Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

Niko kwenye dilema huku tapeli - huku real,huku tapeli - huku real,sijui hata nichukue lipi sasa?
 
afu ukicheck icho kisuz kimember, na icho patakazi pia kimember, FB, WALINGIA NA FAKE ID ZA WASANII WAKUBWA KAMA DIAMOND, WEMA NA SHILOLE AFU, DIAMOND ANASEMA MF JAMAN MI WAMENISAIDIA, AFU VIMEMBER VYA KIZUSH NAVYO VINACHANGIA, ET OH JAMAN THS THNG IS REAL, WATU WAKIONA WASANI WAKUBWA WAKAWA WANAAMINI KUMBE FEK, WAKAKOMBA ELA ZA WATU NA WAKIJUA UMEWAGUNDUA WANAKUBLOCK, INSHORT WATANZANIA LETS BEWARE BONGO NJAA KALI IVO UTAPEL UNAONGEZEKA.

NANI KAOMBWA HELA HAPA NA WEWE UNAONGEA KAMA MTOTO WA WATU,UMEOMBWA HELA HAPA AU KUNA MTU KALALAMIKA KUWA TUMEMWOMBA HELA ZAKE ACHA UANDAZI WEWE TUMIA AKiLI KAMA HUNA NJOO TUKUPE
 
Niko kwenye dilema huku tapeli - huku real,huku tapeli - huku real,sijui hata nichukue lipi sasa?

CHAGUA MOJA SISI HATUOMBI HELA NA WALA HAKUNA TAPELIA ATAKAYEACHA KUTANGULIZA FEZA MBELE,ENDELEA KUSIKILIZA WAZUSHI UONE KAmA UTAPIGA HATUA MAISHANI
 
kwa ukilaza ulioonyesha nina uhakika asilimia moja moja wewe ni jobless. maana hata kazi ya kujiajiri huwezi. Mchezo amabo hata mtoto wa kindergarten anaweza kuushtukia kati ya pata kazi na huyo anayejiita suzan. Next time jaribu kuwa smart.. Kucheza na watu wanaotatufa kazi ni dhambi kubwa..

WEWE LAZIMA UTAKUWA TASA,MTOTO WA KINDAGATENI UNAMJUA AU UNAMSIKIA??HUJUI HATA WATOTO WAKOJE

SIKILIZA HAPA HULAZIMISHWI KITU KAMA UNATAKA KAZI LETA CV TUKUSAIDIE KAMA HUTAKI USIWABABAISHE WA TZ WANAOSAKA JOB perioD
 
and another thing tangza kwenye t.v upate vijana wengi ili ulipwe na hayo makampun hewa ela nying, si ku2mia mtandao afu unakua ANONYMOUS, NO ONE IS SEEING YOU, ALAAH!

KWA NINI NITANGAZE KWA TV ILHALI NAWEZA TANGAZA BURE HAPA??UNA AKILI wEWE YAANI NIINGIE GHARAMA KUWATAFUTIA WATU KAZI??
 
Haha yani huyu jamaa anazidi kujishusha hadhi kwa kutukana, eti intaview watu zaid ya 50, kazi zingekua zinamwagika hivi sidhani kama kungekua na tatizo la ajira , pole tapeli wa kujitegemea..afu eti unatafuta malaya nenda joly? Unafikiri jf kuna wanaume tu?, kama no, kwanini una generalise? Thats pure fallacy!

UNAJUA NI WATZ WANGAPI WANASAKA JOB WEWE ?/KWA DATA ZETU TUNA WATU 4220 MPAKA SASA NA TUMESHAWAINTERVIEW WATU 800 KAMA HUTAKI SIKULaZIMISHI
 
PRINCES SUZ ANAWEZA KUFANYA YOTE HATA KWA SEKUNDE NA WEWE KAMA UNATAKA NIMWAMBIE AJE AKUFANYIE KWA SEKUNDE,SWALA HILO NI MAINA SANA KWA WENYE AKILI ,ACHA KUGARAGAZA MASABURI YAKO KWENYE MAKAA YA MAWE TUMIA bONGO JO''

Sema una hasira umeshtukiwa. Wenyewe mlijiona mna akiliiii, hivi kweli ungekuwa na shughuli ya kufanya nyeti kama hiyo ungekuwa hapa bize unawatukana watu na masaburi as if mama yako hana?

