Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Hope serikali ya JPM itaonesha uimara wake, kodi kamili ilipwe
 
Kumbe ww layman..!! Humu wengi bado giza sana
Hakuna makubaliano ya kuuza shirika la UMMA na mtu binafsi bila kufuata taratibu za umma.. na hakukuwa na haja za jiji kuuza hizo 51% shares.. ni ufisadi.. unaelewa..?

1: CHC haijui uuzwaji wa UDA

2: PPRA laws zimekiukwa hazikufuatwa ktk uuzwaji wa UDA..

3: UDA imeuzwa kihuni na kujipangia tu 5.8 bil sawa na hisa 51% za JIJI.. nani kasema hizo 51% ni sawa na 5.8 bil.. kwa mali zote za UDA..? HUU NI WIZI..!!

4: HAKUNA sbb za kuuza UDA hisa za jiji kwa Kisena, hakuna sbb.. ndio maana wananchi + UKAWA wanalilia 51% yote irudishwe JIJI haraka, sbb ni ufisadi mkubwa na Kisena apewe hela zake 5.8 bil, ziko ktk account tu..!!

Ww it seems hujui kitu kuhusu mali ya UMMA.. umelala kichwa kibuyu..

UDA 51% zirudi jiji, hiki ndio kilio cha wananchi
Haitakua tena hiyo 5.8 bila, atadai mariba na fidia nyingine kibao, inaweza fika hata 8 bil.
 
Mmmmm kuna vitu watu hatujui kuhusu wamiliki......wajua CELTEL alikuwa MONTH Ibrahim yule bilionea wa Africa? ZAIN ni familia ya mfalme wa UAE.....wakamuuzia muhindi tajiri wa India anaitwa Bhati.....wala hawana uhusiano na pia sio Tanzania pekee wana operation nchi 20 Africa wakiuza wanauza zoote kwa mpigo kila nchi ina sera tofauti kwenye kodi sio Tanzania pekeee!! ......biashar ya simu hapa tanzania imekuwa ngumu sana ushindani uko kwenye bei....ambapo ni hatari sanaa!! Wanashindwa kujiendesha!!!!
Hawa jamaa ni wajanja hasa katika KUKWEPA KODI!
Walianza na
ZAIN wakajiuzia WAO wakijiita
CELTEL, Wakajizia tena wakaiita
AIRTEL.
Sasa WANATAKA WAJIUZIE tena kama jamii????????????????????
Mchezo wao TUNAUJUA sana.
WALIPE KODI kwanza.
Wahindi ndo mchezo wao wa Business MANIPULATION.
Bila kuchangamka watakuwa wamezepa na hela yetu.
 
Kwanini wanaondoka ?

Aondoke aende wapi?? Ule muwa kuanzia juu ufikishe robo useme ati huli tena hauna sukari??? Hawa jamaa weshazoea kubadili jina ili wao waoperti kwenye Tax holiday time. Akiona anaanza kufikia mwisho wa holiday ana badili jina tu mkuu. Ila kwa sasa, sijui kama JPM atamruhusu. Aeleze namna anavyopata hasara. Je, kampuni hiyo nayo inasumbuliwa na jua kali?? Kwamba, kwa sababu ya jua kali (Ukame) sauti huenda taratibu mno?? Aache ujuha, alipe kodi yetu andelee ka wenzake. Sivyo, JPM tafadhali, watoze kodi zoote tNGU Kmpuni iingie Tz kwani wao hawapatagi faida mkuu.
 
Nimejikuta nacheka sana !
 
Celtel - Zain - Airtel - what next _______?? Farutel or ..?

Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..
Jhontel[emoji13] [emoji13]
 
Hizo ni mbwembwe tu hawazi kuondoka. Hapa tutegemee kuja na new name. Zaman ilikuwa inaitwaje?
Celtel, zain, airtel,...........
Nawale Tritel, sindiyo igajigeuza Celtel, zain, airtel au nimesahau wandugu?
 
Shida ya Magabachori wanajua kuandika vitabu vya Business na Management lakini sio application. Wameshaua mashirika na makampuni mengi tu. Wahindi hawafai katika kusimamia biashara na uzalishaji. Kwamfano Kiwanda cha Mgololo, TANWAT Njombe na TRL ni mifano hai. Sijui kwanini watu wanaendelea kuwaamini.
 
hebu nieleweshe hiyo collection of many firms what if hizo firms haziproduce product moja hapo tutasema kuna industry??
We unaishi wapi mkuu. Hivi umesoma hapo hata chekechea? Au ni elimu kama ya lema, sugu au mbowe ambao nje ya siasa hawaajiriki
 
Wamefulia haoo wacha waende zao wacje kubadilisha jina harafu wakasema wameondoka maana ndoo walivyo wakidaiwa kodi tu wanabadilisha jina
 
Kumbe ww layman..!! Humu wengi bado giza sana
Hakuna makubaliano ya kuuza shirika la UMMA na mtu binafsi bila kufuata taratibu za umma.. na hakukuwa na haja za jiji kuuza hizo 51% shares.. ni ufisadi.. unaelewa..?

1: CHC haijui uuzwaji wa UDA

2: PPRA laws zimekiukwa hazikufuatwa ktk uuzwaji wa UDA..

3: UDA imeuzwa kihuni na kujipangia tu 5.8 bil sawa na hisa 51% za JIJI.. nani kasema hizo 51% ni sawa na 5.8 bil.. kwa mali zote za UDA..? HUU NI WIZI..!!

