Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

kama tangazo lako ni la uongo mi naomba jf iwachukulie hatua za kisheria, watu tuko serious nyie mnaleta utani. tajeni ofisi zenu ziko wapi mi naomba kabla tangazo la kazi halijawekwa lipitiwe kwanza na viongoz wa jf na ijulikane ni kweli ndo liwekwe.
 
If that's its true then its gud thing keep it up!Mtawasaidia watanzania wengi wenye matatizo ya jinsi ya kupata ajira!
 
jamani y mnakuwa mnawafanya watu km wajinga wakati mnajua kabisa,we a serious na kutafuta kazi? Huu ni ushenz**
 
acha njaa ,mtawasumbua vijana wanaosumbuka mtaani wakati hakuna kazi zaidi ya utapeli!
 
Ingekuwa TUSI linauma kama jeraha ningewatukaneni ila kifupi tu nyie ni "MATAPELI"
 
WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU MNAOTAFUTA KAZI KWA UDI NA UVUMBA

SULUHISHO LENU LIMEKUJA SASA ,TUMA CV NA BARUA YAKO patakazi2012@gmail.com,TUTAKUJIBU MARA MOJA N

NA NINAKUHAKIKISHIA UTAPATA AJIRA KIRAHISI SANA BILA KUCHANGIA FHARAMA ZOZOTE

AHSANTENI

George James
sielewi majitu km haya hayajiulizagi kwanini JF inaitwa home of great thinkers, paparapapara unakuja inajiita et patakazi, dem yu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wekeni numba za sim tuwapigie ili nilete cv yangu physically kama kweli mnamaanisha
 
NAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO,KIPEKEE WALE WOTE WALIOFIKA OFISINI KWETU TUMEFURAHISHWA NA NYIE WOTE.SASA TUKO MKOANI MWANZA,MBEYA NA ARUSHA.

RAI YENGU KWA WATANZANIA BADO TUNASAIDIA KUPATA KAZI KArIBUNI BILA KUSITA
 
NAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO,KIPEKEE WALE WOTE WALIOFIKA OFISINI KWETU TUMEFURAHISHWA NA NYIE WOTE.SASA TUKO MKOANI MWANZA,MBEYA NA ARUSHA.

RAI YENGU KWA WATANZANIA BADO TUNASAIDIA KUPATA KAZI KArIBUNI BILA KUSITA

arusha ofisi zenu zipo
sehemu gani?
 
arusha ofisi zenu zipo
sehemu gani?

Ebwana hiyo Kampuni haipo serious: Hamna maelezo ya kutosha, Hamna company Profile, Hawajaweka aina ya kazi ambayo inabidi tuombe, location ya Kampuni yao ilipo wala mawasiliano mengine zaidi ya email! Yaani kwa kifupi mambo yao ni Mizevezo na Vankuva!! Namuunga Mkona Jamaa aliesema Uwongozi wa JF tunaomba uchukue jukumu na hatua ya hili kuwa wanakagua maelezo yanayoandikwa nakuyathibitisha kabla ya kupostiwa humu ndani maana kuna Watu wengine wanazingua they 're jst here 2 play p'ples mind. Wanaharibu sifa na malengo ya hili Jukwaa nakupoteza maana halisi ya Neno "GREAT THINKERZ" Ni hayo tu Waungwana, anaeujua Uwongozi wa JF plizzz awafikishie ujumbe huu.
 
Hawa nitawafananisha na africa magaribi kuna mataperi wa hatari kama unabisha ingia netlog hala ujisajili hapo kama ni mwanaume utatongozwa na mabinti wanajiita ni mayatima wanamiliki pesa ambazo ziko nje yanchi nyingie
 
lakini kweli nitapata kazi kama nikituma hiyo cv yangu maana sijaelewa wengi wanjf wanasema ni matapeli sasa itakuwaje
nisaidieni patakazi

Umetokea mkoa gani???dada hii ni Dar es salaam,watu wanaweza hata kukuuza wewe mwenyewe funguka eeeehhh,au umetoka mkoa,ukaishi Hostel na class tu.......jijin hapa Utaumia
 
NAWASHUKURU WADAU KWA KWELI NIMEFURAHISHWA SANA NA KAULI ZENU NYINGINE CHAFU NA NYINGINE NZURI ILA YOTE NI SAWA TUU

WASWAHILI WANASEMA UKIMKIMBIZA CHIZI UCHI WEWE NDIO CHIZI ZAIDI

NI HIVI SISI TUPO NA ADRESS YETU INAJULIKANA NJOO MORROCO URISNO NAMBA 54 UTATUKUTA

KAZI ZETU ZINAJULIKANA ANGALIA www.recruitersassociates.com UKISHINDWA FUNGUA www.kazikazi.patakazi UTATUKUTA .

HATUJAIBA WALA KUTAPELI MTU ,NJOO OFISINI KWETU TUKUPE LIST YA WATANZANIA WALIOSAIDIWA NA SISI


NI KWELI SUZAN ALITUPIGIA NA AKIJA HAPA ATAKIRI SASA HIVI YUKO IRAN SHIPPING ANAFANYA KAZI ,NENDA PALE UTAMKUTA,NA WENGINE WENGI

ACHENI KUWA WAJINGA,SISI TUNALIPWA NA WAAJIRI WEWE MTAFUTA KAZI HATUTAKI HELA ZAKO

MWISHO ASIYE NA MAANA HAAMBIWI LA MAANA,UJINGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO

WATANZANIA TUMENI KWA WINGI CV ZENU KWA SASA TUNA NAFASI NYINGI ZA

MAAKAUNTANT
MA HR
MA SECRETARI
MAMARKETING
NA WALINZI

PIA TUNAKODISHA MBWA KWA AJILI YA ULINZI

TUMA MAOMBI patakazi@gmail.com

Ahsanteni

ofisi zenu ziko wapi nilete cv? tho nishatuma kwa email pia
 
wewe dogo unatafuta nini huku? Nimesha kwambia usipokee na kushiriki kila kitu. Mengine yasikilize, yatazame na kuyaacha kama yalivyo.
 
yaani sina mbavu,wape vidonge vyao
Wewe JUHA kweli kweli, sasa nitume barua kwako kwa reference ipi? Inaonekana hata hujui kazi inavyoombwa. Unapoomba kazi lazima ueleze ni kazi ipi unaomba na kwa reference gani (tangazo au cold call), sasa unataka mtu atume barua kwako kwa heading ipi!

NAOMBA KAZI YOYOTE, NAOMBA UNITAFUTIE KAZI au aandikeje? (***** we)

Haya ngoja niombe:

Dear Sir,

Apulikesheni for jobu me and my waif to you.

Pliz give me job sir. I em very gud in diskavaring pipo who are styupid inaf to sink they kan con pipo in JF. If zat job is hev you, pliz give tu me.

am veri hepi that yu give me. Sank you sir from Nevada.
Amen!

yua faithfool,

Joji jemsi
 
kweli mjini shule yataka macho kufumbua na masikio kusikia poleni matapeli
 
Back
Top Bottom