Asiyetumia ubongo ni wewe unayeingia kichwa kichwa kusema inawezekana Suzan kakosea, kakosea kwani ni yeye ndio anaandika muda? Ukipost comments hapa JF kuna sehemu unaambiwa uandike muda wa post yako?

Very shallow lkn unataka ujifanye umetoka Nigeria. Utapeli wa kitoto huo. Wewe kama umeambiwa ukusanye CV za watu na recruiters fulani nyoosha maongezi na sio kujifanya babu kubwa na mwenye akili nyingi wakati huna.

Kila mwenye akili akiona post za Suzan atajua kuna walakini na kujumlisha na hako ka email ka 'gugo' ni ***** mtupu
 
UNAJUA NI WATZ WANGAPI WANASAKA JOB WEWE ?/KWA DATA ZETU TUNA WATU 4220 MPAKA SASA NA TUMESHAWAINTERVIEW WATU 800 KAMA HUTAKI SIKULaZIMISHI

Eksikyuz mi sa!

Ni kazi gani hiyo ya kusailiwa na mtu mwenye akili kama zako? Usiniambie mama ntilie nao siku hizi wanatumia recruitment agents kupata wasaidizi wa kuwaoshea vyombo!
 
Nawashukuru jamii forum member hasa wanaocchangia uzi huu kwa kuwa wamevutiwa sana na jina langu na ukomavu nilionao katika matumizi ya mtandao yaani naweza kupost kitu huku naongea na simu na huku niko skype na yahoo im,na pia nikiwa natuma msg hahahahaaa huo ndio utaalamu wa masekretari bana najivunia kazi yangu aiseee kama hutaki sikulazimishi

pata kazi heshima kwenu george james,jesus pelaz na caroline na wengine wote saluti sana,

endeleeni kutusaidia aisee tunawakubali sana

wa jf wasio na akili waache waendelee kupiga domo sisi tunasonga

hahahaaaaa waboongo bana je mngeambiwa mchangie si ndo ingekuwa balaaaaaa

na kuanzia sasa atakayetaja suzani tafadhali mods mtozeni hela maaan nimekuwa mashuuhuri sana hapa je mkiniona si mtaogopa

hahahaaaaaaaaa big up patakazi
 
UMEKULA MATEMBELE MCHANA HUU EEEEH KASUUZIE NA MTINDI WA TANGA FRESH ILI UENDELEE KUHARISHA VIZURI,MATOPE WEWE

SISI TUKO KWA AJILI YA KUJENGA JAMII SIO KUZUNGUMZA NA TOPE LILILOGANDA KAMA WEWE

pyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuf''
 
Nawashukuru jamii forum member hasa wanaocchangia uzi huu kwa kuwa wamevutiwa sana na jina langu na ukomavu nilionao katika matumizi ya mtandao yaani naweza kupost kitu huku naongea na simu na huku niko skype na yahoo im,na pia nikiwa natuma msg hahahahaaa huo ndio utaalamu wa masekretari bana najivunia kazi yangu aiseee kama hutaki sikulazimishi

pata kazi heshima kwenu george james,jesus pelaz na caroline na wengine wote saluti sana,

endeleeni kutusaidia aisee tunawakubali sana

wa jf wasio na akili waache waendelee kupiga domo sisi tunasonga

hahahaaaaa waboongo bana je mngeambiwa mchangie si ndo ingekuwa balaaaaaa

na kuanzia sasa atakayetaja suzani tafadhali mods mtozeni hela maaan nimekuwa mashuuhuri sana hapa je mkiniona si mtaogopa

hahahaaaaaaaaa big up patakazi

AHSANTE PRINCES LEO NIKO HAPA MWANZO MWISHO NATAKA WALE WANAOCHONGA NGENGA NIWAKATE KIMEO WOTE SITAKI KAMPUNI YETU YA KIMATAIFA NA PROFILE YETU IABISHWE NA TUNAZI KOROMA HAPA,NIKO HAPA KUJIBU NA KUTOA UFAFANUZI

thanks SUZAN PIGA KAZI
 
CHAGUA MOJA SISI HATUOMBI HELA NA WALA HAKUNA TAPELIA ATAKAYEACHA KUTANGULIZA FEZA MBELE,ENDELEA KUSIKILIZA WAZUSHI UONE KAmA UTAPIGA HATUA MAISHANI

