Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

hatuko kichama hapa usije pata 7bu ya kujibu makombora ya wasomi, huna shughul ya kufanya cz ungekua nayo ungekua busy sana kuchambua CV ZA KAMPUN HEWA.

UNA MAANISHA WOTE HAPA JF HAWANA KAZI ZA KUFANYA AU??KILA MTU NA NAFASI YAKE KWENYE KAMPUNI WEWE UTAJUAJE KAMA MIMI KAZI YANGU NI KUSAIN CHEK,ACHA KUTUMIA MEYA WA JIJI LA DAR KUFIKIrI
 
UTAKUWA UNATUMIA MODEM WEWE NA MODEM IMESIHA HELA MIMI NIKO KWA WEBSITE SASA NAANGALIA OFISI MPYA YA PATAKAZI ILIVYOPANGIKA ,

ACHA UTANI KWA MAMBO YA MSINGi

hivi HUJIONEI HURUMA UNAVYOJICHANGANYA , MARA UNAENDESHA GARI, MARA UNANGALIA WEBSITE, MKUU UMERUGWA! AU NDO KURANDUKA.
 
UNA MAANISHA WOTE HAPA JF HAWANA KAZI ZA KUFANYA AU??KILA MTU NA NAFASI YAKE KWENYE KAMPUNI WEWE UTAJUAJE KAMA MIMI KAZI YANGU NI KUSAIN CHEK,ACHA KUTUMIA MEYA WA JIJI LA DAR KUFIKIrI

ni OBVIOS HUNA JIPYA, SO TALK TO HAND!
 
Nyie wachaga wapuuzi kweli kweli! Yaani mmenichekesha nusura nifunje mbafu zangu.

Juha wa Kwanza anatangaza kazi zisizojulikana, anajifanya bonge la agent na kwamba very quick in response.

Juha wa pili anajifanya ametuma CV (16:52) halafu dakika 1 tu inayofuata (16:53) tayari ameshapigiwa simu kwa hiyo anshukuru. Hivi hata kama ndio ujanja ujanja, mbona msitumie akili hata kidogo?

Recruitment Agent na e-mail ya gugo kweli?!

Labda nimiulizeni tu, hizo CV za watu mnataka kuzifanyia nini jamini?

Duh mkuu we ni kiboko, nimeangalia huo muda hapo nimestaajabu, you are a real great thinker.
 
UTAKUWA UNATUMIA MODEM WEWE NA MODEM IMESIHA HELA MIMI NIKO KWA WEBSITE SASA NAANGALIA OFISI MPYA YA PATAKAZI ILIVYOPANGIKA ,

ACHA UTANI KWA MAMBO YA MSINGi

Acha utani wewe. Hizo totuvi hazipatikani. Hazipo hewani.

MMESHATOKA KUOSHA VYOMBO SASA MNAKUJA KIVINGINE EEEH??CHEK NA HUYO MHINDI WA IT HAPO AKUSAIDiE

Mhm ndio treatment ya potential customer? Kaazi kweli kweli.
Mie nimeuliza kwa wema kabisa mbona hizo websites hazipo hewani.
 
Ukweli unauma,sioni sababu hata 1 ya kuwatukana watu au kukasilika kama umewasaidia watu wote hao! Pili hoja ya muda sio eti suzy anafanya whatsoever kwa mda mmoja,inshu ni kwamba umeuliza na dk 52(enquiries),ndani ya dk 1 suzy ameupload CV yake ktk email na kuituma kwenu,ndani ya dk 1 nyie(wewe) umeipokea,ukaifungua,ukaidownload,ukaisoma na kumpigia simu. Then dk 53 suzy anatoa feedback! Hiyo ndio hoya uijibu.
 
SIJIBU MASWALI YA KIJINGA SASA HIVI NATAKA MASWALI YA MSINGI TUUU,KAMA HAKUNA

KARIBUNI KUMBUKENI EMAIL YETU patakazi2012@gmail.com

Maswali ya msingi ndio yapi hayo? Hakuna mteja mtarajiwa anayeuliza swali la kijinga.
Kwa mfano nimekuuliza mbona hizo tovuti mbili ulizoweka hazipatikani. Hilo ni swali la kijinga?
Katika dunia ya sasa ambayo imejaa scam watu wako right kuuliza maswali.
Kwa mfano nakuuliza a very common question. Sijui utasema ni swali la kijinga?
Unaweza kutuwekea hapo confidentiality policy na privacy policy ya biashara yako?
Nilitaka nizisome kwenye link ya tovuti ulizoweka lakini tovuti zenyewe hazipo.
Unaweza kuziweka hizo policies muhimu hapa?
 
sasa ivi AMEAMBIWA LINK ZA TOVUT HAZIPO, KAAMUA KUBEZ KWENYE EMAIL..MWEE, AMAKWEL ANAETAFUTA HACHOK NA AKICHOKA AMESHAPATA, ILA TOO BAD KWAWEWE UTACHOKA NA HAKUNA UTAKACHOKIPATA.
 
UTAKUWA UNATUMIA MODEM WEWE NA MODEM IMESIHA HELA MIMI NIKO KWA WEBSITE SASA NAANGALIA OFISI MPYA YA PATAKAZI ILIVYOPANGIKA ,

ACHA UTANI KWA MAMBO YA MSINGi

Elewesha watu wacha kuwa mkali.Hiyo ya associates nimejaribu na nimepata vitu vya ajabu kabisa
 
UTAJUAJE KAMA HII NI SWOT YETU YA KUKAT KOSTI??UNGEKUWA NA EXPOSHA KIDOGO UNGETAMBUA HILI NENDA AMERCA,CANADA NA UKRAINE,USWIS NA GERMAN MAKAMPUNI MENGI YA KATI SIO MAKUBWA SANA WANATUMIA YAHOO NA HOTMAIL,GMAIL NA AOL ILI KUPUNGUZA GHARAMA,ACHA KUKREM WEWE DUNIA iNABADILIKA WEWE UNABAKI NA UJUHA WAKO

what? kwa taarifa yako niko nje ya nchi hence jina linakupa clue (mtazania in exile). Kampuni gani iwe imenunua domain na kuweka website yake lakini ikawa haikupata email katika bundle walionunua? danganya hao hao wenzako! Ujuha ni wako unaouleta hapa, umeanza kwa kutangaza kuwa kampuni mpya imeanzishwa, ghafla ni ya kimataifa na iko muda mrefu. umeweka website yako hapo juu na wala haifanyi. Halafu kwa kuwa tu watu wamekushitukia unaanza kuwa mkali na kuita watu majina, hiyo inaonyesha dhahiri kuwa wewe sio mtu wa kuaminika.
 
WAPENDWA WATANZANIA WENZANGU MNAOTAFUTA KAZI KWA UDI NA UVUMBA

SULUHISHO LENU LIMEKUJA SASA ,TUMA CV NA BARUA YAKO patakazi2012@gmail.com,TUTAKUJIBU MARA MOJA N

NA NINAKUHAKIKISHIA UTAPATA AJIRA KIRAHISI SANA BILA KUCHANGIA FHARAMA ZOZOTE

AHSANTENI

George James

Kwanza nina mashaka hata wewe binafsi hujui kuandika barua ya kazi. Hivi unaweza kuandika barua kuomba kazi ambayo huijui?

Hapa naona mfululizo wa maneni ya hasira na kejeli kwa kuwa tu tumewashtukia na wizi wenu pambaf nyie. Unataka watu waulize maswali ya msingi, umeombwa Privacy Policy ya kampuni HUNA, umeulizwa namna Suzan alivyoweza ku-upload CV na nyie kumpigia simu na baadaye akatuma feedback JF ndani ya dkk moja HUJAJIBU sanasana umeleta mipasho, au hii kampuni yenu ni ya Taarab za uswahilini?

Kwa kifupi nyie ni vilaza tu msio na mbele wala nyuma, njaa zinawauma sasa mnatapatapa. Utafungwa chalii yangu, watu hawaibiwi mara mbili ktk kichochoro kimoja.
 
SIJIBU MASWALI YA KIJINGA SASA HIVI NATAKA MASWALI YA MSINGI TUUU,KAMA HAKUNA

KARIBUNI KUMBUKENI EMAIL YETU patakazi2012@gmail.com

Mjinga ni wewe uliyenunua DOMAIN na usipewe email access. Halafu nyie watu vilaza kweli, kwani kufika NEVADA kwenu ni ishu sana eeh? Kwenda kuosha vyombo USA ndio mmeona diiili la kuja kutangaza bongo. Kazi nyie wenyewe hamna leo hii mnitafutie mimi, labda kazi ya kujibu ngonjera kama hii mnayofanya ambayo najua hailipi
 
Mjinga ni wewe uliyenunua DOMAIN na usipewe email access. Halafu nyie watu vilaza kweli, kwani kufika NEVADA kwenu ni ishu sana eeh? Kwenda kuosha vyombo USA ndio mmeona diiili la kuja kutangaza bongo. Kazi nyie wenyewe hamna leo hii mnitafutie mimi, labda kazi ya kujibu ngonjera kama hii mnayofanya ambayo najua hailipi

mkuu g njoo faster uwajibu hawa wapiga deki naaona jana jaikutosha

ngojeni hapo hapo mwenyewe anakuja mtakimbia sasa hivi
 
Halafu kwa taarifa yenu g ni mzingu kwa hiyo mnamuuzi sana ndio maana anawachana
 
mkuu g njoo faster uwajibu hawa wapiga deki naaona jana jaikutosha

ngojeni hapo hapo mwenyewe anakuja mtakimbia sasa hivi

Kibaraka. Kama wewe kuwadi ipi siku wanawake unaomtafutia huyu bosi wako hawatapatikana, atakunyuka wewe. Kupiga deki ni kazi bora kuliko kuwa kuwadi wa mwizi. Kwa akili zenu za kijiweni mlidhani mtakutana na wajinga wenzenu hapa, sasa kila mtu atawashtukia kama mtaendelea kujibu utumbo
 
Halafu kwa taarifa yenu g ni mzingu kwa hiyo mnamuuzi sana ndio maana anawachana

Awe MZINGU au awe ameolewa na MZINGU hiyo ni baina yako wewe kuwadi wake na mumewe. Sisi hapa tunasema NO kwa LONGOLONGO na vijitu duni ambavyo vinadhani kwenda marekani ni maendeleo.

Huko nilishaende kutembea 2008 nikawaonea huruma madogo wenzenu ambao walizamia, kurudi nyumbani wanataka lkn kwa kuwa walishaharibu basi inawalazimu kuendelea kuishi huko kwa kukimbiakimbia. Sasa nyie mnaanzisha utapeli hapa ili mpate tusent twa kupanda Qatar Airways kwenda huko niwafanyaje zaidi ya kuwaonea huruma
 
ASALAM ALYEKUM JAMAA NA MARAFIKI WOTE HAPA,BADO NASISITIZA TAFADHALINI SANA WALE MNAOSAKA AJIRA TUMENI CV ZENU NA BARUA ZENU ZINAZOELEZEA UBUNIFU WENU

patakazi2012@gmail.com

Wewe JUHA kweli kweli, sasa nitume barua kwako kwa reference ipi? Inaonekana hata hujui kazi inavyoombwa. Unapoomba kazi lazima ueleze ni kazi ipi unaomba na kwa reference gani (tangazo au cold call), sasa unataka mtu atume barua kwako kwa heading ipi!

NAOMBA KAZI YOYOTE, NAOMBA UNITAFUTIE KAZI au aandikeje? (***** we)

Haya ngoja niombe:

Dear Sir,

Apulikesheni for jobu me and my waif to you.

Pliz give me job sir. I em very gud in diskavaring pipo who are styupid inaf to sink they kan con pipo in JF. If zat job is hev you, pliz give tu me.

am veri hepi that yu give me. Sank you sir from Nevada.
Amen!

yua faithfool,

Joji jemsi
 
Back
Top Bottom