Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by patakazi, May 28, 2012.

 1. p

  patakazi Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU MNAOTAFUTA KAZI KWA UDI NA UVUMBA

  SULUHISHO LENU LIMEKUJA SASA ,TUMA CV NA BARUA YAKO patakazi2012@gmail.com,TUTAKUJIBU MARA MOJA N

  NA NINAKUHAKIKISHIA UTAPATA AJIRA KIRAHISI SANA BILA KUCHANGIA FHARAMA ZOZOTE

  AHSANTENI

  George James
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kazi gani haswa mlizonazo jamani mi nshatuma cv yangu kwenu
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwa simu kesho nitakuja ofisini kwenu,mko faster;;;
   
 4. p

  patakazi Member

  #4
  May 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TUNAKUSHUKURU DADA sUZAN KAMA TULIVYOONGEA TUTAONANA KESHO,WATANZANIA WOTE SEHEMU YOYOTE ULIYOPO TUNAKUKARIBISHA SIO LAZIMA UJE DAR-ES-SALAAM ,TUTAKUFANYIA INTERVIEW KWA KUTUMIA SKYPE ,UNACHOTAKIWA KUFANYA WEWE NI KUTUMA CV YAKO KWETU SISI TUTAWASILIANA NAWE NA KAMA UKO NJE YA DAR TUTAKUINTERVIEW HUKO ULIPO NA KUPELEKA CV YAKO KWA WATEJA WETU NA WEWE UTAPATA AJIRA MARA MOJA

  Karibuni nyote
   
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,308
  Likes Received: 6,150
  Trophy Points: 280
  Nyie wachaga wapuuzi kweli kweli! Yaani mmenichekesha nusura nifunje mbafu zangu.

  **** wa Kwanza anatangaza kazi zisizojulikana, anajifanya bonge la agent na kwamba very quick in response.

  **** wa pili anajifanya ametuma CV (16:52) halafu dakika 1 tu inayofuata (16:53) tayari ameshapigiwa simu kwa hiyo anshukuru. Hivi hata kama ndio ujanja ujanja, mbona msitumie akili hata kidogo?

  Recruitment Agent na e-mail ya gugo kweli?!

  Labda nimiulizeni tu, hizo CV za watu mnataka kuzifanyia nini jamini?
   
 6. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,308
  Likes Received: 6,150
  Trophy Points: 280
  Wewe dogo utafungwa wewe ohooo! Kama Suzan mlishaongea kwenye simu una haja gani ya kuleta mlolongo wa ngonjera hapa. Kiukweli mmevamia fani za watu, utapeli haufanywi hivyo. Njoo nikufundishe step by step namna ya kumuingiza mtu kingi, hii namna yako utaumbuka sasa hivi mbele ya Kova
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Ama kweli mjini shule.
   
 8. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #8
  May 28, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Unataka CV zetu ukafungie maandazi???
   
 9. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #9
  May 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  yan HAO NI WEZ NA MATAPEL WAKUBWA WALIANZA FB SASA WAMEKUJA JF..
   
 10. serio

  serio JF-Expert Member

  #10
  May 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 754
  Trophy Points: 280
  hahahaaa... umeingia chaka man... hii ni jf
   
 11. King2

  King2 JF-Expert Member

  #11
  May 28, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ofisi zenu ziko Wapi.
   
 12. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #12
  May 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,308
  Likes Received: 6,150
  Trophy Points: 280
  Hamna tapeli hapa, matapeli ni watu na akili zao, hawa njaa imewauma sana kiasi wamekurupuka bila aibu wala kufikiri.
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  May 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  mboni ujataja hiyo ofisi ipo wapi au ndio wale maajenti tokea china..
   
 14. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #14
  May 28, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  Mi wala cna haja ya kufahamu ilipo ofisi yao, ila wanitajie clients wao wawili tu.
   
 15. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #15
  May 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,786
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  watu hawana huruma m2 ana hassle ajira apate nauli wabongo wanataka kumnyonya hata ile chenji ya kununulia gazeti. yaani Patakazi sijui na Suzan Nani ni m2 huyo huyo. yale yale ya mzungu na madawa.
   
 16. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #16
  May 28, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,487
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wel corected, haha.
   
 17. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #17
  May 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  Me nimeshawatumia jamani nitafutieni kazi pliz.
   
 18. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10,308
  Likes Received: 6,150
  Trophy Points: 280
  Ngojea watakupigia simu sasa hivi kama walivyompigia Suzan Minja. Na kazi utapata bila kutoa gharama yoyote. Hii kampuni ni ya kisasa kweli kweli
   
 19. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 13,935
  Likes Received: 2,098
  Trophy Points: 280
  Nani hana ajira? we hujui hata kutafuta kazi ni kazi pia?
   
 20. n

  nyandaojiloleli JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du!!!!!!!! hawa nao ni agent wa ajira ama kweli njaa hizi zitawauweni.
   
Loading...