Unafikiri nitachagua lipi? ikiwa utambulisho wako kwenye heading ni "Kampuni mpya ya kutafuta kazi imefunguliwa..." wakati hao unao'collude nao wanasema ni "Kampuni real,ipo sijui wapi imesaidia watu wengi scholarships,wako UK wanasoma n.k" sasa Kampuni mpya iliyoanzishwa na connections za scholarships za zamani watu wanasoma UK,wapi na wapi?
Halafu mbona una hasira sana Bwana "PATAKAZI"? sasa kwa hizo hasira hizo interview zinakuwaje?
 
Mkuu g leo upo kikazi zaidi naogopa hata kuchangia hoja,unatisha,unawafunika vizabizabina ile mbaya aisee naona wameukimbia uzi hahahaaaaaaaaaaaa

jf raha sana yaani ukiweka facts mezani vishambenga wanakula kona

nashangaa kelele nyingi kwani kuna mtu mmemuomba hela au kuna mtu analazimishwa

mbona hawarudi mkuu g au tuanze kuzungumzia mambo yetu maana naona wamekula kona
 
Unafikiri nitachagua lipi? ikiwa utambulisho wako kwenye heading ni "Kampuni mpya ya kutafuta kazi imefunguliwa..." wakati hao unao'collude nao wanasema ni "Kampuni real,ipo sijui wapi imesaidia watu wengi scholarships,wako UK wanasoma n.k" sasa Kampuni mpya iliyoanzishwa na connections za scholarships za zamani watu wanasoma UK,wapi na wapi?
Halafu mbona una hasira sana Bwana "PATAKAZI"? sasa kwa hizo hasira hizo interview zinakuwaje?

NGOJA NIKUSAIDIE MKUU G HUYU MIMI NAMMUDU

HIVI WEWE UNAJUA MAANA YA KAMPUNI??KAMPUNI INAWEZA KUANZISHWA MIAKA ELF MOJA LAKINI NDANI YAKE IKIANZISHWA NYINGINE INAITWA TAKATAKA??AU KAMPUNI??RECRUITERS ASSOCIATES IKO ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI ILA PATAKAZI NI MPYA NA INASHUGHULIKA NA AJIRA PAMOJA NA MASOMO SASA IKIFUNGULIWA HAPA DAR LEO TUSEMEJEKUWA KAMPUNI YA ZAMANI IPO NA INASAIDIA AJIRA

LAZIMA MKUU G AWE NA HASIRA KWA SABABU MNAMUUZI SANA

TUMIA ULIZOPEWA NA MUNGU SIO ZA SIGARA ***** NA PIwA WEWE
 
Nawashukuru jamii forum member hasa wanaocchangia uzi huu kwa kuwa wamevutiwa sana na jina langu na ukomavu nilionao katika matumizi ya mtandao yaani naweza kupost kitu huku naongea na simu na huku niko skype na yahoo im,na pia nikiwa natuma msg hahahahaaa huo ndio utaalamu wa masekretari bana najivunia kazi yangu aiseee kama hutaki sikulazimishi

pata kazi heshima kwenu george james,jesus pelaz na caroline na wengine wote saluti sana,

endeleeni kutusaidia aisee tunawakubali sana

wa jf wasio na akili waache waendelee kupiga domo sisi tunasonga

hahahaaaaa waboongo bana je mngeambiwa mchangie si ndo ingekuwa balaaaaaa

na kuanzia sasa atakayetaja suzani tafadhali mods mtozeni hela maaan nimekuwa mashuuhuri sana hapa je mkiniona si mtaogopa

hahahaaaaaaaaa big up patakazi

Kwahiyo hizo big up ulizowamwagia,wameshakupa kazi siyo?
Badala ya kuwa sekretary umekuwa nani sasa,personal kipozeo cha boss?
 
