ACHANE KUDANGANYA WATANZANIA HAWA PATAKAZI WAKO MOROCO URSINO STREET NYUMBA NAMBA 54 ZAMANI APPLIED TECHNOLOGY
KAMPUNI HII NI KUBWA NA NI YA KIMATAIFA NI SEHEMU YA RECRUITERS ASSOCIATES YA USA NA UKNAWAJUA NA NI WATENDAJI KWELI KWELI ZAIDI YA KAZI WANATAFUTA PIA SCHOLARSHIP KWA WATU WANAOTAKA KWENDA KUSOMA NJE WAKO JAMAA ZANGU WAMEENDA KUCHUKUA MASTERS UK KWA MSAADA WA HAWA PATAKAZI
UKIWA HUJUI KITU ULIZA USIANZE KUPONDA UNAIDHALILISHA jf
Naona unabipu FAYA wewe
'Amaru Dongo', kwa hiyo wewe ndio unajifanya una akili saaana kuliko mimi Mndengereko?
Mimi naona wewe ndio unajidhalilisha, tena bila huruma na kama umetumwa nenda kawaambie uliowatuma kuwa umekutana na Mndengereko pekee mwenye kujua kutumia Kompyuta ipasavyo kiasi kwamba haoni shida 'kutaipu' siku nzima, huna adabu!
Recruiters Associates wakatumie akaunti ya GOOGLE (Kweli akili nzuri ukiwa nayo)
Je vipi kuhusu huu mchezo, wewe unauelewa umewezekanaje; Suzan (Feki, ambaye ni mmoja wenu) katuma ujumbe 16:52hrs na baada tu ya dakika 1, yaani 16:53 amepost comment nyingine kuwashukuru na kuwaaga baada ya kuongea nao kwenye simu. Hebu nieleze nini kitakuwa kimeongelewa ndani ya dakika moja na Suzan huyo huyo aweze kupost (ndani ya dakika hiyo hiyo) acknowledgements hapa JF kama sio usanii wa kitoto?
Hata muuza maboga wa Rufiji humdanganyi namna hii. Mnataka kuiba huku hamjasoma, wizi wa namna hiyo hata watani zangu wamakonde na uzembe wao huwaibii, labda Wanyamwezi wa Igunga, kwenda zako hapa.
Kama wanatoa 'skola sheep' waombe wakupe moja ya kwenda kusomea utapeli Nigeria other wise mtajapigwa mtaani siku moja na wizi wa kitoto huu. Ah, nilitaka kusahau...
PERIOD!