emperor
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 307
- 283
asa
nadhani exit ya airtel kwa africa km jarida linavyoonesha ina uhusiano mdogo sana na ukwepaji kodi.
asante kwa maelezo.. labda tu ningejiuliza mwenyewe then nijijibu, hii sera ya tax holiday ina apply kwa mataifa yote at the same time?? i mean km tax holiday ina expire tanzania 2017, vipi kuhusu ghana?? kwani hii kampuni iliingia mataifa tofauti tofauti kwa wakati mmoja??Haikwepi ila mfano kampuni mpya inapewa tax holiday (corporate tax)....ile faida ya mwaka huwa hawalipi.....wanacholipa ni kodi zingine kutoka kwenye matumizi kawaida au mishahara na kodi za TCRA na leseni zake......lakini ile 30% ya faida ya mwaka huwa hawalipi kwa 5yrs kwanza......akifika mwaka 4 anauza.....anaekuja nae anapiga tena 5...akifika mwaka 4 anaweza kujiuzia kiujanja ujanja mchezo ukawa ndio hivyo!!! Pia kuna kodi ya kuuuziana inait capital gain huwa hawalipi wakiuziana! Lengo kuvutia wawekezaji......
nadhani exit ya airtel kwa africa km jarida linavyoonesha ina uhusiano mdogo sana na ukwepaji kodi.