Sema una hasira umeshtukiwa. Wenyewe mlijiona mna akiliiii, hivi kweli ungekuwa na shughuli ya kufanya nyeti kama hiyo ungekuwa hapa bize unawatukana watu na masaburi as if mama yako hana?

Asiyetumia ubongo ni wewe unayeingia kichwa kichwa kusema inawezekana Suzan kakosea, kakosea kwani ni yeye ndio anaandika muda? Ukipost comments hapa JF kuna sehemu unaambiwa uandike muda wa post yako?

Very shallow lkn unataka ujifanye umetoka Nigeria. Utapeli wa kitoto huo. Wewe kama umeambiwa ukusanye CV za watu na recruiters fulani nyoosha maongezi na sio kujifanya babu kubwa na mwenye akili nyingi wakati huna.

Kila mwenye akili akiona post za Suzan atajua kuna walakini na kujumlisha na hako ka email ka 'gugo' ni ***** mtupu

NILIFIKIRI WATU WENYE AKILI KAMA ZAKO WALIKUFAGA WOTE KUMBE BADO MPO,KWANZA WEWE NI MTU MZIMA SANA NA BAHATI MBAYA HUKUPATA ELIMU YA KUTOSHA,FILOSOFIA NINAZOZUNGUMZA HAPA NI ZA JUU SANA NA WEWE HUWEZI KUZIELEWA KIRAHISI WACHA NIENDELEE KIJIBU HOJA ZA MSINGI NA KUPOKEA CREDIT ZANGU TOKA KWA WATU WENYE AKILI ZA KUKUZIDI WEWE MARA MIA KAMA KINA SUZAN,AMARDONG ,MTEMI MTEBEZI NA WENGINE

WEWE KALALE NA WAJUKUU ZAKO UMRI WAKO ULITAKIWA UWE UMESHADAnJA NI KWA BAHATI TUU UNASAVAIVU
 
Kwahiyo hizo big up ulizowamwagia,wameshakupa kazi siyo?
Badala ya kuwa sekretary umekuwa nani sasa,personal kipozeo cha boss?

KWA SABABU WEWE NI KIPOOZEO CHA WAHINDI HUKO UPANGA UNAKOOSHA VYOMBO UNAFIKIRI KILA MTU NI KIPOOZEO,KAOSHE VYOMBO HUKO WAHINDI WAMESHAMALIZA KULA,PRINCES SUZAN NI MTU WA HESHIMA NA SISI TUNAMHESHIMU NA TUTATUNZA HeSHIMA YAKE KOKOTE
 
MBONA MMEKIMBIA WANAFKI MMEENDA KUOSHA VYOMBOOO EEEH MUDA WA KUOSHA VYOMBO MKIMALIZA MRUDI TUJE TUENDELEE NA MaDA
 
NGOJA NIKUSAIDIE MKUU G HUYU MIMI NAMMUDU

HIVI WEWE UNAJUA MAANA YA KAMPUNI??KAMPUNI INAWEZA KUANZISHWA MIAKA ELF MOJA LAKINI NDANI YAKE IKIANZISHWA NYINGINE INAITWA TAKATAKA??AU KAMPUNI??RECRUITERS ASSOCIATES IKO ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI ILA PATAKAZI NI MPYA NA INASHUGHULIKA NA AJIRA PAMOJA NA MASOMO SASA IKIFUNGULIWA HAPA DAR LEO TUSEMEJEKUWA KAMPUNI YA ZAMANI IPO NA INASAIDIA AJIRA

LAZIMA MKUU G AWE NA HASIRA KWA SABABU MNAMUUZI SANA

TUMIA ULIZOPEWA NA MUNGU SIO ZA SIGARA ***** NA PIwA WEWE

Kidogokidogo mnaanza kujibainisha,mimi nilifikiri kuwa wewe to Bwana Patakazi ni mchangiaji kama mimi tu kumbe mpo pamoja,kwahiyo mpo wangapi?...Bwana Patakazi,wewe Suzi,Amaronani sijui na nani mwingine?
 
Back
Top Bottom