi mengi kanda ya ziwa lakini hana route za Mbeya, Iringa, au Songea
Hii biashara ina vipengele vyake usione kwanini Abood amekomaa na Moro au Shabiby na Dodoma agents wanahusika sana
Hapo kageuza kasema kinyume.Hii point yako sio sahihi scania zikose booster halafu mchina awe awe nazo?
Scania standard zao ni za viwango sana. At least kwenye uzito mzani naweza kukuelewa.
View attachment 2764966
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
Katarama atamfuata soonHuyu ABOOD apewe maua yake mzoefu sana.
Akina Sauli wanakimbilia kukopa SCANIA pale SAAB SCANIA ambapo faida inachelewa
Wakongwe akina ABOOD wameusoma mchezo wameachana na Msweden ni mwendo wa Mchina YUTONG
Juzi kashusha kifurushi cha YUTONG F12+upgrade vyuma viko dozen net (mabasi 12), E series
View attachment 2765251
Jinsi Abood, Shabiby, BM, Tilisho, Happy Nation, Ally's, New Force, Kimbinyiko, ABC walivyo na vyuma vingi barabarani wanaweza kukufanya uhisi hii biashara rahisi sana lakini kwa ground mambo si kama tunavyohisi
Waambie mkuu. Form is temporary, classy is permanent. Mpaka nimemkumbuka ferguson hahah. Yaan nina pesa yangu nikanunua michina? Sawa wanangalia marejwsho ya harakaharaka lakini kwa sisi wa long term plans hapana. Sisi tunataka kitu cha uhakika. Bila shaka wanaiona tupa geuka ya katarama. Vivyo hivyo sauli. Watupe namba A ya mchina hapa. Sisi tuko na low budget katika service. Tunayapenda masufuria. Yaani hapa ninataka niongee na mzee turudishe kampuni tununue scania za kutosha hasa tanker nisomamie mwenyewe maana makaka zangu wamefeli. Biashara ya basi ni biashara kichaa. Na wajue pia sawaya hategemei mabasi ana malori kibao na biashara Inginezo. Kwanza mchina hiyo temperature yake hatari sana. Ukitoka hapo miaka miwili ukapindwe mgongo wakutoe maji ya mgongo. Hivi wamesharekwbisha hili jambo?Kilimanjaro bado ana Marcopolo namba A ila hakuna Mchina Namba A
Yes. YesSi kila mtu huangalia ROI, wengine huangalia muda
Katarama na sauli na kilimanjaro hawajazagi eh?Kufunga ndoa na gari ni mambo ya kizamani abiria wanaangalia matoleo biashara hii Ina ushindani mkubwa kuliko biashara zote.
Mchina atajaza fasta stand we hadi usubirie Mchina aondoke ndio utajaza au upate abiria ndio mara Yao ya kwanza kusafiri
Hapo kwenye booster hahahahahhahHapo kageuza kasema kinyume.
Kwa ufupi aheshimiwe anayetumia scania brand new
Sijajua kwa kigamboni
Nimeupenda huu ubunifu, hadi chanika kuna magari ya mikoani. Vipi hakuna yanayoanzia kigamboni?