Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Kampuni ya Airtel kujiondoa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri,, kampuni za sim wanapata faida kubwa lakini pia ni wakwepaji wazuri kodi,, sera ya uwekezaji tanzania tunampa muwekezaji grace period then baada ya hapo ndo tunaanza kudai kodi,, ukiona ivo grace period imekaribia kuisha,, wanabadilisha majina tuu but management inabadilika kidogo tuu,,, kwa kufanya hivyo hawawezi kulipa kodi ata miaka 100 maana watakua wanabadilisha jina la kampuni kila siku. Na kingine mkuu viwanda sio uyoga within a year viwe tayari. It took hundred years for USA to be the leading country in the world. Acheni siasa zisizo na mashiko wadau,,

La! Wajinga ndio waliwao! Tanzania nchi yangu!!
 
Kichwani kwako umejaza tope? Magufuli/ccm inaongoza nchi zote 15 ambako airtel wamewekeza?

Kijana uchama utakuua!
Tatizo lako ulienda kusomea ujinga shuleni. Yaan hapo haujagundua point yangu? KWANN ISIWE NCHI NYINGINE NI TZ?
Kwa mfano ikitokea nchi 15 za afrika uchumi wake umeporomoka au kukumbwa na zika kwahiyo na TZ itakuwemo?
 
Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri,, kampuni za sim wanapata faida kubwa lakini pia ni wakwepaji wazuri kodi,, sera ya uwekezaji tanzania tunampa muwekezaji grace period then baada ya hapo ndo tunaanza kudai kodi,, ukiona ivo grace period imekaribia kuisha,, wanabadilisha majina tuu but management inabadilika kidogo tuu,,, kwa kufanya hivyo hawawezi kulipa kodi ata miaka 100 maana watakua wanabadilisha jina la kampuni kila siku. Na kingine mkuu viwanda sio uyoga within a year viwe tayari. It took hundred years for USA to be the leading country in the world. Acheni siasa zisizo na mashiko wadau,,
Vp kuhusu nchi 14 zilizobakia? Nao wanatumia mfumo km wa Tz? Kama ni hivyo basi ''VIONGOZI WA AFRIKA NI MIZIGO"
Km hawakati kodi halafu wanategemea misaada na Trump kakataa sasa hapo lazima ile kwao
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika , Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana .

Chanzo - Mwananchi .
Airtell ni wajanja sana
 
Hii hatar I don't know where we are going ila najua soon tutafika
 
Kwa hiyo wamefanya miaka yote kwa faida,robo ya mwaka mmoja tu kupata hasara imekueawa nongwa??,wakwende zao kulee,wezi tu hao hata kama ni tetesi,halotel ndo mpango mzima
 
Hiv ndivyo wanasisiem wanavyojifariji baada ya maji kuzid unga. Time will tell ilikuwa ITV, KAIRUKI HOSPITAL, LEO AIRTEL KESHO SIJUI NANI?
''WALIZOEA MADILI, WAPIGA DILI HAWANA NAFASI KTK NCHI HII"
Uhakiki ni dili la kuminya watu haki, watafeli sana. Chozi la maskini huwa haliend bure bure. Baada ya kutafuna fedha, uhakiki umekuwa chaka la kujificha.
HELSB 15%. VIWANDA BADO HAVIJAJENGWA TU TUOKOE TSH YETU KUSHUKA AU NDIYO WATAJENGA VIWANDA VYA DOLA?

Hebu jiulize mwenyew bara la Africa lina nchi ngap? Kati ya nchi 15 kwann tz iwemo na isiwe nchi nyingine.
Kwa mfano ikitokea Dstv wanataka kuondoa baadhi ya nchi za kiafrika kwahiyo na TANZANIA itakuwemo.
 
Kwanini wanaondoka ?
Dogo ulitaka kuleta siasa pia kwenye hilo. Bahati mbaya kwako wanaondoka kwenye nchi Karibu zote Africa, maana ingekuwa ni Tanzania peke yake mngefanya sherehe kwa ufinyu wa ajili zenu
 
W

We mzee kwani we hujaona viwanda. Unaishi wapi? Hata hapo ulipo kuna kiwanda Nina uhakika. Kwani kiwanda maana yake nini? Industry is the collection of many firms
hebu nieleweshe hiyo collection of many firms what if hizo firms haziproduce product moja hapo tutasema kuna industry??
 
Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..
From celtel-zain-airtel with love
 
Kampuni ya Bharti Airtel ina mpango wa kujiondoa katika nchi 15 za kiafrika , Ikiwamo Tanzania , baada ya kutofanya vizuri katika robo ya mwisho ya mwaka jana .

Chanzo - Mwananchi .
Lini ulisikia Muhindi analipa kodi? Well tutafika
 
Lini ulisikia Muhindi analipa kodi? Well tutafika
Kumbe miaka yote hii hawa hawalipi kodi na wanaangaliwa tu , Tena katika nchi ambayo TRA wamegawana majukumu na askari wa usalama barabarani ?
 
Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..
Usawa wa magu huu.. Kodi wataikwepea wap? Bora wakafie mbal tu..
 
haishangazi maana faida kubwa mara nyingi ilitokana na ujanjaujanja na ukwepaji.
Kampuni lenye malengo makubwa hujiandaa kuwepo katika soko katika mazingira yote.
Kwa hiyo mazingira ya kuuziwa GB 1 sh.2000 na mb 200 sh 1000 ndio malengo mazuri sio.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom