Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Kwa maelezo hapo juu wala hatupaswi kulinganisha au kuambatanisha na hali ya uchumi tz mana wanaondoka nchi zote za east africa bye bye by Airtel kwan hata line zenu zijawahi tumia !
 
Bora iondoke...mie sijawahi kutumia line wala huduma yeyote ya airtel...sitaona pengo lao labda kwenye kodi zao
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
Nyumbu bana mna kazi CCM inakujaje hapa,kwani kote huko ambako Airtel wanadai watafunga biashara zao kuna CCM?kelele nyingi uwezo wa kufikiri zero
 
Kumbe ww layman..!! Humu wengi bado giza sana
Hakuna makubaliano ya kuuza shirika la UMMA na mtu binafsi bila kufuata taratibu za umma.. na hakukuwa na haja za jiji kuuza hizo 51% shares.. ni ufisadi.. unaelewa..?

1: CHC haijui uuzwaji wa UDA

2: PPRA laws zimekiukwa hazikufuatwa ktk uuzwaji wa UDA..

3: UDA imeuzwa kihuni na kujipangia tu 5.8 bil sawa na hisa 51% za JIJI.. nani kasema hizo 51% ni sawa na 5.8 bil.. kwa mali zote za UDA..? HUU NI WIZI..!!

4: HAKUNA sbb za kuuza UDA hisa za jiji kwa Kisena, hakuna sbb.. ndio maana wananchi + UKAWA wanalilia 51% yote irudishwe JIJI haraka, sbb ni ufisadi mkubwa na Kisena apewe hela zake 5.8 bil, ziko ktk account tu..!!

Ww it seems hujui kitu kuhusu mali ya UMMA.. umelala kichwa kibuyu..

UDA 51% zirudi jiji, hiki ndio kilio cha wananchi
Wakati mwingine wapinzani wanaongea kama wamerogwa raisi anajua fika Robert Kisena ni msanii ila amejaribu kufanya tathmini faida na hasara ya kujiingiza kwenye mgogoro wa kibiashara serikali inahisa zake 49% ukiangalia mauzo ya 5.8 billion plus na yale madeni ya UDA yalikuwa equity na Nmb bank ni reasonable deal kila mtu anajua hali ya UDA ilivyokuwa mbaya kabla haijanunuliwa na Robert binafsi naipongeza serikali kwa uamuzi uliosahihi hatuwezi kupinga kila jambo kisa upinzani sometimes we need to be reasonable sio kukurupuka tu na hoja ambazo hazina kichwa wala mguu.
 
Nyumbu bana mna kazi CCM inakujaje hapa,kwani kote huko ambako Airtel wanadai watafunga biashara zao kuna CCM?kelele nyingi uwezo wa kufikiri zero
Kwa sabb ww ni bata mzinga huelewi nchi inaendaje.
Meshamaliza uhakiki? Mwaka huu mtajipendekeza sana mpewe vyeo lkn bila bila. Mtacheza mpaka uchi lkn bila bila.
Mnakazi kubwa sana. Yote ni uhoro wa madaraka. Mtatea sana na kukata viuno lkn mtaishia kufagia uwanja wa Lumumba km Lizaboni.
 
Wakati mwingine wapinzani wanaongea kama wamerogwa raisi anajua fika Robert Kisena ni msanii ila amejaribu kufanya tathmini faida na hasara ya kujiingiza kwenye mgogoro wa kibiashara serikali inahisa zake 49% ukiangalia mauzo ya 5.8 billion plus na yale madeni ya UDA yalikuwa equity na Nmb bank ni reasonable deal kila mtu anajua hali ya UDA ilivyokuwa mbaya kabla haijanunuliwa na Robert binafsi naipongeza serikali kwa uamuzi uliosahihi hatuwezi kupinga kila jambo kisa upinzani sometimes we need to be reasonable sio kukurupuka tu na hoja ambazo hazina kichwa wala mguu.
Hili ndio andishi bovu kabisa kuwahi kuandikwa kwenye jukwaa hili katika kipindi cha miaka mitano iliyopita .

Ufisadi wa Kishamba sana wa UDA hakuna namna yoyote ya kuukubali na kuufunika , kama hujui kitu jikalie kimya tu ulale usingizi .
 
Haikwepi ila mfano kampuni mpya inapewa tax holiday (corporate tax)....ile faida ya mwaka huwa hawalipi.....wanacholipa ni kodi zingine kutoka kwenye matumizi kawaida au mishahara na kodi za TCRA na leseni zake......lakini ile 30% ya faida ya mwaka huwa hawalipi kwa 5yrs kwanza......akifika mwaka 4 anauza.....anaekuja nae anapiga tena 5...akifika mwaka 4 anaweza kujiuzia kiujanja ujanja mchezo ukawa ndio hivyo!!! Pia kuna kodi ya kuuuziana inait capital gain huwa hawalipi wakiuziana! Lengo kuvutia wawekezaji......
ni

ni kwa jinsi gani kampuni ikibdili jina inapelekea kukwepa kodi?? naomba kufahamu tafadhali
 
Haiwezekani miaka yote hiyo waendelee kufanya kazi kihasara, eti sasa ndo wanagundua. Waondoke tu hawana nia nje kwa bara letu la Afrika.
 
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri,, kampuni za sim wanapata faida kubwa lakini pia ni wakwepaji wazuri kodi,, sera ya uwekezaji tanzania tunampa muwekezaji grace period then baada ya hapo ndo tunaanza kudai kodi,, ukiona ivo grace period imekaribia kuisha,, wanabadilisha majina tuu but management inabadilika kidogo tuu,,, kwa kufanya hivyo hawawezi kulipa kodi ata miaka 100 maana watakua wanabadilisha jina la kampuni kila siku. Na kingine mkuu viwanda sio uyoga within a year viwe tayari. It took hundred years for USA to be the leading country in the world. Acheni siasa zisizo na mashiko wadau,,
MSAMEHE AKILI ZA KUSHIKIWA TU HIZO...HANA KINGINE ANACHOFIKIRIA....ASHAKUWA PROGRAMMED NA MBOWE AWAZE UPUUZI TU KATIKA KILA TOPIC...!
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?
Comments kama hizi ndio zinasababisha watanzania tuonekane hatupendi kusoma, umeambiwa ni nchi 15 Africa. Je ccm inatawala nchi zote hizo?
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika, Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana

Chanzo - Mwananchi

=======
Kutoka vyanzo vingine:
=========

Bharti Airtel, the mother company of Airtel Ghana, has announced that it will be exiting 14 African countries including Ghana within a year.

The affected countries include Ghana, Nigeria, Congo, Chad, Gabon, Kenya, Madagascar, Malawi, Niger, Rwanda, Seychelles, Tanzania, Uganda and Zambia.

Source: Airtel to exit Ghana this year

=========

Airtel Considering Exits, Stake Sales at Some Africa Operations

Bharti Airtel Ltd., India’s largest mobile-phone operator, is considering mergers or stake sales at some of its Africa operations as it looks to cut debt and make its biggest overseas acquisition profitable.

The moves would pare the size of operations in the continent and could be completed within a year, Chairman Sunil Bharti Mittal said in an interview with BloombergQuint at the World Economic Forum in Davos. Some of Bharti’s businesses in 15 African nations would be affected, he said.

Faced with an escalating price war in its home market, Bharti is looking for ways to pare net debt equivalent to about $12 billion as of September. The company has sold its Sierra Leone and Burkina Faso operations, as well as some of its tower businesses, as it reorganizes assets it bought in 2010 in a $9 billion deal with Kuwait’s largest mobile-phone operator.

Bharti’s African unit lost $91 million in the quarter ended September, compared with a $170 million loss in the previous year.

As part of the debt reduction, Bharti is also considering selling a stake in Bharti Infratel Ltd., its tower unit. A committee was studying whether the sale would be a minority stake or control of the tower unit and a decision could be taken in a month, Mittal said. In October, Bharti said in a stock exchange filing that it had formed a committee to evaluate options for its 73.5 percent stake in Bharti Infratel.

Mittal’s moves come partly in response to the entry of India’s richest man Mukesh Ambani into India’s wireless telecommunications market last year. Ambani stormed into what was already one of the most brutally competitive telecom markets in the world with an offer of free voice services, forever, and free data services for limited time.

Ambani’s Jio mobile-phone service will probably force the exit of the smaller players in a market with almost a dozen operators, Mittal said in the interview. Among them is Telenor ASA, the Nordic region’s largest phone company. Bharti was among those in discussions to buy Telenor’s India business, Mittal said.

Bharti, which will announce its earnings for the quarter ended December on Jan. 24, may have been hit by India’s currency ban, Mittal said. The Nov. 8 late evening announcement by Prime Minister Narendra Modi that canceled 15.4 trillion rupees of the 17.7 trillion rupees in circulation may have an 8 percent to 10 percent impact on revenue. About 94 percent of Bharti’s India customers use prepaid phone connections and were unable to recharge their phones in the ensuing cash shortages that plagued the nation.
Wahindi wanataka faida za haraka haraka,waache watimke.
 
Ambani stormed into what was already one of the most brutally competitive telecom markets in the world with an offer of free voice services, forever, and free data services for limited time.
Duh offer ya FREE VOICE SERVICES ,FOREVER!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom