Eee bhana mkuu , yaani watu wote hawa wawe wazushi kweli ?Hebu ondoeni uzushi humu ndani aisee!
NAFIKIRI JU.HA HUJAELEWA NILICHOKIANDIKA.Comments kama hizi ndio zinasababisha watanzania tuonekane hatupendi kusoma, umeambiwa ni nchi 15 Africa. Je ccm inatawala nchi zote hizo?
Wamenza kale kamchezo kao cha kutaka ukwepaji ee
Hawawezi ushindani na vodacom. Kidogo walichokuwa nacho Halotel kakichukua. Na kuna tetesi kuwa baada ya uchumi wa Tanzania kuwa vizuri kuna wengine wanakuja wanaitwa Mambotel. Hao ndio wamemchanganya kabisa airtelKwanini wanaondoka ?
Umejuaje ?Mkuu piga ua wewe ni mchaga. usiniulize nimejuaje.
hawana pa kwenda, wanataka kubadili jina tu!Waende zao tu
Ova
utaipika halafu uinywe mchuziLaini yangu itakuaje
kwa msemo ule wa "sitaki kufukua makaburi"Wale walio tumia Bilioni nane kununua Meli mbovu walilipa kodi yake??Au hilo siyo Deal??Au ni kati ya yale Makaburi??