4: HAKUNA sbb za kuuza UDA hisa za jiji kwa Kisena, hakuna sbb.. ndio maana wananchi + UKAWA wanalilia 51% yote irudishwe JIJI haraka, sbb ni ufisadi mkubwa na Kisena apewe hela zake 5.8 bil, ziko ktk account tu..!!

Ww it seems hujui kitu kuhusu mali ya UMMA.. umelala kichwa kibuyu..

UDA 51% zirudi jiji, hiki ndio kilio cha wananchi
Mm siyo layman nakufahamisha kilichopo ambacho ni halali.
Kumbe ww layman..!! Humu wengi bado giza sana
Hakuna makubaliano ya kuuza shirika la UMMA na mtu binafsi bila kufuata taratibu za umma.. na hakukuwa na haja za jiji kuuza hizo 51% shares.. ni ufisadi.. unaelewa..?

1: CHC haijui uuzwaji wa UDA

2: PPRA laws zimekiukwa hazikufuatwa ktk uuzwaji wa UDA..

3: UDA imeuzwa kihuni na kujipangia tu 5.8 bil sawa na hisa 51% za JIJI.. nani kasema hizo 51% ni sawa na 5.8 bil.. kwa mali zote za UDA..? HUU NI WIZI..!!

4: HAKUNA sbb za kuuza UDA hisa za jiji kwa Kisena, hakuna sbb.. ndio maana wananchi + UKAWA wanalilia 51% yote irudishwe JIJI haraka, sbb ni ufisadi mkubwa na Kisena apewe hela zake 5.8 bil, ziko ktk account tu..!!

Ww it seems hujui kitu kuhusu mali ya UMMA.. umelala kichwa kibuyu..

UDA 51% zirudi jiji, hiki ndio kilio cha wananchi
Mm siyo layman nakufahamisha kilichopo ambacho ni halali.
 
Mmmmm kuna vitu watu hatujui kuhusu wamiliki......wajua CELTEL alikuwa MONTH Ibrahim yule bilionea wa Africa? ZAIN ni familia ya mfalme wa UAE.....wakamuuzia muhindi tajiri wa India anaitwa Bhati.....wala hawana uhusiano na pia sio Tanzania pekee wana operation nchi 20 Africa wakiuza wanauza zoote kwa mpigo kila nchi ina sera tofauti kwenye kodi sio Tanzania pekeee!! ......biashar ya simu hapa tanzania imekuwa ngumu sana ushindani uko kwenye bei....ambapo ni hatari sanaa!! Wanashindwa kujiendesha!!!!
Sawa mkuu. Ahsante.
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika, Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana

Chanzo - Mwananchi

=======
Kutoka vyanzo vingine:
=========

Bharti Airtel, the mother company of Airtel Ghana, has announced that it will be exiting 14 African countries including Ghana within a year.

The affected countries include Ghana, Nigeria, Congo, Chad, Gabon, Kenya, Madagascar, Malawi, Niger, Rwanda, Seychelles, Tanzania, Uganda and Zambia.

Source: Airtel to exit Ghana this year

=========

Airtel Considering Exits, Stake Sales at Some Africa Operations

Bharti Airtel Ltd., India’s largest mobile-phone operator, is considering mergers or stake sales at some of its Africa operations as it looks to cut debt and make its biggest overseas acquisition profitable.

The moves would pare the size of operations in the continent and could be completed within a year, Chairman Sunil Bharti Mittal said in an interview with BloombergQuint at the World Economic Forum in Davos. Some of Bharti’s businesses in 15 African nations would be affected, he said.

Faced with an escalating price war in its home market, Bharti is looking for ways to pare net debt equivalent to about $12 billion as of September. The company has sold its Sierra Leone and Burkina Faso operations, as well as some of its tower businesses, as it reorganizes assets it bought in 2010 in a $9 billion deal with Kuwait’s largest mobile-phone operator.

Bharti’s African unit lost $91 million in the quarter ended September, compared with a $170 million loss in the previous year.

As part of the debt reduction, Bharti is also considering selling a stake in Bharti Infratel Ltd., its tower unit. A committee was studying whether the sale would be a minority stake or control of the tower unit and a decision could be taken in a month, Mittal said. In October, Bharti said in a stock exchange filing that it had formed a committee to evaluate options for its 73.5 percent stake in Bharti Infratel.

Mittal’s moves come partly in response to the entry of India’s richest man Mukesh Ambani into India’s wireless telecommunications market last year. Ambani stormed into what was already one of the most brutally competitive telecom markets in the world with an offer of free voice services, forever, and free data services for limited time.

Ambani’s Jio mobile-phone service will probably force the exit of the smaller players in a market with almost a dozen operators, Mittal said in the interview. Among them is Telenor ASA, the Nordic region’s largest phone company. Bharti was among those in discussions to buy Telenor’s India business, Mittal said.

Bharti, which will announce its earnings for the quarter ended December on Jan. 24, may have been hit by India’s currency ban, Mittal said. The Nov. 8 late evening announcement by Prime Minister Narendra Modi that canceled 15.4 trillion rupees of the 17.7 trillion rupees in circulation may have an 8 percent to 10 percent impact on revenue. About 94 percent of Bharti’s India customers use prepaid phone connections and were unable to recharge their phones in the ensuing cash shortages that plagued the nation.
too bad kwa nchi ya viwanda vya mdomo
 
Awaondoki bali wanauza hisa zao kuziba mtikisiko wa soko la kwao... ni nafasi kwa watz kununua hisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom