Kilahunja
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 1,500
- 344
Nashukuru kuwafahamu hao patakazi ila nilitaka kujua ofisi zao ziko wapi ili niende pale pale kuwatumia CV zangu na sio online kama wako Dar es Salaam nifahamisheni jamani naitaji kazi
ant hujui kusoma hata picha huoni, amka mwanamke mwenzangu, soma maelezo ya watu then utajua kama bado unaitaji kazi kutoka kwa hawa MATAPELI WAKUJITEGEMEA.