Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
Tigo eti wanaondoka lini kweli?!
Kwa awamu hii hiyo itawezekana?Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..
Kwa awamu hii hiyo itawezekana?
Tatizo la kuondoka nini hasaWaondoke tu!
Wanakwepa kodi. .watabadilisha jina tu lakini watu ni wale wale...hii tabia inakera sana....MOLA aingilie kati. ..Tatizo la kuondoka nini hasa
Huwenda Giant TTCL akaibuka.Acha waende
ni kwa jinsi gani kampuni ikibdili jina inapelekea kukwepa kodi?? naomba kufahamu tafadhaliWanakwepa kodi. .watabadilisha jina tu lakini watu ni wale wale...hii tabia inakera sana....MOLA aingilie kati. ..
Hayo ni makubaliano ya kibiashara baina ya Jiji na Kisena hakuna longolongo hapo.Kama la UDA bado imeporwa hivi hivi, na hisa za jiji 51% Kisena kazichukua kwa wizi, hakuna linaloshindikana..!! Imani yangu inapungua kabisa
Ujuhani
ni kwa jinsi gani kampuni ikibdili jina inapelekea kukwepa kodi?? naomba kufahamu tafadhali
Hayo ni makubaliano ya kibiashara baina ya Jiji na Kisena hakuna longolongo hapo.
Celtel - Zain - Airtel - what next _______?? Farutel or ..?
Wee huo ni mchezo wa kibiashara, ili kuuza kampuni waseme inapata hasara, soon watabadili jina, ila wateja wao watabaki wale wale, jua kuna ukwepaji mkubwa wa kodi kwa kutangaza kampuni inafilisika, ili wauze kwa bei cheeee wakifcha mauzo halisi, kisha wanaendelea na business, hili Airtel wanafanya sana, ndio mchezo wao kila baada ya miaka kama 7 hv wanabadili jina tu..
Asante mkuu kwa post hii nilihofia namba yangu maana mwaka wa kumi na nne huu na huwa sipendi kubadilisha line maana unawapoteza watu.Anayeweza kujiondoa ni mmiliki kwa kuuza hisa zake kwa mtu mwingine na si mitambo